matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Wewe akili yako kama kasuku ipo masikioni kila unachokisikia unaropoka tu.
Ebu leta wewe ambacho ni genuine,mimi naijua history ya nchi hii vema sana usipime kabisa..wewe usiyejua chochote utabaki kuwa mshabiki milele...Tuambie chochote unachojua kuhusu mapinduzi matukufu ya Znz.