Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Msisahau na nyie mlivyoliwa kichwa huko na hao hao mwaka jana mkarudi mmegeuza ndala
Kuweka kumbukumbu sawa; Mwaka jana Yanga ilitolewa kwenye nusu fainali na Azam! Yena kwa mikwaju ya penati 8 kwa 9.

Labda uongelee miaka ya hapo kati tulipokuwa tunapeleka kikosi cha U20.
 
Mkuu haya mashindano huwezi ukaweka wachezaji muhimu wakati una mashindano muhimu mbeleni kama CAF

Ukipata majeruhi hapa basi upo kwenye nafasi ngumu sana kuweza kufanya vizuri kwenye michuano hiyo mingine

Unafikiri Yanga kumleta Kambole wamekosea?

Mayele ndio kwanza kapewa vaccation means hiyo ni hadhina na ndio maana Yanga walitaka kususa hii michuano kwasbabu haina pesa ya kutosha
Hicho ni kikosi B, kinatakiwa kioneshe uhai
 
Back
Top Bottom