Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Intel disclosed. We are watching closely!!!Kuna nafasi ya mbunge teuliwa inakuwa wazi soon, huyu jamaa tunampeleka huko ubalozini kisha tumuhoji kwanini alitaka kumsigina mama akiwa Tanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intel disclosed. We are watching closely!!!Kuna nafasi ya mbunge teuliwa inakuwa wazi soon, huyu jamaa tunampeleka huko ubalozini kisha tumuhoji kwanini alitaka kumsigina mama akiwa Tanga?
Mkuu what are you ploting?Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi.
Hivi katika dunia ya sasa, ya vyombo vya habari binafsi ambavyo vinafika nchi nzima na hata mitandao ya kijamii ambayo inaonekana dunia nzima, mapinduzi ya kijeshi yamebadilikaje au kuna uwezekano siku za mbele kuona mabadiliko ya jinsi mapinduzi yanavyofanyika?
Kwenye 'Arab Spring' nakumbuka mitandao ilitumika sana kuangusha serikali lakini hili ni jambo tofauti kidogo na ninaloliongelea lakini lina muelekeo huo huo.
Tukumbuke pia kuwa hata uvamizi wa kijeshi umebadilika. Marekani alipovamia Iraq alikuta adui amejipanga tofauti na yeye akasumbuka sana kupigana tofauti na alivyozoea.
Hili mnalionaje? Tulijadili kiutu uzima.
Unavyoamini wewe kuongelea mapinduzi ndio kujadili kisomi?Acha woga mkuu. Tuongee kisomi. Hakuna mtu anachochea lolote litokee ila ni majadiliano ya mabadiliko ya dunia. Kuna mijadala mingapi inafanyika humu mwisho wa siku watu wanajifunza na kuwa na uelewa mpana wa mambo.
Mkuu, asante kwa kuleta mada nzuri sana hapa jukwaa. Kwa ufupi sana ni kwamba;Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo.
Hapana mkuu. Umekosea kidogo. Saddam Hussein hakuwa amejipanga. Jeshi la Iraq lilikuwa dhaifu sana kutokana na lundo la vikwazo vya uchumi na silaha ilivyowekewa na Umoja Wa Mataifa (UN) baada ya kuivamia Kuwait kinyume na sheria za kimataifa.Tukumbuke pia kuwa hata uvamizi wa kijeshi umebadilika. Marekani alipovamia Iraq alikuta adui amejipanga
Mkuu, trajectory ya masuala ya dunia hubadilika kulingana na wakati. Mambo ya mwaka 1982 kamwe hayawezi kuwa sawa na haya ya mwaka huu wa 2022. Mapinduzi yaliyokuwa yanafanyika mwaka 1982 sio sawa na yanayoweza kufanywa mwaka 2022 na hii yote huwezeshwa na maendeleo ya kisayansi pamoja na kiteknolojia. Kwa kusema hayo machache ninaomba ujue si kwamba mapinduzi hayafanyiki kwa miaka ya hivi sasa, la hasha, yanafanyika ila kwa uchache na kwa njia za kisasa zaidi. Waingereza wanaita Silent Coups.kuna uwezekano siku za mbele kuona mabadiliko ya jinsi mapinduzi yanavyofanyika?
Mada haiongelei kupanga mapinduzi. Unadhani mimi mjinga kiasi gani hadi nilete mada ya namna hiyo? Siheshimu mtu anayekumbatia ujinga kwa visingizio mbalimbali, ikiwemo cha woga. Mimi naitwa MWANANCHI, unajua maana yake? Unadhani jukumu la kulinda nchi ni la jeshi peke yake?Unavyoamini wewe kuongelea mapinduzi ndio kujadili kisomi?
Hilo unalosema J.F. Kennedy aliliongelea kwenye ile hotuba yake maarufu miaka ya 60. Alisema dunia ya sasa siyo tena ya uvamizi bali ya kujipenyeza...." nimefanya tafsiri tu ila alisema "infiltration instead of invasion".Mkuu, trajectory ya masuala ya dunia hubadilika kulingana na wakati. Mambo ya mwaka 1982 kamwe hayawezi kuwa sawa na haya ya mwaka huu wa 2022. Mapinduzi yaliyokuwa yanafanyika mwaka 1982 sio sawa na yanayoweza kufanywa mwaka 2022 na hii yote huwezeshwa na maendeleo ya kisayansi pamoja na kiteknolojia. Kwa kusema hayo machache ninaomba ujue si kwamba mapinduzi hayafanyiki kwa miaka ya hivi sasa, la hasha, yanafanyika ila kwa uchache na kwa njia za kisasa zaidi. Waingereza wanaita Silent Coups.
Nakubali ni mada sensitive ila sijaileta kwa ubaya. Naamini humu kuna vichwa vilivyotulia ambavyo vinapenda kujadili mada zinazoweza kupanua uelewa wao na kusaidia wengine wawe na uelewa zaidi.Mada MBAYA!
UZI utaogopwa kuchangiwa na WATU!!
Two areas in common
"Main Money house and National Broadcasting corporation"
Case study;-jaribio la Burundi la Neyombare lililoshindwa kwa msaada wa mabaka toka Bongoland!
Upo sahihi sana mkuu. Pasipo kufanya vetting ya kutosha unaweza kukuta nusu ya jeshi/baraza la mawaziri ni mapandikizi wa nchi jirani hasimu (India Vs Pakistan)Hilo unalosema J.F. Kennedy aliliongelea kwenye ile hotuba yake maarufu miaka ya 60. Alisema dunia ya sasa siyo tena ya uvamizi bali ya kujipenyeza...." nimefanya tafsiri tu ila alisema "infiltration instead of invasion".
Mapinduzi pekee ambayo kwa upande wangu naona yalikuwa ni classic infiltration ni ya Misri ya Muslim Brotherhood maana wale walijipanga muda mrefu sana.
Mkuu, mada yako ni elimishi. Achana na wachache wanaokuvunja moyo.Nakubali ni mada sensitive ila sijaileta kwa ubaya. Naamini humu kuna vichwa vilivyotulia ambavyo vinapenda kujadili mada zinazoweza kupanua uelewa wao na kusaidia wengine wawe na uelewa zaidi.
Chawa walikuwa wanapandikizwa tangu miaka ya 1960s sema kwa siku hizi mbinu za kupandikiza zimekuwa za kisasa zaidi kwa sababu ya technology. Alafu human intelligence haitumiki saaana (especially kwa wazungu na sio Africa) kwa sababu ya vifaa vya kunasia mazungumzo (bugs) kuwa bora zaidi ya zile za cold war era.Mapinduzi ya siku hizi, ni kupandikiza majasui / Chawa wako, kwenye Serikali, Bunge na Mahakama...
From 1960 to Date Burkinafaso has Conducted 8 Military coups SuccessfulNenda Bukinafaso ukajifunze huko,maana wao kila baada ya miezi sita wanapindua.
Hata jana walipindua ....
Usituingize kwenye uhaini sisi.
CrapMada haiongelei kupanga mapinduzi. Unadhani mimi mjinga kiasi gani hadi nilete mada ya namna hiyo? Siheshimu mtu anayekumbatia ujinga kwa visingizio mbalimbali, ikiwemo cha woga. Mimi naitwa MWANANCHI, unajua maana yake? Unadhani jukumu la kulinda nchi ni la jeshi peke yake?
Mada kama hii inaweza kuamsha wahusika wafanye mabadiliko muhimu kwa faida ya usalama wa nchi, kama wakiona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.
Humo yumo?Kuna nafasi ya mbunge teuliwa inakuwa wazi soon, huyu jamaa tunampeleka huko ubalozini kisha tumuhoji kwanini alitaka kumsigina mama akiwa Tanga?
Naona upo serious.Humo yumo?View attachment 2375357