Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

John
Okello aliamini alikuwa akipokea
maelekezo /dokezo kutoka kwa
Mungu na akionyesha uwezo
usiokuwa wa kawaida kwa kutumia
nambari, kwa mfano tarehe 13
Januari, 1964, alitangaza ujumbe
ufuatao." Serikali sasa inaendeshwa
na sisi ikiwa mtakuwa wakaidi na
kukataa kutii amri, Nitachukua
hatua kali mara 88 zaidi ya hatua
ninazozichukua hivi sasa" na "Na
ikiwa yeyote atashidnwa kutii amri
ya kutotoka nje ya nyumba kama
walivyofanya wengine.sitokuwa na
njia nyengine lakini kutumia silaha
nzito. Sisi, ni jeshi lenye nguvu ya
99,099,000".

Hahahahah uyo ndio John Okello
 
Pasco naona umeikomalia hii

All in all kwa Dunia ya sasa ni ngumu sana kuficha ukweli na kadiri historia inavyokuwa loose and not formally presented ndio uongo wake unavyokuwa mwingi mno

Chimbuko la Okello ni uganda na inakisiwa alirudi huko baada ya kutoka Kenya na Idd Amini pengine alimtumia na kumuua ni hisia tu ambazo hata kwenye vitabu na wikipedia zipo

Ila sidhani kama ni Aibu hata leo hii kwa Wazanzibar kuukubali mchango wa huyu mtu, it happens, na pamoja na sababu zingine zote, ni bora basi ianzishwe nishani ya Okello ambayo itakuwa inatolewa siku ya mapinduzi

uungwana huu utazima maneno mengi, otherwise kila itakapofika sherehe ya mapinfuzi watu watakuwa wanarudi kwa Okello na kuandika historia yake

Karume na Babu kipindi hiki kigumu walikuwa wanakula bata DSM

kutoheshimu mchango wa mtu ndio tatizo letu waafrika na tunaingia kwenye aibu nyingi tu
 
Wazanzibari walishakubaliana na status quo' ya wakati huo na wasingeweza kubadilisha kitu bila msaada wa external backing.
Iligharimu mtu kutoka nje ya utamaduni wa akina 'Yakhe' kufika Zanzibar na kuhamasisha mabadiliko ya kung'oa utawala wa Kisultani.

Whether John Okello alikuwa kibaraka aliyetumwa na Waingereza au Wazungu gani, lakini finally ndiye aliyeongoza tendo la kihistoria la Mapinduzi.

Kwetu kuna msemo unasema kuwa pamoja na ukali wa chui, lakini pale inapoonekana dhahiri kuwa anaonewa basi atetewe.
 
Sio sahihi. Jiulize:
1: Kwa nn yule mzungu muuliza maswali alimwita Mzee Karume Mr. President ?
2:Kwani Okello alifanya mapinduzi peke yake?

Tafuta. kuijua hii history ya kweli mkuu...wakati baba wa Taifa la Zanzibar John Okello akiongoza kila kitu mpaka kumuondoa dhalimu mwarabu,Karume alikuwa Dsm amewapeleka kina Amani shule..mapunduzi matukufu yalifanyika chini ya Okello,uyo Karume alikuja kuadithiwa tu.

Aliyekuwa anatangaza kwenye radio ya Zanzibar amri zote na hatua zote ni Okello. yeye ndio aliongoza mission yote kuanzia utekaji wa ghala la siraha mpaka ikulu ya dhalimu sultani.
 
hivi huu muungano umewaletea faida gani wazanzibari? Bora hata ya huyo mwarabu aliwajengea mji na kuwaletea karafuu.
 
Hakuna kitu kinaitwa MAPINDUZI YA ZANZIBAR! HIYO NI GHILBA YA KIHISTORIA TU.

Zanzibar haikufanya mapinduzi bali wazungu walighilibu ulimwengu kupitia jina la kijana shupavu mkristo John Okelo.
 
Sio sahihi. Jiulize:
1: Kwa nn yule mzungu muuliza maswali alimwita Mzee Karume Mr. President ?
2:Kwani Okello alifanya mapinduzi peke yake?

John Okello
John Gideon Okello was an East African revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the proclamation of Zanzibar as a republic. Wikipedia
Born: 1937, Uganda
Died: 1971

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinaitwa MAPINDUZI YA ZANZIBAR! HIYO NI GHILBA YA KIHISTORIA TU.

Zanzibar haikufanya mapinduzi bali wazungu walighilibu ulimwengu kupitia jina la kijana shupavu mkristo John Okelo.
Broda,
Hujamalizia vizuri bandiko lako.
Hebu weka wazi hiyo ghilba lengo lake ilikuwa nini.
 
si dhambi mapinduzi yale yakifahamika kuwa yaliongozwa na Okelo,
 
John Okello
John Gideon Okello was an East African revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the proclamation of Zanzibar as a republic. Wikipedia
Born: 1937, Uganda
Died: 1971

cc Pasco
Ooh Lord,
Such an unbelievably young blood of just 34 years!
Rip Okello, the uncelebrated/unsung hero.

Ukiwasikiliza wazee wa Zanzibar utasikia wanasema Okello alikuwa kijana mhuni tu na mwenye utundu wa kuongea manenomaneno mengi.
 
Last edited by a moderator:
Kitafuteni Kitabu titled 'DISPOSSESED BUT NOT DEFITED' By Field Marshall John Okello, Hiki kitabu kinaelezea kila kitu kuhusiana na mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964
 
hivi huu muungano umewaletea faida gani wazanzibari? Bora hata ya huyo mwarabu aliwajengea mji na kuwaletea karafuu.

Jinga lolote likishakuwa ccm basi akili zinahamia kwenye tundu la kutolea haja kubwa.
 
Kitafuteni Kitabu titled 'DISPOSSESED BUT NOT DEFITED' By Field Marshall John Okello, Hiki kitabu kinaelezea kila kitu kuhusiana na mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964
Broda.
Weka hata dondoo kidogo John anasemaje juu ya kuporwa haki yake ya uanamapinduzi wa Zanziberi mchana kweupe.

Na kifo chake huyu Bwana mdogo wa miaka34 kilisababishwa na nini?...usikute alitangulizwa mbele za haki kama alivyofanyiwa Karegeye wa Rwanda hapo juzi na Kagame kule 'Sound Africa'.
 
John Okello
John Gideon Okello was an East African revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the proclamation of Zanzibar as a republic. Wikipedia
Born: 1937, Uganda
Died: 1971
Tatizo mkuu wikipedia sio Genuine source!!! haitambuliki kihivyo kwa sababu hata wewe na mimi tunaweza tukatumbukiza info huko na watu wakasoma....inshort wikipedia ni ---- unapobase source yako..
ni ushauri tuu.
 
Hiyo dhambi ya kutotambua mchango wa John Gideon Okello kwenye mapinduzi ya Zanzibar, itawatafuna milele.

Wale wazee mliokuwepo Zanzibar January 1964, hasa mji mkongwe mnakumbuka jinsi Okello alivyokuwa akipita mitaani na watu wote wakitoka nje na kumsujudia kama Mungu! Viongozi wote wa ASP walimuogopa Okello sana including huyo aliyepewa ubaba wa Taifa la Zanzibar na Nyerere kwenye kisahani cha dhahabu.
 
John
Okello aliamini alikuwa akipokea
maelekezo /dokezo kutoka kwa
Mungu na akionyesha uwezo
usiokuwa wa kawaida kwa kutumia
nambari, kwa mfano tarehe 13
Januari, 1964, alitangaza ujumbe
ufuatao." Serikali sasa inaendeshwa
na sisi ikiwa mtakuwa wakaidi na
kukataa kutii amri, Nitachukua
hatua kali mara 88 zaidi ya hatua
ninazozichukua hivi sasa" na "Na
ikiwa yeyote atashidnwa kutii amri
ya kutotoka nje ya nyumba kama
walivyofanya wengine.sitokuwa na
njia nyengine lakini kutumia silaha
nzito. Sisi, ni jeshi lenye nguvu ya
99,099,000".

Hahahahah uyo ndio John Okello
Wewe akili yako kama kasuku ipo masikioni kila unachokisikia unaropoka tu.
 
Ooh Lord,
Such an unbelievably young blood of just 34 years!
Rip Okello, the uncelebrated/unsung hero.

Ukiwasikiliza wazee wa Zanzibar utasikia wanasema Okello alikuwa kijana mhuni tu na mwenye utundu wa kuongea manenomaneno mengi.
No! No! He was not even 30!He was 27 by that time!. Very young boy.
 
Back
Top Bottom