Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Hivi alituma vikosi maalumu au mkanda mzima ulikuwaje?
Kuruvinza alikua bongo kwenye mkutano.baada ya kupindua wanamapinduzi walimvutia waya msoga ayabariki mapinduzi Msoga akagoma.

Kuruvinza akapewa wale jamaa wenye mbawa kifuani wakampeleka mpaka kijijini kwao kwa helkopta kisha wakaanza msafara na maderaya ya kijeshi kutokea kijijini kwao mpaka ikulu Bujumbura.
 
Nin swala la muda tuu ukisikia UGANDA mtu kaliwa KICHWA ujue MAJIRANI ni muda wowote
 
Mapinduzi si lele mama kama mdundiko. Mapinduzi yanahitaji vision ambayo inabidi ishirikishe wabobizi wa uchumi, siasa na maendeleo ya watu kwenye grass root.

Mapinduzi ya mbwembwe yanaishia kuuana bila sababu. Tulimwona Idd Amin Dada aliua watu wangapi mpaka maaskofu, wayahudi waliompa ndege za vita bure na kudhalilisha walemavu na kuwatupa mto nile.

Tujifunze kutoka kwa jirani yetu wa Rwanda jinsi ambavyo ameweza kuigeuza Rwanda ila amenyamazisha upinzani,

Tanzania tunatamani mapinduzi ila hatujui atakayeingia atakuwa na matakwa yapi? Akitaka mrusi aje hapa kwetu tutarajie machungu mengi na tutajuta wenyewe.

Tukimkaribusha mchina ndo yale yale tuliyozoea ya ubaguzi. Je, tupo tayari kwa mapinduzi ya kwetu tu bila kuomba nguvu za nje? Je, siasa tunayoihubiri itatosha kuwaaminisha watanzania sababu za mapinduzi?

Jibu ni hapana, sisi bado ni mazalia ya tanu na ccm na afro shiraz hivyo mpaka huu udongo utokomee ndo mtaweza kufanya mapinduzi. Hata kama jeshi litalipwa pesa kidogo kwa kima cha chini, watabaki tu si waliomba wenyewe hawa si kwa mujibu wa sheria.

Tumikia chama tawala mpaka mfute mazalia yote ya tanu ndo mtasonga mbele.

Usiku mwema.
 

Hapa kwetu mbona wanachelewa?
 

Naona Sasa trend inakaribia East East hivi
 
Screenshot iyo inajieleza
 

Attachments

  • Screenshot_20230917-223919.png
    108.6 KB · Views: 3
Alilainika vipi wakati alimdaka na kumuweka korokoroni mule jumba jeupe hadi Pengo akaingilia kuwa aachiwe na baadaye kufukuza wingu jeusi akaambiwe ampatie uteuzi wa nafasi ya ubunge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…