JOHN Okello ndio baba wa taifa la Zanzibar..bila yeye leo waZnz wangekuwa bado utumwani chini ya mwarabu.
JOHN Okello ndio baba wa taifa la Zanzibar..bila yeye leo waZnz wangekuwa bado utumwani chini ya mwarabu.[Na sasa wamekuwa watumwa wa nani? Wa watanganyika? Pwagu Na pwaguzi]
Sio sahihi. Jiulize:
1: Kwa nn yule mzungu muuliza maswali alimwita Mzee Karume Mr. President ?
2:Kwani Okello alifanya mapinduzi peke yake?
Sio sahihi. Jiulize:
1: Kwa nn yule mzungu muuliza maswali alimwita Mzee Karume Mr. President ?
2:Kwani Okello alifanya mapinduzi peke yake?
Broda,Hakuna kitu kinaitwa MAPINDUZI YA ZANZIBAR! HIYO NI GHILBA YA KIHISTORIA TU.
Zanzibar haikufanya mapinduzi bali wazungu walighilibu ulimwengu kupitia jina la kijana shupavu mkristo John Okelo.
Ooh Lord,John Okello
John Gideon Okello was an East African revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the proclamation of Zanzibar as a republic. Wikipedia
Born: 1937, Uganda
Died: 1971
cc Pasco
hivi huu muungano umewaletea faida gani wazanzibari? Bora hata ya huyo mwarabu aliwajengea mji na kuwaletea karafuu.
Broda.Kitafuteni Kitabu titled 'DISPOSSESED BUT NOT DEFITED' By Field Marshall John Okello, Hiki kitabu kinaelezea kila kitu kuhusiana na mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964
Wewe akili yako kama kasuku ipo masikioni kila unachokisikia unaropoka tu.John
Okello aliamini alikuwa akipokea
maelekezo /dokezo kutoka kwa
Mungu na akionyesha uwezo
usiokuwa wa kawaida kwa kutumia
nambari, kwa mfano tarehe 13
Januari, 1964, alitangaza ujumbe
ufuatao." Serikali sasa inaendeshwa
na sisi ikiwa mtakuwa wakaidi na
kukataa kutii amri, Nitachukua
hatua kali mara 88 zaidi ya hatua
ninazozichukua hivi sasa" na "Na
ikiwa yeyote atashidnwa kutii amri
ya kutotoka nje ya nyumba kama
walivyofanya wengine.sitokuwa na
njia nyengine lakini kutumia silaha
nzito. Sisi, ni jeshi lenye nguvu ya
99,099,000".
Hahahahah uyo ndio John Okello
No! No! He was not even 30!He was 27 by that time!. Very young boy.Ooh Lord,
Such an unbelievably young blood of just 34 years!
Rip Okello, the uncelebrated/unsung hero.
Ukiwasikiliza wazee wa Zanzibar utasikia wanasema Okello alikuwa kijana mhuni tu na mwenye utundu wa kuongea manenomaneno mengi.