Wewe akili yako kama kasuku ipo masikioni kila unachokisikia unaropoka tu.
God forbid!No! No! He was not even 30!He was 27 by that time!. Very young boy.
Ebu leta wewe ambacho ni genuine,mimi naijua history ya nchi hii vema sana usipime kabisa..wewe usiyejua chochote utabaki kuwa mshabiki milele...Tuambie chochote unachojua kuhusu mapinduzi matukufu ya Znz.
Wewe haujui historia ya Tanganyika wala ya Zanzibar ungekuwa unajua usingeandika huo upuuzi kuwa Okello ndiyo aliandaa mapinduzi.Ebu leta wewe ambacho ni genuine,mimi naijua history ya nchi hii vema sana usipime kabisa..wewe usiyejua chochote utabaki kuwa mshabiki milele...Tuambie chochote unachojua kuhusu mapinduzi matukufu ya Znz.
ndugu pasco, kuna uzi zaidi ya mitano inayoongelea swala hili na wewe ni mkongwe hapa sidhani kama kulikuwa kuna haja ya kuanzisha uzi ,badala yake ungechangia tu uzi zilizopo kuhusu Okelo na karume na zanzibar
Wewe haujui historia ya Tanganyika wala ya Zanzibar ungekuwa unajua usingeandika huo upuuzi kuwa Okello ndiyo aliandaa mapinduzi.
Tatizo ni hilo jina la John, ukimwita Abdalah Okelo wote watakushangilia.
Hawa ndio walimshabikia Baraki Obama baada ya kuona pale katikati kuna jina la Hussein, leo wanajuta kumfahamu.
Wewe haujui historia ya Tanganyika wala ya Zanzibar ungekuwa unajua usingeandika huo upuuzi kuwa Okello ndiyo aliandaa mapinduzi.
Matusi ya ya nini ndugu yangu? Mbona unakua kama mtoto mdogoJinga lolote likishakuwa ccm basi akili zinahamia kwenye tundu la kutolea haja kubwa.
Muungano ukivunjika Zanzibar itarudi kwa waoman. Hii iko wazi kabisa.
hebu jiulize wazanzibari wakiambiwa wachague Kati ya Tanzania na Oman watachagua ipi? Je unajua influence ya Oman ilivyo Zanzibar kwa sasa? Wale wazanzibari waliokimbia zanzibar wakati wa mapinduzi sasa ndio wamerudi na wameishika zanzibar kuliko enzi za sultan.Sio iko wazi tu!!!
Toa sababu!
hebu jiulize wazanzibari wakiambiwa wachague Kati ya Tanzania na Oman watachagua ipi? Je unajua influence ya Oman ilivyo Zanzibar kwa sasa? Wale wazanzibari waliokimbia zanzibar wakati wa mapinduzi sasa ndio wamerudi na wameishika zanzibar kuliko enzi za sultan.

Hata mkajamba ujinga haki ya utaifa wa kweli zanziba utakuja.
Mnatumia kigezo cha uarabu kutugawa lakini kwa hilo mmenyoa.
Mnachokusudia ni dini. Miaka 50 kuwa na nyinyi kama ndugu hakuna tulichopata zaidi ya umaskini na dharau pamoja na vifo sasa yatosha na wazanzibari wanajitambua wao nii nani wala hawana haja ya mtanganyika wala oman.
Mkuu usipoteze energy yako bure! Huyu Matembere hana hoja! Hizo kasumba zao za Kuchukia waarabu na uoga wao dhidi ya Warabu hautushuhulishi kwa lolote!
Mkuu usipoteze energy yako bure! Huyu Matembere hana hoja! Hizo kasumba zao za Kuchukia waarabu na uoga wao dhidi ya Warabu hautushuhulishi kwa lolote!
Nishakujua wewe, Unaishi MAKUNDUCHI, umesoma DOLE SKULI, unasali MSIKITI WA MADOLE, kijiwe chako MCHAMBA WIMA, dukani KWA BATASHI a.k.a mfirajjj, laini yako HALUWA au TIGO, nickname yako ulipewa DARAJA BOVU. sabuni uipendayo MATE au VESELIN OIL, tumefahamiana shehe wangu?Hata mkajamba ujinga haki ya utaifa wa kweli zanziba utakuja.