Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Mkuu, taratibuHalafu unakuta dada zao huku mitaani wanawaambia watu kuna kaka yangu anachezea Simba. Ndio kwa utoko huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, taratibuHalafu unakuta dada zao huku mitaani wanawaambia watu kuna kaka yangu anachezea Simba. Ndio kwa utoko huu
Angalia humu comments za makolo wakiongozwa na Okwi Boban Sunzu uone kama hawajaumiaWe fanya uchunguzi mdogo angalia kama utaona kuna mwana Simba yeyote ameumizwa na matokeo ya leo
Katika watu 10 nakuhakikishia hupati hata wa 3 ambao wamehuzunishwa na matokeo ya leo
Mimi nilikuwa MlasimbaLeo mi nilikuwa Mlandege
Hili ndo kombe pekee ambalo mngeshindania na kulipata sasa msimu huu mnakosa kila kituHivi we kwa utashi wako unaona hili kombe Simba imeliwekea kipaumbele?
😂😅😂😅😂😂Imekuwaje mpaka muda huu hamjaweka uzi wa updates?
Mmerowaa..!!Wale ni kunguru si unajua walivyowasumbufu ukiwafukuza ukigeuka wamekuchukulia nyama... 😀 😀
Hapana, si suala la kufananishana, NI JAMBO LA UKIONA HUIEKEWI TIMU YAKO AU UKIFUNGWA UNAHAMAHilo haliwezekani Mkuu
Usinifananishe mi na Manara
Mabingwa wa kihistoria! Mabingwa watetezi! Mbabe wenu. Maana ushindi wenu kwa sasa, ni sare kila mtakapo kutana nayeYanga ndo kitu gani hiko
Kuweka kumbukumbu sawa; Mwaka jana Yanga ilitolewa kwenye nusu fainali na Azam! Yena kwa mikwaju ya penati 8 kwa 9.Msisahau na nyie mlivyoliwa kichwa huko na hao hao mwaka jana mkarudi mmegeuza ndala
Hicho ni kikosi B, kinatakiwa kioneshe uhaiMkuu haya mashindano huwezi ukaweka wachezaji muhimu wakati una mashindano muhimu mbeleni kama CAF
Ukipata majeruhi hapa basi upo kwenye nafasi ngumu sana kuweza kufanya vizuri kwenye michuano hiyo mingine
Unafikiri Yanga kumleta Kambole wamekosea?
Mayele ndio kwanza kapewa vaccation means hiyo ni hadhina na ndio maana Yanga walitaka kususa hii michuano kwasbabu haina pesa ya kutosha
Ndo uhalisia wa timu yetu.Hivi kwanini wanawalipa hawa waliocheza leo?? Wanakaa wanafanya nini kambini? Bora Gadiel na Okra
Huyu hatakiwi kuwepo kwenye timuIla Mkude hii ni mara ya 5 namuona anapiga pasi zisizo na macho
Tanzania wachezaji ni wachache sana, ns hao wachache vichwa majiNitakuwa wa mwisho kutetea sajili za mchezaji wa ndani
Tena mishahara mikubwa tu.Aisee i never knew kama kuna wachezaji wote hawa Simba inawalipa mshahara
Namna hiyo.Mabingwa wa kihistoria! Mabingwa watetezi! Mbabe wenu. Maana ushindi wenu kwa sasa, ni sare kila mtakapo kutana naye