Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Vitu vingine ni common knowledge na vinakubalika tu, hivi tunahitaji kuweka link kuthibitisha sheikh amani abeid karume ni mnyamwezi? ingekuwa tuna ubishani kuwa zanzibar inamaanisha vingine sawa, lakini kama hakuna, kwa nini mtu ambaye hajui maana ya neno zanzibar ashindwe kuniamini?

anyway chukua hii mojawapo:

"The name Zanzibar came from a combination of two Arabic words, 'Zinj', meaning black, and 'barr', being the Arabic word for land, the result meaning 'Land of the Blacks'."

source: Zanzibar :: What's in a name? | Specials

Kwanza,
Kwanza neno zenj waarabu walilitumia kuwazalilisha watu weusi. Zanzibar ni kama kusema nigger land. Kwaiyo mkiongea na waarabu mnaweza mkawa mnachekesha mkijivunia kuwa mmetoka zanzibar. Nivizuri kama mkibadilisha na jina kabisa
 
kweli ajabu kama hutaki kusoma na kutumia akili yako...

mtumwa wa kiafrika huko ujiji kambeba master wake
View attachment 131954

mzungu akiwa amebebwa na mwafrika na huku kavaliswa pembe za ngombe...

View attachment 131955

kwa hiyo huyo mzungu aliponunua watumwa kwa waarabu zanzibar alikuwa akiwapeleka wapi historia yako inavyosema? Ulaya, marekani? where?
 
hembu angalia kwenye red. 65 to 90 ya wazanzibar walikuwa watumwa. nimeitoa kwenye ubalozi wa tanzania india(About Tanzania | Tanzania High Commission - New Delhi)

In 1698 a resurgence of Arab influence was realized with the help of Omani Arabs who established a presence on the Island of Zanzibar. In 1840 the Omani Sultan Seyyid Said moved his capital to Zanzibar City and in 1841 Zanzibar became the official seat of the Sultan of Oman where it remained until the beginning of the liberation period.Travellers and merchants from the Persian Gulf and Western India have visited the East African coast since the first millennium. From Zanzibar, trades originating from the interior was factored and controlled, including the lucrative Indian Ocean Slave Trade from which the economy of Zanzibar was largely built. The effect of this revitalization of trade along the east coast was the founding or regeneration of important commercial centers along the coast, including Kilwa, Tanga, Pangani, Kivinje, Lindi and Bagamoyo.
slaves.jpg
Zanzibar became the center for the Arab slave trade.
Between 65 to 90 percent of the Zanzibar Arab-Swahili population was enslaved.
. Slaves were used to carry ivory to the coast but were also required for clove plantations in Zanzibar and in sugar plantations in Mauritius. Other slaves were exported to the Persian Gulf, Europe and Americas.One of the most famous slave traders on the East African coast was Tippu Tip, who was himself the grandson of an enslaved African.
tupu.jpg

Wewe kweli Mchunga Ng'ombe, eti hiyo iko katika Ubalozi, sasa unategemea hapo kutaekwa historia ilondikwa na nani na hali hakuna kitabu hata kimoja kilondikwa na waathirika na utumwa huo hata mmoja. Teh teh teh.

Na hizo picha kwa mafano hayo masanamu ya pale Kanisa la Mkunazini kama kawaida yamejengwa pale na mzungu m-Swedish mwanamke wakati wa siasa za chuki za Serikali ya Dr. Salmin Amour. Na wakati wa utawala wa Seyyid Khalifa utumwa ulikuwa haupo tena Zanzibar.

DUH! Yaanai umethubutu kuondoa picha ya Mzungu kwenye hiyo picha ya watumwa na pembe za ndovu na kumuweka mtu mweusi Tipu Tip sababu tu ana damu ya Kiarabu SHAME ON YOU!

Mpaka lini mtaukimbia ukweli ambao utawaacha huru katika dimbwi la utumwa wenu wa chuki dhidi ya waarabu?
 
huwa inanikera sana yanapoitwa mapinduzi matukufu Mungu atusamehe
Mkuu Lusungo pole sana ila itabidi uendelee tuu kukereka hadi mlibadili hilo jina, na mimi ushauri nimewapa.
Vivyo hivyo kwa MAPINDUZI MATUKUFU, aliyeyaita MAPINDUZI MATUKUFU, sio mimi, mimi nimezaliwa nimekuta yanaitwa MAPINDUZI MATUKUFU, na mimi nayaita MAPINDUZI MATUKUFU, wa kujibu ni kwa nini yanaitwa MAPINDUZI MATUKUFU, na utukufu wa MAPINDUZI hayo MATUKUFU ni upi au ni nini, wanayajua hao walioyaita MAPINDUZI MATUKUFU, ila kama lengo ni kuyabadili jina toka MAPINDUZI MATUKUFU na kuwa ni MAUAJI YA KIMBARI! mnaweza kuyabadili jina, na wote watakaozaliwa sasa wakikuta yanaitwa MAUAJI YA KIMBARI, watayaita MAUAJI YA KIMBARI, na jina hili jipya nalo litakuwa al maarufu kama jina la MAPINDUZI MATUKUFU!.
Pasco
 
Kwanza,
Kwanza neno zenj waarabu walilitumia kuwazalilisha watu weusi. Zanzibar ni kama kusema nigger land. Kwaiyo mkiongea na waarabu mnaweza nkawa mnachekesha mkijivunia kuwa mmetoka zanzibar. Nivizuri mama mkibadilisha na jina kabisa

Ni kweli kabisa ni vizuri wazanzibar wakabadilisha jina, kwa sababu hata tusi mshenzi, limetokana na m-zenj, hili walikuwa wakitukanana waarabu wao kwa wao, yaani maana yake muarabu kufananishwa na mwafrika lilikuwa bonge la tusi. Hivyo unaposema mshenzi kimsingi unachosema ni mzanzibari!
 
We kilaza nimekuwekea link ya The high commission for the united republic od Tanzania - New Delhi kama source.

We bonyeza utaona napicha ya kikwete ujue ndio tashiwa ya zanzibar serekali yakwe imeanika kwa waindi.

Hapa nimelazimika kucheka kidogo!

Ni sawa na kesi ya wizi iko mahakamani halafu shahidi pekee ni yule anaedai kuibiwa!

Sasa hio kesi bado itakuwa hai??

Watanzania ndio mnaodai mwarabu alitutesa bla bla bla!
Nakuuliza source! Unasema source ni UBALOZI WA TANZANIA India!
Duhhh! Kaazi kweli kweli.
😀😀😀
 
Wewe kweli Mchunga Ng'ombe, eti hiyo iko katika Ubalozi, sasa unategemea hapo kutaekwa historia ilondikwa na nani na hali hakuna kitabu hata kimoja kilondikwa na waathirika na utumwa huo hata mmoja. Teh teh teh.

Na hizo picha kwa mafano hayo masanamu ya pale Kanisa la Mkunazini kama kawaida yamejengwa pale na mzungu m-Swedish mwanamke wakati wa siasa za chuki za Serikali ya Dr. Salmin Amour. Na wakati wa utawala wa Seyyid Khalifa utumwa ulikuwa haupo tena Zanzibar.

DUH! Yaanai umethubutu kuondoa picha ya Mzungu kwenye hiyo picha ya watumwa na pembe za ndovu na kumuweka mtu mweusi Tipu Tip sababu tu ana damu ya Kiarabu SHAME ON YOU!

Mpaka lini mtaukimbia ukweli ambao utawaacha huru katika dimbwi la utumwa wenu wa chuki dhidi ya waarabu?

Peleka lawama zako kwa Kikwete na watu wake wa The high commission for the united republic of Tanzania - New Delhi. Nazani utakuwa na machungu kwasababu babu yako Tippu Tip biashara yake waliifilisi.
 
Maajabu? Someni, tafuteni!! Sio mlishwe tu Halelujah mkaitikia «Emen»

Wazungu mpaka.walitumia Sayansi kuwafanya waafrika watumwa!

Bristol and Transatlantiska
Mawazo ya ubaguzi wa rangi

Kadiri biashara ya watumwa ilivyoendelea, Wazungu walianzisha itikadi ya ubaguzi wa rangi ambayo inaweza kutumika kuhalalisha hiyo biashara. Waafrika walikuwa walidhaniwa kuwa daraja la chini ya binadamu, wasio na ustaarabu, na watu duni mbele ya Wazungu katika kila hali. Na kuwa wao watu weusi walikuwa yaani 'si miongoni mwao' (wakisema "not one of us"), walikuwa ni kama bidhaa wanaweza kununuliwa na kuuzwa. Maendeleo ya ubaguzi wa rangi yanahusishwa na biashara ya watumwa.

Biashara ya watumwa isingaliendela bila ya itikadi hii kutumika ili kuihalalisha.

Ubaguzi wa rangi hauwezi kupuuzwa katika utafiti wowote biashara ya utumwa.

Wa Anglikana kwao rangi nyeusi ilishabihishwa na mauti na uovu kwa karne na dahari, kabla ya kukutana watu wowote weusi. Hivyo muonyo wao wa kwanza kwa watu wenye ngozi nyeusi ilikuwa kudhani kwamba walikuwa baadhi aina ya shetani au mnyama wa kutisha. Kutokana na dhana hii mbovu, na kutokana na hadithi za wasafiri, ukazuka ubaguzi wa wa-Afrika, kama washenzi, kuwa ni wepesi kwa mifadhaiko ya ngono, wavivu, wasioaminika na walaji nyama ya watu (cannibalistic). Kulikuwa na watu wachache ambao walipinga mtazamo huu wa kibaguzi. Richard Ligon, katika kitabu Chake Historia ya Kweli na Halisi ya Kisiwa cha Barbados, kilicho chapishwa katika 1657, aliandika dhidi ya dhana hiyo mashuhuri. Yeye aliamini 'kwamba walikuwa waaminifu, wenye imani (faithfull) na miongoni mwao kuna watu wenye utambuzi, kama miongoni mwa wale wa Ulaya.

Na kutoka mwaka 1600, na maendeleo ya kisayansi kuzidi katika Ulaya, ubaguzi wa rangi nao 'ulithibitishwa' (kuhalalishwa) kisayansi. Wanasayansi na wana falsafa kama David Hume alidiriki kusema ya kuwa Waafrika walikuwa 'kijinsia ni watu duni kwa wazungu'. Iliaminika zaidi kwamba Waafrika na Wazungu walikuwa na Maendeleo tofauti.
Wengi, kama Sir Thomas Herbert, kuandika katika 1634, waliamini kuwa Waafrika lazima wanahusiana na nyani na walikuwa tofauti na ni kabila duni. Hii ilikuwa muda mrefu kabla nadharia ya Charles Darwin ya Mageuzi (Evolution), ambayo ilionyesha kuwa binadamu wote asili yao ni moja (Nyani). Katika kipindi cha karne ya 18 na 19, watu wengi weupe walipiga kampeni kwa ajili ya kusitisha biashara ya watumwa na Uhuru wa watumwa. Lakini ni watu weupe wachache tu waliamini katika usawa watu wote, kwamba ni usawa kati ya Jamii ya weusi na weupe.

Katika karne ya 19, itikadi ya ubaguzi wa rangi ilipewa nguvu sayansi 'fake' kama hii phrenology. Iliaminika kwamba sura na umbo la fuvu ndio linaashiria tabia ya mtu. Phrenologists walitumia nadharia yao juu fuvu la Mwafrika na kujumuisha Waafrika Wote kama ni Duni kwa Jamii nyeupe kielimu, kiutamaduni na kimaadili. Phrenology ilionyesha Waafrika kuwa unsuited kufanya Kazi Nyingine Zaidi ya kwamba inasimamiwa na watu weupe. Katika Mawazo ya wengi wao, hii iliwapa haki ya kuwafanya Waafrika kuwa watumwa.

Utafiti wa teleology unalenga katika Ubunifu Asilia (design in nature). Hii iliwapa wazungu haki ya kusema kuwa Waafrika walikuwa, kiasili, wanafaa kwa kufanya Kazi za nguvu lakini si za kufikiri na za ujuzi. Walikuwa, wameumbwa kuwatumikia watu weupe. "Negro kama (wanavyowaita) kwa ujumla alizaliwa awe Mtumwa" aliandika Sir Harry Johnston, Mkoloni wa Kiingereza katika Afrika katika miaka ya 1890.

Anthropology, utafiti wa watu, katika mambo mengine ulikita katika uchunguzi wa ukubwa wa ubongo na maumbile ya kimwili ya watu. Anthropologists nao walithubutu kuhitimisha kwamba wa Afrika walikuwa ni watu Duni kuliko Wazungu, Aina tofauti ya watu yenye ukaribu zaidi kuhusiana nyani kuliko wazungu.

Naturalist wa Kiingereza, Charles Darwin, akaanzisha ya nadharia ya Mageuzi [Evolution] Nadharia yake alipendekeza kuwa Wazungu walikuwa wanahusiana na Waafrika na kwamba binadamu Wote walikuwa wanahusiana na nyani. Wakati hii ilitoa kero kwa ile anthropological theory kuhusu aina tofauti na anwaa za maumbile, Mambo mengine ya nadharia ya mabadiliko bado 'yalithibitisha' ubora wa Jamii nyeupe Juu ya Jamii za wengine Wote. Nadharia yake aliona kuwa Anglo-Saxon, yaani, British, wako daraja ya juu katika kipimo cha mabadiliko [Evolutionary Scale]. Yaani Waingereza walikuwa Juu ya Mti wa Familia ya Wanadamu, zaidi 'kistaarabu' [Most Civilized Race]. Wafrika, as 'primitive' race, wailionekana kuwa kama watoto wachanga na unintelligent. Jamii 'Duni' waliokuwa wamepotea aidha ili watawaliwe au kuangamizwa na Jamii 'Bora' (Weupe). Maisha ya Mwenye Nguvu Mpishe (Survival of fittest theory) ilikuwa ni sheria katika nadharia ya Darwin ya Mageuzi.

Imani katika Ubwanyenye wa Jamii ya watu Weupe Uingereza na Ulaya ndio ulihuisha upanuzi wa himaya (Empire). Himaya ya Uingereza iliongezeka wa Kutoka Wazo 'kwamba Uingereza walikuwa Kabila Bora la Utawala wa Dunia', maoni yaliyotolewa na Cecil Rhodes, mtawala wa kikoloni ambaye alianzisha koloni ya Uingereza ya Rhodesia, katika Afrika kusini ya Equator (Sasa Zimbabwe).

Hizi nadharia za 'kisayansi' nadharia za uduni wa Muafrika kwa ujumla ulikubalika na wananchi wa Uingereza. Ubaguzi wa rangi ilikuwa kuchukuliwa kirahisi kama jambo la kawaida. Kwa mfano, vitabu vya GA Henty vilikuwa vikionekana kama vya umuhimu mkubwa kwa ajili wavulana. Kitabu chake "By Sheer Pluck": Hadithi ya Vita vya Ashanti kiliandikwa Mwaka 1884 na pengine bado kinapatikana katika Maktaba za SHULE Hadi katikati ya karne ya 20 wavulana wanasoma hicho hujifunza kuwa watu weusi ni KAMA Watoto tu. Wao Siku zote ama wanacheka tu au kufanya kugombana. Wao naturally ni wazuri wenye shauku (passionate), goigoi, lakini wenye juhudi ya kazi ngumu kwa muda tu; wajanja hadi hatua fulani, wajinga sana kupita maelezo... Wao hawana uhalisi, kabisa hawana uwezo wa Uvumbuzi (they are absolutely without originality, absolutely without inventive power)

Watu weusi wanaoishi nchini Uingereza, pamoja na wale wanaoishi katika nchi zao wenyewe Chini ya tawala za Ukoloni wa Ulaya, walikuwa lazima wakabiliane na ubaguzi huu. Ubaguzi wa rangi imekuwa ni kitovu cha mazoea kwa watu weusi katika Uingereza, kwa karne nyingi zilizopita.

Makala-Kwa hisani ya Peter Fryer na uchunguzi Juu ya Historia ya watu weusi nchini Uingereza katika kitabu chake "Staying in Power" (Kubaki Madarakani)

Hebu nipe reference japo moja ya mzungu kununua watumwa zanzibar! alikuwa akiwapeleka wapi? tufunge mjadala.
 
Mkuu Lusungo pole sana ila itabidi uendelee tuu kukereka hadi mlibadili hilo jina, na mimi ushauri nimewapa.

Wewe Pasco ni wa hapa hapa tuh,,

Hautupotezei muda na wala hutushughulish akili zetu,,

SOMETIMES YES,SOMETIMES NO,,

KIHIYO,NJAA KALI MPOKEA VIBAHASHA USIE NA MBELE WALA NYUMA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Lusungo pole sana ila itabidi uendelee tuu kukereka hadi mlibadili hilo jina, na mimi ushauri nimewapa.

Kwa kweli wazungu waliotajwa na.vituko vyao katika hii makala hapa chini watakuwa vindicated kwa jawabu yako Pasco. Teh teh teh:

Bristol and Transatlaisk
Itikadi ya ubaguzi wa rangi

Kadiri biashara ya watumwa ilivyoendelea, Wazungu walianzisha itikadi ya ubaguzi wa rangi ambayo inaweza kutumika kuhalalisha hiyo biashara. Waafrika walikuwa walidhaniwa kuwa daraja la chini ya binadamu, wasio na ustaarabu, na watu duni mbele ya Wazungu katika kila hali. Na kuwa wao watu weusi walikuwa yaani 'si miongoni mwao' (wakisema "not one of us"), walikuwa ni kama bidhaa wanaweza kununuliwa na kuuzwa. Maendeleo ya ubaguzi wa rangi yanahusishwa na biashara ya watumwa.

Biashara ya watumwa isingaliendela bila ya itikadi hii kutumika ili kuihalalisha.

Ubaguzi wa rangi hauwezi kupuuzwa katika utafiti wowote biashara ya utumwa.

Wa Anglikana kwao rangi nyeusi ilishabihishwa na mauti na uovu kwa karne na dahari, kabla ya kukutana watu wowote weusi. Hivyo muonyo wao wa kwanza kwa watu wenye ngozi nyeusi ilikuwa kudhani kwamba walikuwa baadhi aina ya shetani au mnyama wa kutisha. Kutokana na dhana hii mbovu, na kutokana na hadithi za wasafiri ', ukazuka ubaguzi wa wa-Afrika, kama washenzi, kuwa ni wepesi kwa mifadhaiko ya ngono, wavivu, wasioaminika na walaji nyama nyama (cannibalistic). Kulikuwa na watu wachache ambao walipinga mtazamo huu wa kibaguzi. Richard Ligon, katika kitabu Chake Historia ya Kweli na Halisi ya Kisiwa cha Barbados, kilicho chapishwa katika 1657, aliandika dhidi ya dhana hiyo mashuhuri. Yeye aliamini 'kwamba waaminifu, wenye imani (faithfull) na miongoni mwao kuna watu wenye utambuzi, kama miongoni mwa wale wa Ulaya.

Na kutoka mwaka 1600, na maendeleo ya kisayansi kuzidi katika Ulaya, ubaguzi wa rangi nao 'ulithibitishwa' (kuhalalishwa) kisayansi. Wanasayansi na wana falsafa kama David Hume alidiriki kusema ya kuwa Waafrika walikuwa 'kijinsia ni watu duni kwa wazungu'. Iliaminika zaidi kwamba Waafrika na Wazungu walikuwa na Maendeleo tofauti.
Wengi, kama Sir Thomas Herbert, kuandika katika 1634, waliamini kuwa Waafrika lazima wanahusiana na nyani na walikuwa tofauti na kabila duni. Hii ilikuwa muda mrefu kabla nadharia ya Charles Darwin ya Mageuzi (Evolution), ambayo ilionyesha kuwa binadamu wote asili yao ni moja (Nyani). Katika kipindi cha karne ya 18 na 19, watu wengi weupe walipiga kampeni kwa ajili ya kusitisha biashara ya watumwa na Uhuru wa watumwa. Lakini ni watu weupe wachache tu waliamini katika usawa watu wote, kwamba ni usawa kati ya Jamii ya weusi na weupe.

Katika karne ya 19, itikadi ya ubaguzi wa rangi ilipewa nguvu sayansi 'fake' kama hii phrenology. Iliaminika kwamba sura na umbo la fuvu ndio linaashiria tabia ya mtu. Phrenologists walitumia nadharia yao juu fuvu la Mwafrika na kujumuisha Waafrika Wote kama ni Duni kwa Jamii nyeupe kielimu, kiutamaduni na kimaadili. Phrenology ilionyesha Waafrika kuwa unsuited kufanya Kazi Nyingine Zaidi ya kwamba inasimamiwa na watu weupe. Katika Mawazo ya wengi wao, hii iliwapa haki ya kuwafanya Waafrika kuwa watumwa.

Utafiti wa teleology unalenga katika Ubunifu Asilia (design in nature). Hii iliwapa wazungu haki ya kusema kuwa Waafrika walikuwa, kiasili, wanafaa kwa kufanya Kazi za nguvu lakini si za kufikiri na za ujuzi. Walikuwa, wameumbwa kuwatumikia watu weupe. "Negro kama (wanavyowaita) kwa ujumla alizaliwa awe Mtumwa" aliandika Sir Harry Johnston, Mkoloni wa Kiingereza katika Afrika katika miaka ya 1890.

Anthropology, utafiti wa watu, katika mambo mengine ulikita katika uchunguzi wa ukubwa wa ubongo na maumbile ya kimwili ya watu. Anthropologists nao walithubutu kuhitimisha kwamba wa Afrika walikuwa ni watu Duni kuliko Wazungu, Aina tofauti ya watu yenye ukaribu zaidi kuhusiana nyani kuliko wazungu.

Naturalist wa Kiingereza, Charles Darwin, akaanzisha ya nadharia ya Mageuzi [Evolution] Nadharia yake alipendekeza kuwa Wazungu walikuwa wanahusiana na Waafrika na kwamba binadamu Wote walikuwa wanahusiana na nyani. Wakati hii ilitoa kero kwa ile anthropological theory kuhusu aina tofauti na anwaa za maumbile, Mambo mengine ya nadharia ya mabadiliko bado 'yalithibitisha' ubora wa Jamii nyeupe Juu ya Jamii za wengine Wote. Nadharia yake aliona kuwa Anglo-Saxon, yaani, British, wako daraja ya juu katika kipimo cha mabadiliko [Evolutionary Scale]. Yaani Waingereza walikuwa Juu ya Mti wa Familia ya Wanadamu, zaidi 'kistaarabu' [Most Civilized Race]. Wafrika, as 'primitive' race, wailionekana kuwa kama watoto wachanga na unintelligent. Jamii 'Duni' waliokuwa wamepotea aidha ili watawaliwe au kuangamizwa na Jamii 'Bora'. Maisha ya Mwenye Nguvu Mpishe (Survival of fittest theory) ilikuwa ni sheria katika nadharia ya Darwin ya Mageuzi.

Imani katika Ubwanyenye wa Jamii ya watu Weupe Uingereza na Ulaya ndio ulihuisha upanuzi wa himaya (Empire). Himaya ya Uingereza iliongezeka wa Kutoka Wazo 'kwamba Uingereza walikuwa Kabila Bora la Utawala wa Dunia', maoni yaliyotolewa na Cecil Rhodes, mtawala wa kikoloni ambaye alianzisha koloni ya Uingereza
ya Rhodesia, katika Afrika ya kusini (Sasa Zimbabwe).

Hizi nadharia za 'kisayansi' nadharia za duni wa Muafrika kwa ujumla ulikubalika na wananchi wa Uingereza. Ubaguzi wa rangi ilikuwa kuchukuliwa kirahisi kama jambo la.kawaida. Kwa mfano, vitabu vya GA Henty vilikuwa vikionekana kama vya umuhimu mkubwa kwa ajili wavulana. Kitabu chake "By Sheer Pluck": Hadithi ya. Vita vya Ashanti kiliandikwa Mwaka 1884 na pengine bado inapatikana katika Maktaba za SHULE Hadi katikati ya karne ya 20. wavulana wanasoma hicho hujifunza kuwa watu weusi ni 'KAMA Watoto tu. Wao Siku zote ama wanacheka tu au kufanya kugombana. Wao naturally ni wazuri wenye shauku (passionate), goigoi, lakini wenye juhudi ya kazi ngumu kwa muda; wajanja hadi hatua fulani, wajinga sana kupita maelezo ya ... Wao hawana uhalisi, kabisa hawana uwezo wa Uvumbuzi (they are absolutely without originality, absolutely without inventive power)

Watu weusi wanaoishi nchini Uingereza, pamoja na wale wanaoishi katika nchi zao wenyewe Chini ya tawala za Ukoloni wa Ulaya, walikuwa lazima wakabiliane na ubaguzi huu. Ubaguzi wa rangi imekuwa ni kitovu cha mazoea kwa watu weusi katika Uingereza, kwa karne nyingi zilizopita.

Makala-Kwa hisani ya Peter Fryer na uchunguzi Juu ya Historia ya watu weusi nchini Uingereza katika kitabu chake "Staying in Power" (Kubaki Madarakani)

YAANI ILIVYOKUWA UMEYAKUTA YANAITWA MATUKUFU BASI NA WEWE UTAYAITA HIVYO HIVYO. DAH!

Yaaani Wewe Pasco kama wewe ni kweli kama walivyosema hapo, you are absolutely without originality and absoulutely without inventive power.😀😀:thumbdown:
 
Last edited by a moderator:
Hebu nipe reference japo moja ya mzungu kununua watumwa zanzibar! alikuwa akiwapeleka wapi? tufunge mjadala.

Mimi sisomeshi bure hasa mtu aliekuwa hafahamu wala hafanyi revision ya masomo yake. Wewe nadhani ulianza kufeli tokea shule ya msingi. Huo ni mtihani wako mwenyewe uliojibandika katafute wewe ulete hapa uthibitishe 'uwongo' wangu.

Bado mnataka mjadala na uzi mwengine hali huu umewashinda. Teh teh teh

Pole kwa jmali kwa kukosa kufikiri, teh teh teh
kahtaan, Ritz, wabara
 
Last edited by a moderator:
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

Kumbe Yehova ndiye aliyeumba sasa vp tena Yesu anakua Mungu maana hata Paulo Mroma amemwita Mungu Mkuu?
 
Kwa kweli wazungu waliotajwa na.vituko vyao katika hii makala hapa chini watakuwa vindicated kwa jawabu yako Pasco. Teh teh teh:

YAANI ILIVYOKUWA UMEYAKUTA YANAITWA MATUKUFU BASI NA WEWE UTAYAITA HIVYO HIVYO. DAH!

Yaaani Wewe Pasco kama wewe ni kweli kama walivyosema hapo, you are absolutely without originality and absoulutely without inventive power.😀😀:thumbdown:
Mkuu Kahawarizim, kwanza nakushukuru kwa makala ndefu ya kuilimisha!, majina yote watu wanayaita yale waliyoyakuta mpaka yabadilishwe!. Yale yanaitwa Mapinduzi Matukufu na yataendelea kuitwa Mapinduzi Matukufu mpaka pale mtakapolibadili hilo jina na kuyapa jina jengine!.

Mapinduzi Daima!.

Pasco
 
Hapa tunaongelea mambo ya Demokrasia ya nchi yetu, Na cha kushukuru ni kuwa ANDIKO HALITUTAWALI!
Maana yake DEMOKRASIA IMEPIGWA MARUFUKU KABISA KTK ANDIKO LETU TAKATIFU LA AGANO JIPYA!

BWANA ANASEMA!

Luka 19 : 12-48

19.12 Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.

19.13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.

19.14 Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.

19.15 Ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake.

19.16 Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
19.17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.

19.18 Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.

19.19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano.

19.20 Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.

19.21 Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.

19.22 Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda;

19.23 basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake?

19.24 Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.

19.25 Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.

19.26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.

19.27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Hapa tunajifunza mambo mawili!

kwanza Masikini wote kwa kauli ya yesu wanatakiwa kunyang'anywa walichonacho!

pili Atakae kataa kumfuata kiongozi mwenye imani hii kwa MUJIBU WA ANDIKO AKAMATWE AKACHINJWE MBELE YA KIONGOZI.

Yaani mkuu nyie mkitekeleza haya maandiko, saa hii kina
Ritz CHAMVIGA kahtaan wabara gombesugu crabat Adiosamigos Khawarizm THE BIG SHOW na Ngongoseke wameshachinjwa zamaani.
Wote wawili mnaoshadidia jambo lililo nje ya mada nawashangaa sana.Ni vipofu wawili wanaoongozana.
KTK UISLAM MTUKUFU USAHIHI WA HADITHI YOYOTE,HATA IWE IMESIMULIWA NA NANI,KIPIMO CHAKE NI QUR'AN TUKUFU.IKIPINGANA NA QUR'AN HIYO SIO SAHIHI NA IKIKUBALIANA NA QUR'AN BASI HIYO NI SAHIHI.
Tatizo la Wakristu wanasomaQur'an Tukufu kama wanavyosoma Biblia Takatifu.Kila aya ktk Qur'an Tukufu ni tukio la kihistoria na lina tafsiir yake.Na tunaambiwa na Qur'an Tukufu kwamba hawaelewi ila wale "WALIOZAMA KTK ELIMU"Tutumie muda kidogo kufikiri ndipo tuandike sio kuandika kila linalokuja kichwani maana tukikosa kufikiri japo kidogo tutaangamia.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kahawarizim, kwanza nakushukuru kwa makala ndefu ya kuilimisha!, majina yote watu wanayaita yale waliyoyakuta mpaka yabadilishwe!. Yale yanaitwa Mapinduzi Matukufu na yataendelea kuitwa Mapinduzi Matukufu mpaka pale mtakapolibadili hilo jina na kuyapa jina jengine!.

Mapinduzi Daima!.

Pasco

Pasco,
Upo mwandishi usokuwa na research ?!

Kweli umeamua kututhibitishia kuwa UNAMEZESHWA KILA ULIONALO KWAKO NI SAWA HAKUNA KUHOJI SOURCE ?!

Hata kasuku wangu ana afadhali, maana pana jumbe zangine haropoki kama uropokavyo weye!.

Hebu pinga kauli zangu kwa suali hapo juu, kwanini yakaitwa MAPINDUZI MATUKUFU"?!

Usilete majibu ya vituko kama ulomjibiza Marire,
Ahsanta .
 
Mkuu Wabara, hili la kumezeshwa, nalikubali, na kasuku pia nalikubali!.

Jee kuyaita Mapinduzi Matukufu ni kuropoka?,

Jina la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ndilo jina liitwalo mapinduzi hayo, kama lilivyo jina lako mkuu Wabara!. Mwenye jukumu la kujua kwanini yaitwe Mapinduzi Matukufu ni waliolitoa hilo jina la Mapinduzi Matukufu na sio sio sisi tulioyakuta na kukuta yakiitwa Mapinduzi Matukufu kama vile nilivyokukuta wewe unaitwa Wabara, aliyekupa jina la Wabara ndie anaejua kwanini wewe uitwe Wabara!.

Jana katika maadhimisho hayo, kila mzungumzaji ameyasajihisha mapionduzi hayo na jina la Mapinduzi Matukufu, nikawaambia mumsikilize Dr. Shein akiuzungumzia utukufu wa Mapinduzi yale Matukufu!.

Hivyo wenye jibu sahihi, kwa nini yakaitwa Mapinduzi Matukufu ni waliyoyaitwa hivyo, sisi wengine wote ni makasuku tuu wa jina hilo la Mapinduzi Matukufu, na mwenye kutaka kuutafuta utukufu wa Mapinduzi hayo Matukufu, atawauliza wajuzi wa Mapinduzi hayo Matukufu na kuutafuta utukufu wake, kwa mimi, ile kuyajua tuu kuwa yanaitwa Mapinduzi Matukufu, kwangu inatosha na ninayaita hivyo yanavyoitwa Mapinduzi Matukufu!.

Mapinduzi Daima.

Pasco.
 
Wanabodi,

Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30.

Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first hand information kuhusu mapinduzi hayo! akihojiwa na Baruan Muhuza wa BBC. Amekiri kuwa Sultani hakufukuzwa Zanzibar, alikuwa akitafutwa hivyo alitoroka mwenyewe!, na baada ya Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, bali walijiondokea wenyewe!.

Kesho kutafanyika mjadala maalum kuhusu Mapinduzi hayo Matukufu ya Zanzibar utakaoanza saa 12:45-1:30.

Siku ya kilele, kutatolewa nishani maalum za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, sijui kama yule shujaa halisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Field Marshal John Okello, atakumbukwa!.

Pasco.

Na alikwenda KENYA kuomba Msaada wakamyima... akamwomba NYERERE akapewa chombo madhubuti kilichomfikisha UINGEREZA...

Kwahiyo NYERERE alimsaidia kuokoa maisha yake...
 
hapa tunaongelea mambo ya demokrasia ya nchi yetu, na cha kushukuru ni kuwa andiko halitutawali!
maana yake demokrasia imepigwa marufuku kabisa ktk andiko letu takatifu la agano jipya!

bwana anasema!

luka 19 : 12-48

19.12 basi akasema, mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.

19.13 akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, fanyeni biashara hata nitakapokuja.

19.14 lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, hatumtaki huyu atutawale.

19.15 ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake.

19.16 akaja wa kwanza, akasema, bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
19.17 akamwambia, vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.

19.18 akaja wa pili, akasema, bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.

19.19 akamwambia huyu naye, wewe uwe juu ya miji mitano.

19.20 akaja mwingine akasema, bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.

19.21 kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.

19.22 akamwambia, nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda;

19.23 basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake?

19.24 akawaambia waliosimama karibu, mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.

19.25 wakamwambia, bwana, anayo mafungu kumi.

19.26 nawaambia, kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.

19.27 tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

hapa tunajifunza mambo mawili!

Kwanza masikini wote kwa kauli ya yesu wanatakiwa kunyang'anywa walichonacho!

Pili atakae kataa kumfuata kiongozi mwenye imani hii kwa mujibu wa andiko akamatwe akachinjwe mbele ya kiongozi.

Yaani mkuu nyie mkitekeleza haya maandiko, saa hii kina
ritz chamviga kahtaan wabara gombesugu crabat adiosamigos khawarizm the big show na ngongoseke wameshachinjwa zamaani.
mkuu bill cosby huyo jamaa anataka kujalibu sumu kwa kuilamba muache titapoteza maudhui ya huu uzi sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Wabara, hili la kumezeshwa, nalikubali, na kasuku pia nalikubali!.

Jee kuyaita Mapinduzi Matukufu ni kuropoka?,

Jina la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ndilo jina liitwalo mapinduzi hayo, kama lilivyo jina lako mkuu Wabara!. Mwenye jukumu la kujua kwanini yaitwe Mapinduzi Matukufu ni waliolitoa hilo jina la Mapinduzi Matukufu na sio sio sisi tulioyakuta na kukuta yakiitwa Mapinduzi Matukufu kama vile nilivyokukuta wewe unaitwa Wabara, aliyekupa jina la Wabara ndie anaejua kwanini wewe uitwe Wabara!.

Jana katika maadhimisho hayo, kila mzungumzaji ameyasajihisha mapionduzi hayo na jina la Mapinduzi Matukufu, nikawaambia mumsikilize Dr. Shein akiuzungumzia utukufu wa Mapinduzi yale Matukufu!.

Hivyo wenye jibu sahihi, kwa nini yakaitwa Mapinduzi Matukufu ni waliyoyaitwa hivyo, sisi wengine wote ni makasuku tuu wa jina hilo la Mapinduzi Matukufu, na mwenye kutaka kuutafuta utukufu wa Mapinduzi hayo Matukufu, atawauliza wajuzi wa Mapinduzi hayo Matukufu na kuutafuta utukufu wake, kwa mimi, ile kuyajua tuu kuwa yanaitwa Mapinduzi Matukufu, kwangu inatosha na ninayaita hivyo yanavyoitwa Mapinduzi Matukufu!.

Mapinduzi Daima.

Pasco.

Pasco
Naomba sasa usinotoroke katika jahazi hili ukazama na mie kujatukuwa lawama za ujanjaujanja wako.

Nadhani wakubali kuwa ati kutokana na muungano wa ASP+TANU = CCM,

Na Tanganyika + Zanzibar = TANZANIA.

Inakuwaje wewe kama Professional Journalist utukwepe ulizo letu zaidi ya week mbili ?

Kwa utangulizi hapo juu nadhani hutoshopoka na kutuata hapa jahazini.

Ama mfano ulonigeiya wa jina langu "wabara", mie nilileleka katika ndia za kupenda uliza nisipoelewa kwa adabu na hirama, kwa mantiki hiyo nafahamu kwanini mie kuitwa wabara.

Sasa nawe ukiulizwa ulizo la kwanini nchi hini kuitwa TANZANIA na mwanao/ any person naamini kuwa utamjuza sababu.

Na ukaulizwa kwanini kuitwa CCM pia kadhalika naamini utamfahamisha.

Tufungie kipengele hito kipengele ili nipate kukukumbusha baadhi ya vitu vangine.

Ahsanta .
 
Back
Top Bottom