T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Huyo Ngueso mwenyewe kakaa hapo tangu 1997 tena na yeye alipofanya mapinduzi walishangilia.swali ni je,mapinduzi yana nia njema kwa wananchi au ndio yale yale kimtu kinakomaa hapo juu miaka 25 ijayo[emoji16][emoji16][emoji16]
BREAKING: Military coup in Congo at this moment.
The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.
Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.
DDGeopoliticsView attachment 2752729
UPDATES
Serikali imekanusha teteai zozote kuhusu majaribio ya mapinduzi nchini humo
Serikali ya Congo Brazzaville Government inayoongozwa na Rais Denis Sassou Nguesso kwenye andiko la X imekana kuhusu Mapinduzi yoyote dhidi ya Serikali hiyo
Vyombo kadhaa vya habari siku ya Jumapili vimeripoti kuhusu Mapinduzi jaribio la Mapinduzi kuendelea ndani ya nchi hiyo wakati Rais akiwa Ziarani nje ya nchi
Posti ya Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Thierry Moungalla, imekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wa Mtandao wa X.
Rais wa nchi hiyo ni Afisa wa zamani wa Jeshi, ambaye amekuwa kwenye madaraka tangu 1997
Chifu Hagaya kaa tayari. Mpaka sasa umeonesha kiwango duni cha Urais. Kukuacha ni kuliangamiza taifa. Bora upotee utuachie sovereignty na national wealth yetu. JWTZ ingieni kazini.Screenshot iyo inajieleza
Safi sana sio unakuta mianajeshi ya nchi nyingine ipo ipo tu kama Tanzania nchi imetamalaki kwa ufisadi na wizi wa kutisha mianajeshi ipo ipo tu kongole kwa wanajeshi wabukinabe, Niger,mali na kwingine mapinduzi yatakako endelea.Aisee
Mwenzako akinyolewa...
Naona saivi Warusi hawataki ujinga Afrika
Unadhani hao wanajeshi wakiingia ndo watakomesha ufisadi?Safi sana sio unakuta mianajeshi ya nchi nyingine ipo ipo tu kama Tanzania nchi imetamalaki kwa ufisadi na wizi wa kutisha mianajeshi ipo ipo tu kongole kwa wanajeshi wabukinabe, Niger,mali na kwingine mapinduzi yatakako endelea.
Kupiga watu bar na wanaopotea njia kwenye maeneo ya jeshiSafi sana sio unakuta mianajeshi ya nchi nyingine ipo ipo tu kama Tanzania nchi imetamalaki kwa ufisadi na wizi wa kutisha mianajeshi ipo ipo tu kongole kwa wanajeshi wabukinabe, Niger,mali na kwingine mapinduzi yatakako endelea.
Unafikiri mapinduzi ya kijeshi ndio yatakuletea maisha rahisi?🤣🤣🤣JWTZ.....kama kweli ni la wananchi na wala si la "wakoloni weusi".....lapaswa kufanya kitu kunusu wa TZ....
MAISHA NI MAGUMU...
Kuna nabii mmoja alitabiri haya mapinduzi ya kijeshi kwenye mataifa ya Afrika na Kwa Tz alisema aliona wananchi wakiandama kupinga serikali kwamba imetufikisha kwenye maisha magumu. Na ndiye alitabiri kuhusu matokeo ya chanjo ya COVID 19 na kusema yote hayo yataanza kutukia katikati ya 2023 kuelekea 2024/25. Na itakapofika 2024 serikali nyingi zitaanguka. Na kuhusu korona waliochanja watakuwa ktk Hali mbaya kuliko korona yenyewe na kitakuwa na vifo vya ghafla. Huyu ndiye alitabiri pia msiba wa Hayati Magufuli. Naona Kwa upande wa mapinduzi ya kijeshi Kwa mataifa ya Afrika,Ngoma imeanza kujibu! Tusubiri yajayo! Zaidi ni kuomba Toba na rehema kwa Mungu atuepushe na dhahama hizi.BREAKING: Military coup in Congo at this moment.
The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.
Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.
DDGeopoliticsView attachment 2752729
UPDATES
Serikali imekanusha teteai zozote kuhusu majaribio ya mapinduzi nchini humo
Serikali ya Congo Brazzaville Government inayoongozwa na Rais Denis Sassou Nguesso kwenye andiko la X imekana kuhusu Mapinduzi yoyote dhidi ya Serikali hiyo
Vyombo kadhaa vya habari siku ya Jumapili vimeripoti kuhusu Mapinduzi jaribio la Mapinduzi kuendelea ndani ya nchi hiyo wakati Rais akiwa Ziarani nje ya nchi
Posti ya Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Thierry Moungalla, imekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wa Mtandao wa X.
Rais wa nchi hiyo ni Afisa wa zamani wa Jeshi, ambaye amekuwa kwenye madaraka tangu 1997
Kuna mkoloni mbaya zaidi naye ni mtawala mweusiWATU WANAFURAHIA UKOLONI MAMBO SASA UNAOUJIA AFRIKA.HAKUNA MZUNGU MWENYE NIA NJEMA NA AFRIKA
Mmh mpya haya.Alilainika vipi wakati alimdaka na kumuweka korokoroni mule jumba jeupe hadi Pengo akaingilia kuwa aachiwe na baadaye kufukuza wingu jeusi akaambiwe ampatie uteuzi wa nafasi ya ubunge!
Hayo mapinduzi UchwaraBurundi yalitokea mapinduzi Msoga akayakataa na akamrudisha kwenye kiti hayati Kuruvinza.
Hujanielewa!!!!Unafikiri mapinduzi ya kijeshi ndio yatakuletea maisha rahisi?🤣🤣🤣
Hahaha waafrika kujitawala ni ngumu, ccm amegeuka mtawala korofi mweusi na sasa wanamrudisha mwarabuBravo Bravo✊✊✊ we need to rule by ourselves... Africa is for Africans.
na akifanya mpagani je?!Tz hii kitu haipaswi kutokea. Nchi imegawanyika sana kidini. Mapinduzi yoyote yatafanya nchi iwake moto.
pale juu kuna shetani mbaya sana.Kwanza ni kuonesha hao walioko madarakani wasione wengine kama nyani[emoji38][emoji38]
UthibitishoAisee
Mwenzako akinyolewa...
Naona saivi Warusi hawataki ujinga Afrika
BREAKING: Military coup in Congo at this moment.
The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital.
Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence.
View: https://dai.ly/x8o0qen
Hiyo haiwezi tokea na haitokaa itokee!Chifu Hagaya kaa tayari. Mpaka sasa umeonesha kiwango duni cha Urais. Kukuacha ni kuliangamiza taifa. Bora upotee utuachie sovereignty na national wealth yetu. JWTZ ingieni kazini.
Hakuna serikali ya kijeshi hapa Afrika imewahi saidia lolote. Ona Zimbabwe walimpindua Mugabe ila walioingia ndio majizi zaidi. Hata huko Niger sijui Burkina Faso ni suala la muda tu watarudia yale Yale walioyapinga.Safi sana sio unakuta mianajeshi ya nchi nyingine ipo ipo tu kama Tanzania nchi imetamalaki kwa ufisadi na wizi wa kutisha mianajeshi ipo ipo tu kongole kwa wanajeshi wabukinabe, Niger,mali na kwingine mapinduzi yatakako endelea.
Endeleea kuzamisha kichwa mchangani.Mimi kipofu sio ila wewe mzima. huo udini upo kwenye kichwa chako peke yako atleast ungeniambia kuna kuto kuelewana baina ya Watanganyika na Wazanzibar ningekuelewa ila sio huo upuuzi wa dini