Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #181
,kutaka
Vivyo kwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wako watu kibao wanaotosheka na jina tuu la Mapinduzi Matukufu, bila kutaka kujua chochote zaidi ya Mapinduzi Matukufu!. Mimi Pasco wa jf, nimetosheka na jina tuu la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar bila shauku ya kutaka kujua ni kwanini Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yanaitwa Mapinduzi Matukufu!.
Wenye kutaka kujua zaidi ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na kwanini Mapinduzi Matukufu hayo yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Utukufu wake ni upi, wako huru kuuliza.
Pasco
Mkuu Wabara, aulizaye ni yule tuu atakaye kujua zaidi!. Kuna watu kibao, wanaijua Tanzania kama nchi na kulijua jina la Tanzania bila kutaka kujua chochote zaidi na hivyo hawaulizi chochote zaidi ya jina, Tanzania!. Vivyo hivyo kwa CCM, wapo watu kibao wanaotosheka na jina tuu la CCM ni Chama cha Mapinduzi na kuishia hapo bila kutaka kujua chochote zaidi ya jina.Pasco
Naomba sasa usinotoroke katika jahazi hili ukazama na mie kujatukuwa lawama za ujanjaujanja wako.
Nadhani wakubali kuwa ati kutokana na muungano wa ASP+TANU = CCM,
Na Tanganyika + Zanzibar = TANZANIA.
Inakuwaje wewe kama Professional Journalist utukwepe ulizo letu zaidi ya week mbili ?
Kwa utangulizi hapo juu nadhani hutoshopoka na kutuata hapa jahazini.
Ama mfano ulonigeiya wa jina langu "wabara", mie nilileleka katika ndia za kupenda uliza nisipoelewa kwa adabu na hirama, kwa mantiki hiyo nafahamu kwanini mie kuitwa wabara.
Sasa nawe ukiulizwa ulizo la kwanini nchi hini kuitwa TANZANIA na mwanao/ any person naamini kuwa utamjuza sababu.
Na ukaulizwa kwanini kuitwa CCM pia kadhalika naamini utamfahamisha.
Tufungie kipengele hito kipengele ili nipate kukukumbusha baadhi ya vitu vangine.
Ahsanta .