msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Hivi wale watumwa wengi waliochukuliwa uarabuni waliishia wepi.ningefurahi kuona ndugu wetu hao kama ilivyo kwa waliotoka afrika magharibi wanavyoonekana marekani
kumbe na wewe historia inakuchapa,,, mwarabu hakua mtu wa mwisho katika biashara ya utumwa, na mwarabu passee hakuja africa kwa biashara ya utumwa,, ila biashara hii ilimkuta tayari akiwa na network na yeye alichofanya ni udalali tu lakini mwenye kuhitaji watumwa alikuwa mzungu na yeye alipelekewa watu weusi huko kama soko ,,, kuna maeneo flani flani amabyo kwa namna moja au nyingine biashara haikufanyika na watumwa wakalzimika kubaki maeneo hayo,, mpaka leo wapo hapo,, kwa mfano Iraq kuna jimbo la Basra hapa kuna weusi wengi wenye asili ya Sudan, na hata Zanzibar,, hapa huitwa Basrawi au Zanj bado wanatauata mila za africa na wanaaminika sana katika uganga wa kienyeji. google history of the black community of Iraq. (niko hapa nawaona) wengine wanapatikana Yemen, Oman na maeneo mengine....