Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

si umesema Pasco kaukimbia uzi,mjibie kama unajua nataka kweli kujua

Yule anaukimbia si kwa maana ati hasomi Posts la..! asoma ila utetezi juu ya kile akiaminicho ndo haezi,

Ukinitaka ushaahidi, tizama mwanzo hadi sasa katika hiyo Post yako utaona LIKE(S) yake,

Akuchanganya na kukugeiya shida weye, sie afahamu ni namna gani apewa dawa na isitoshe kupitia dawa hizi akawa aokotelezakoteleza ili naye ati aandike Historia nyangine kwa lengo apate kula pitia mawazo ya wangine.
 
Last edited by a moderator:
Nakuunga mkono mkuu. Mfano hai ni ---- mikaeli Jackson aliyebadilisha ngozi ili kuukana kabisa uafrika.
 
MAPINDUZI
mkuu Pasco umecopy vibaya kila mara huwa nasikia mapinduzi matukufu ya zanzibar hata radio na magazeti.
sijawahi kujua kwanini wanaita matukufu.
kama unajua nieleweshe tu mkuu wangu
Mkuu Marire, tangu nimezaliwa nimekutwa wewe unaitwa Marire, nimesikia ukiitwa Marire na mimi nakuita Marire!, jee unajua ni kwa nini unaitwa Marire?, kuniuliza mimi ni kwa nini unaitwa Marire ni kunionea bure!, mwenye kustahili kujua ni kwanini unaitwa Marire, ni yule aliyekupa jina la Marire!.

Vivyo hivyo kwa MAPINDUZI MATUKUFU, aliyeyaita MAPINDUZI MATUKUFU, sio mimi, mimi nimezaliwa nimekuta yanaitwa MAPINDUZI MATUKUFU, na mimi nayaita MAPINDUZI MATUKUFU, wa kujibu ni kwa nini yanaitwa MAPINDUZI MATUKUFU, na utukufu wa MAPINDUZI hayo MATUKUFU ni upi au ni nini, wanayajua hao walioyaita MAPINDUZI MATUKUFU, ila kama lengo ni kuyabadili jina toka MAPINDUZI MATUKUFU na kuwa ni MAUAJI YA KIMBARI! mnaweza kuyabadili jina, na wote watakaozaliwa sasa wakikuta yanaitwa MAUAJI YA KIMBARI, watayaita MAUAJI YA KIMBARI, na jina hili jipya nalo litakuwa al maarufu kama jina la MAPINDUZI MATUKUFU!.
Pasco
 
Yule anaukimbia si kwa maana ati hasomi Posts la..! asoma ila utetezi juu ya kile akiaminicho ndo haezi,

Ukinitaka ushaahidi, tizama mwanzo hadi sasa katika hiyo Post yako utaona LIKE(S) yake,

Akuchanganya na kukugeiya shida weye, sie afahamu ni namna gani apewa dawa na isitoshe kupitia dawa hizi akawa aokotelezakoteleza ili naye ati aandike Historia nyangine kwa lengo apate kula pitia mawazo ya wangine.

mkuu wabara hiki kiswahili cha Unguja au makunduchi.

nafuatilia jibu langu bado
 
Last edited by a moderator:
mkuu Pasco umecopy vibaya kila mara huwa nasikia mapinduzi matukufu ya zanzibar hata radio na magazeti.
sijawahi kujua kwanini wanaita matukufu.
kama unajua nieleweshe tu mkuu wangu

Atakuelewwsha vipi wakati si katika sifa zake kuhoji mambo huoni nawe wampa balaa jangine.....?!

Na hii pia kukuthibishia tunaye pamoya atani "LIKE"

Pasco,

Ati ulizo hilo na maelezo yangu yanatofatiana au nimekusingizia?
 
Last edited by a moderator:
MAPINDUZI
Mkuu Marire, tangu nimezaliwa nimekutwa wewe unaitwa Marire, nimesikia ukiitwa Marire na mimi nakuita Marire!, jee unajua ni kwa nini unaitwa Marire?, kuniuliza mimi ni kwa nini unaitwa Marire ni kunionea bure!, mwenye kustahili kujua ni kwanini unaitwa Marire, ni yule aliyekupa jina la Marire!.

Vivyo hivyo kwa MAPINDUZI MATUKUFU, aliyeyaita MAPINDUZI MATUKUFU, sio mimi, mimi nimezaliwa nimekuta yanaitwa MAPINDUZI MATUKUFU, na mimi nayaita MAPINDUZI MATUKUFU, wa kujibu ni kwa nini yanaitwa MAPINDUZI MATUKUFU, na utukufu wa MAPINDUZI hayo MATUKUFU ni upi au ni nini, wanayajua hao walioyaita MAPINDUZI MATUKUFU, ila kama lengo ni kuyabadili jina toka MAPINDUZI MATUKUFU na kuwa ni MAUAJI YA KIMBARI! mnaweza kuyabadili jina, na wote watakaozaliwa sasa wakikuta yanaitwa MAUAJI YA KIMBARI, watayaita MAUAJI YA KIMBARI, na jina hili jipya nalo litakuwa al maarufu kama jina la MAPINDUZI MATUKUFU!.
Pasco

Marire
Hayo hapo ndo majibu ya ulizo lako,
Sasa ni weye mwenyewe kuona kama nilichokueleza hapo awali juu ya ufahamu wa huyo bwana Pasco ni SAHIHI ama NIMEMSINGIZIA...?!

Lakini huyo Pasco wa JF hunifurahisha sana, maana ajiita "(MWANDISHI WA KUJITEGEMEA/ HURU)",

Ukijumuisha hicho cheo ajiitacho, utakubaliana nami bila hata kunikhaalif nukta kwamba yeye hubeba mambo mazima mazima pasi hata kuuliza nini na kwa nini......!?

Mwenzio hata hapa yupo kazini, ila sifahamu leo atatoka muda gani...!
 
mkuu wabara hiki kiswahili cha Unguja au makunduchi.

nafuatilia jibu langu bado

Marire
Hiki ni kiswahili cha wabara,

Pasco atathibisha kwanza nilosema dhidi yake,

Kisha utajapata jawaba zuri tu, na huenda kuanzia leo pi Pasco akasikia mapya
 
Last edited by a moderator:
Atakuelewwsha vipi wakati si katika sifa zake kuhoji mambo huoni nawe wampa balaa jangine.....?!

Na hii pia kukuthibishia tunaye pamoya atani "LIKE"

Pasco,

Ati ulizo hilo na maelezo yangu yanatofatiana au nimekusingizia?

wallah mie kiswahil chako tu sheikhe....ama khakika "chanipunga sana".teh teh
 
Mkuu rizimu ya kahawa, Kahawarizimu, yalipotokea Mapinduzi ya Zanzibar, mimi sikuwepo, haya Mapinduzi, nimekuta yakwa Mapindiituzi Matukufu ya Zanzibar, na slogan ni "Mapinduzi Daima!", hiyo aliyeyatukufushanilipopata akili kuhusu sio mimi wala Kikeke, bali wale waliofaidika na mapindizu hayo!.
Niliuliza toka mwanzo Mwarabu alipotokazake Omani na kuitwaa Zanzibar, aliwakuta wenyewe?, wenye Zanzibar yao?!, alivipataje hivyo visiwa hadi kuvifanya vyake?, aliviokota tuu kama sadakalawe?, kwa taarifa tuu haswa kwenu msiojua, Mapinguzi ya Zanzibar yalifanywa na wenye Zanzibar yao!, wakampindua mvamizi Mwarabu!, na wengi walidhani Waarabu walitimuliwa!, la hasha, hawakutimuliwa, bali walijitimkia wenyewe, ama kurudi kwao ama kukimbilia uhamishoni!.

Wanaoyaita Mapinduzi yale Matukufu kuwa ni mauaji ya kimbari, ni waliopinduliwa na vizalia vyao!, kama vipi, bora kila mtu arejee kwao kwenye asili yake, muwaachie Zanzibar, wenyewe halisi wenye Zanzibar yao!.

Mtu aje atoke anakokujua, avamie visiwa, avitwae na kuvifanya vyake, atimuliwe, kisha alalamike!.
Mapinduzi Daima!.
Pasco
Hapa kwenye red unasema haukuepo, cha kuchekesha kwenye blue unatoa taarifa kuwafahamisha watu mapinduzi kama ulikuwepo.

teh teh teh
 
Pasco huu uzi unashusha hadhi ya taaluma yako otherwise uniambie kuna mtu anatumia ID yako
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30.

Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first hand information kuhusu mapinduzi hayo! akihojiwa na Baruan Muhuza wa BBC. Amekiri kuwa Sultani hakufukuzwa Zanzibar, alikuwa akitafutwa hivyo alitoroka mwenyewe!, na baada ya Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, bali walijiondokea wenyewe!.

Kesho kutafanyika mjadala maalum kuhusu Mapinduzi hayo Matukufu ya Zanzibar utakaoanza saa 12:45-1:30.

Siku ya kilele, kutatolewa nishani maalum za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, sijui kama yule shujaa halisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Field Marshal John Okello, atakumbukwa!.

Pasco.
Mkuu Pasco

Ebu msome huu mfano wa ndugu yetu Waberoya
Dereva Tax akimpeleka mjamzito Hospitali na mama akajifungua salama , yeye Dereva Tax hawi baba wa yule mtoto

Niliwahi kumkuta jamaa mmoja na mke wake Jangwani mama akiwa hatua za mwisho kujifungua, nikawapeleka hospitali ya muhimbili, after 40 minutes baba/mme wa yule mama akanipigia simu kunishukuru

Okello alitumiwa tu na ndio maana historia yake haieleweki, Uganda, tanzania na kenya wote kwa nyakati Tofauti wame enjoy services za Okello

All in all dhana ya ubaba kwa taifa fulani is very very questionable and debatable
 
Last edited by a moderator:
Nataka picha ya mwarabu akimtesa mwafrika hivi kiswahili unaelewa ww yaani wanionesha picha ya mtoo aliyebeba kuni we vp
 
aibu..
nikiwa naangalia sherehe za "mapinduzi"vinapita vikosi vya majeshi tofauti na mtangazaji anataja kiongozi wa kila kikosi kinachopita...wote ni erick,lema,mwakadinga,mosha,peter joseph..na kama hao.
hakuna mzanzibar anaeongoza vikosi vya jeshi hii inathibitisha wazanzibar wapo chini ya utawala wa kijeshi wa Tanganyika na waliofanya mapinduzi ndio wanaonesha nguvu zao.
hali ilivo hata tanganyika kwa amri ya pengo wakipiga marufuku quraan Tanzania au watanganyika wakilazimisha serikali moja na hata wazanzibari kwa ujimla yao wote wakiona muungano hauna maslahi kwao basi hawawezi kujitoa kwa njia za kisheria...ukweli wametawaliwa na mapinduzi ya leo yanathibitisha hivyo .
wenye mapinduzi wanajifaragua wazanzibari wanachezewa shere

Kwani, kuwa askari wa zanzibar ni shart kuwa Muislamu?
 
Haya ni mauaji ilibidi bendera zipeperuke nusu mlingoti kwa kuawa ndugu zetu kinyama kule pemba kuna mashimo makubwa 2 walifukiwa kama kumbi kumbi okelo alifanya mapinduzi ya kuondoa uislamu znz na kuupandikiza ukatoliki mola mlaani okelo na nyerere wake
 
Wanabodi,

Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30.

Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first hand information kuhusu mapinduzi hayo! akihojiwa na Baruan Muhuza wa BBC. Amekiri kuwa Sultani hakufukuzwa Zanzibar, alikuwa akitafutwa hivyo alitoroka mwenyewe!, na baada ya Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, bali walijiondokea wenyewe!.

Kesho kutafanyika mjadala maalum kuhusu Mapinduzi hayo Matukufu ya Zanzibar utakaoanza saa 12:45-1:30.

Siku ya kilele, kutatolewa nishani maalum za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, sijui kama yule shujaa halisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Field Marshal John Okello, atakumbukwa!.

Pasco.

Pasco Long time friend

Okello atakumbukwa sana, lakini lazima waafrika na hasa watanzania tuwe na tabia ya kuandika historia

Okelo utamkuta uganda, kenya na Tanzania kwa issues mbalimbali

Japo ni aibu lakini, seems he was an expert for those dangerous missions na pengine alipewa ujira wake tu na kuondoka

Ni kweli uki dig deeper wenyeji wa pemba na unguja wametokea bara lakini in that community automatically John Okello alikuwa excommunicated

labda tuulizane kwa nini aliondoka Zenj??
 
Pasco huu uzi unashusha hadhi ya taaluma yako otherwise uniambie kuna mtu anatumia ID yako

ki vipi?? mbona naona hoja tu na tuko kwa discussion hapa?? mimi ni injinia definitely niko shallow kwenye historia sasa kwa mtazamo wako hata mimi nitashusha taaluma, so niweke kundi moja na Pasco
 
1. Mamako akiwa mswahili babako Muarabu unakuwa muafrika au?
2. swali lilikuwa wawapi waafrika waliopelekwa arabuni, mwenzio akatuonyesha wazanzibari wakristo! Bado nauliza vile vile Augustino ramadhani katokea arabuni ipi?

wa oman wanaishi pamoja kwa mchanganyiko wa matabaka bila ya kujali rangi au asili yako.
kila secta wako waoman wa kila kabila ....
ukienda Dhofar, Salalah ambao ndio mjii wa pili baada ya Muscat ni mjii unaotawaliwa na waoman weusi sana, na wao ndio wenye mji.niliwahi kutembelea huko na mwnyeji wangu akaniambia hapa ukitaka kufanya biashara basi mpaka uwaone hawa wenyeji weusi huu ni mji wao.....
ieleweke watumwa walio pelekwa arabuni ni kidogo sana ...kwani wenyewe waraabu miaka hio wakikimbia huko kwao ilikua hakuna ila jua.hakukuwa na shughuli yoyote iliyo hitaji watumwa. wengi ni wale walokua wakifanya kazi kwenye majahazi na wengine kazi za nyumbani ambao ni kiodogo.
hawa wamezaa na kuchanganya damu na waoman wa asili.leo mfalme wa oman ni sawa na obama ...na yeye amechangia damu ya mama muafrika.

army.jpg

bahrain-national-football-team.jpg

Muscat festival making traditional Omani food.png

oman-and-qatar-060.jpgomani.jpgOmanii.jpg

oman-royal-bagpipes.jpgomn.jpg

omnn.jpg
omn sports.jpgomn spot.jpg

salal.jpgsalala.jpg

huyu anaweza kuwa babu yako..lakini si mnyamwezi tena bali ni muoman na mwarabu pia.
Salalah Oman.jpg
Salalahmizmar1-1024x682.jpg

sall.jpgTo Salalah kvinder saelger duft.jpgSur dance.jpg

Muscat festival making traditional Omani food.pngbahrain-national-football-team.jpg

tofauti ya hawa na wale wa usa hawa hawavai hirini au suti
 
Haya ni mauaji ilibidi bendera zipeperuke nusu mlingoti kwa kuawa ndugu zetu kinyama kule pemba kuna mashimo makubwa 2 walifukiwa kama kumbi kumbi okelo alifanya mapinduzi ya kuondoa uislamu znz na kuupandikiza ukatoliki mola mlaani okelo na nyerere wake
Msikize Dr. Shein, ametaja MAPINDUZI MATUKUFU,na sasa anendelea kuutangaza utukufu wa MAPINDUZI hayo!.
Pasco
 
aibu..
nikiwa naangalia sherehe za "mapinduzi"vinapita vikosi vya majeshi tofauti na mtangazaji anataja kiongozi wa kila kikosi kinachopita...wote ni erick,lema,mwakadinga,mosha,peter joseph..na kama hao.
hakuna mzanzibar anaeongoza vikosi vya jeshi hii inathibitisha wazanzibar wapo chini ya utawala wa kijeshi wa Tanganyika na waliofanya mapinduzi ndio wanaonesha nguvu zao.
hali ilivo hata tanganyika kwa amri ya pengo wakipiga marufuku quraan Tanzania au watanganyika wakilazimisha serikali moja na hata wazanzibari kwa ujimla yao wote wakiona muungano hauna maslahi kwao basi hawawezi kujitoa kwa njia za kisheria...ukweli wametawaliwa na mapinduzi ya leo yanathibitisha hivyo .
wenye mapinduzi wanajifaragua wazanzibari wanachezewa shere

Lakini wale wenyeji wazanzibar kabla ya kutengeneza chotara za kiarabu walitokea wapi?? jibu ni bara
 
Lakini wale wenyeji wazanzibar kabla ya kutengeneza chotara za kiarabu walitokea wapi?? jibu ni bara

na wa bara walitoka wapi ? wewe mjinga kweli...mchaga na mhaya alikua huko huko kwao...miaka 200 tu iliyopita hakuna ushahidi kama kuna wabara walihamia hata dar es salaam.watanganyika watokao bara wameletwa pwani na utumwa. bas full stop. hata mashua hawaijui...leo kuna meli na boti za kisasa wanaogopa kusafiri na boti itakua enzi za kuogelea?
wabara ni wabara na wazanzibar watumbatu ni wazanzibari
 
Back
Top Bottom