Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

Na nini👔
Unahangaika na mabarua 😂😂
Hii nchi katika ishu ya vyeo ni mambo matatu
1. Wewe uwe mkubwa
2. Wewe uwe mtoto wa mkubwa
3. Wewe uwe unajuana na wakubwa.



Zaidi ya hapo utahangaika sana 😂😂
 
Unahangaika na mabarua 😂😂
Hii nchi katika ishu ya vyeo ni mambo matatu
1. Wewe uwe mkubwa
2. Wewe uwe mtoto wa mkubwa
3. Wewe uwe unajuana na wakubwa.



Zaidi ya hapo utahangaika sana 😂😂
Nilitaka kujua kama aliyetajwa na jamaa hapo juu humo yumo
 
Back
Top Bottom