ni kweli kabisa mkuumara nyingi historia za kiafrika hazihifadhiwi ipasavyo kwa mfano zanzibar revolution kuna majina kama edington kisasi walifanya mengi ktk mapinduzi hayo lakini hutasikia akitajwa...etc ...etc.....
sina hakika sana lakini nadhani ni bi Kongosho!sawa bwana Kongosho
respect bro,,saluti pia kwa waazilishi wa TAA na TANU,kina sykes waliosahauliwa japhet kirelo[meru] na wengine...saluti
Ni PM mkuu.Mkuu unaweza kuniunganisha kwa huyo jenerali nipate audio clip yake kuhusu mapinduzi?
Ewe mlevi wa chang'aa ujiitae jina la Slave Master wako...ati Nicholas! Duh!
Hivi wewe huko sunday school walikufundisha kiundani nini maana ya "Nikolas"!?
Acha kuzidi kupotosha hiyo misukule wenzio wa Chadema! Teeh! Teeh! Teeh!
Punguza hizo Racism na Islamophobia zako...yaani wewe na wale kenge wenzio waliokua vinara wa ile White Supremacist South Afrikan Regime,basi hamna tafauti kabisa!
Yaani tafauti zenu labda ni kiduchu tu kwenye urangi!...wenzio rangi zao ni pink kama ya nguruwe aka kitimoto,na weye rangi yako nyeusi imefanana na roho yako mbaya iloshibishwa chuki dhidi ya Bin-Adam wenzio/Waarabu na khasa Waislam!
Nina maana rangi yako nyeusi kama usiku wa manane!....Teeh! Teeh! Teeh!
Unajifanza kupotosha watu humu kwa kutaja/kuendeleza history zako fake za kibaguzi na chuki,sio!?
Mbona hutaji jinsi kabila lako la Wahalifu/Wachaga...jinsi gani waliwaadhibu pasi kiasi,tena kwa karne kadhaa na kuwauza kama Slaves ndugu zao wa Kipare!?
Au wajifanza hujui yayo!? Au wafikiri hapa wazungumza na vibwengo wenzio kwenye vikao vyenu vya mbege kule milimani!? Teeh! Teeh! Teeh!
Ahsanta.
maana kuna watu kibao walikuwa mashujaa wa Tanzania waliachwa ka kusudi wakati wanaandika historia sasa hizi kelele za Okello naona haziishi
Iweje watu kama akina Suedi Kagasheki na Dosa Aziz wasipewe kipaumbele wakati Okello mnataka kumfanya Mungu Mtu?
charity begins at home na tunao our sons and daughters ambao walipigania na kumwaga damu zao pale lakini husikii kitu
Unayoshida sana...kwako wewe Abd ul, Abdi wakil, maksud etc si jina la slave masters..nicholas ndio unaona ndilo...kwa taarifa yako majina ya kiaabu ndio yana connection ya kitumwa sana kwa watu wa race nyingine..Ndio maana watakapoingia ktk uislam..basi ..Kuanzia Lugha, majina yote hubadilika as iff hata wazazi na babu wamesilimu, kiarabu kinageuka kuwa lugha ya peponi halafu wanajiita wameumbwa na allah wakati lugha aliyowapa haitaki...uvaaji na upuuzi mwingine ktk sunnah ndio kabisa unawato akili kabisa .
mjina km nicholas yanaweza yaka hata kw awatu wasio na dini, wasio amini uwepowa Mungu,wanaovaa km masai,wanaovaa km red indians, etc...
Kwa ujumla ni neneo Rahisi..ni Victory..Mbali na kuhusishwa na Santa Claus ambaye alikuwa ni Askofu aliyeanzisha kutoa zawadi km santa Claus...
WEWE SANTA CLAUS WA KICHAGA...MJUKUU WA Nicholas MTEI! TEEH! TEEH! TEEH!
CHUKUA MAJIBU YAKO KWENYE HIYO POST HAPO JUU! NAKUSUBIRIA...SAFARI HII USIKAWILIE,KHALAF KUNIJIA NA UHARO WAKO WA KILEVI! DAH!TEEH! TEEH! TEEH!
Ahsanta.
Nicholas...Mchaga/msukule wa Chadema,Mwakilishi kutoka Jimbo la Kishimundu,Ukanda wa Kaskazini!
Mie nimekuuliza mangine na weye waniletea uharo mwangine!? Duh!? Lakini ndo dasturi yenu walevi wa Chang'aa! Teeh! Teeh! Teeh!
Hiyo Topic ya huyo "Santa" wenu fake na nini maana ya kenge Nikolas... nitakufunda wakti mwangine japo kiduchu,ili labda na Wanajamvi wangine wafaidike kiduchu!
Vipi mbona umekwepa kuzungumzia ile Slavery ilokubuhu na ya kinyama walofanza kabila lako Wahalifu/Wachaga kwa karne nyingi mno dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Wapare!?
Kudadeki zako wewe!...yaani wee msukule unaiona na kukukera ile Slavery kiduchu walofanza baadhi ya Waarabu tu sio!?
Sisi tunafahamu saana,yakuwa nyinyi nyoote na hicho kikundu chenu cha Chadema inayowasumbua ni Islamophobia tu!...zilobaki zoote ni cheap excuses na propagandas tu zisizo maana!
Get over it!...Muslims are here to stay!!
Well...
Blacks/Aborigines(including nowdays the so called "Arabs") were already in existence million of years before the Bible claimed earth was made!
Most of the words to Psalm-104 was stolen from the "Hymn to the Sun" composed by Pharaoh Akhenaton of Egypt in dedication to the sun God "Arton".
In order to encourage Slave Trade,Pope Nicholas V lied that God told him in a dream it was alright for Christians to Buy and Sell heathens! Dah!
The Divine Trinity of Ra,Osiris and Isis existed in Ancient Egypt over 3000BC!...Thus,the "Trinity" fable isn't unique to Christianity!
Of all 66 texts in the so called "holy" Bible,there doesn't exist a single hand-written original!? Duh! Teeh! Teeh! Teeh!
Rather there are copies of copies written by unknown men! Dah!
In 415AD Hieronimus made a major "editing" of the Bible which became mother of all Translations!
He changed to less than 3500 texts!
During the reign of Pope Damascus(366-384) women and children were bought and sold as sex-slaves to increase funding for the Church! Looh!
Satanists consider DEC 25th. "The most important day of the Year",when the sun is one degree into Capricon.
Same day the so called "Christmas" is celebrated widely!?
According to the Bible the sun was created on the 4th. "Day"!?...so how could there have been "Days" even before the sun was created!?
Pope Alexander VI impregnated his own daughter Lucretia Borgia!...yet he was reffered to as "God Representation of Earth for years"!? Duh!
The Bible;A book so unintelligible that not only do non-Christians reject it...but ,but even Christians cannot agree upon its interpretation!
Ahsanta.
CC;Kahtaan
Tujiepushe mijadala ya kidini. katika mambo ya imani kama imani fikra tundizi haifanyi kazi. mijadala ya kidini, kama ilivyo ya kikbila uifilisi akili inayohoji.ktk red umeandika kitu ambacho automatically unaukata uislam miguu..Ndio Muhamad aliwaambia hamuwezi kuwa waislama kamili km hamuendi kamilisha elimu kwa kusoma vitabu vilivyotangulia..yeye alichukua tuu vipande vya kuhadithiwa ,kwania hanuwa mzuri ktk kusoma wala kuelewa Biblia.
Hayo mengine ni madhaifu ya watu na mengine ni uelew awenu mdogo..Yesu aligeuza vingi kuwa na maana mpya..km passover, aibu ya msalaba etc..sasa kumbe hata hauelewi Ukristu ndio maana unapata shida.
Mwisho kwa taarifa yako waliyoandika hao jamaa yakigeuzwa ktk Uislam hautoweza jitetea zaidi ya kuwafanya muanze ugaidi ili kusitiri dini..Hao mapapa si wawakilishi wa Ukristu kihivyo..kw ahiyo wanachokisema km hakipo ktk Biblia hakina maana.NA hata wakifanyacho kinyume na Biblia ni uovu wao...
Sasa hembu kajiulize Muhamadia lifanya dhambi ngapi kuliko Pope aliyewahi kuw amuovu kabisa.
Tujiepushe mijadala ya kidini. katika mambo ya imani kama imani fikra tundizi haifanyi kazi. mijadala ya kidini, kama ilivyo ya kikbila uifilisi akili inayohoji.
Nilipata kuijua historia ya Zanzibar mwaka 2006,nilisikitika sana. Kuna matukio makubwa yanayoweza kukutoa chozi ukifuatilia upande wa pili wa Tanzania! Pia sihafiki historia ya kweli ya Tanzania kufundisha shuleni,vingnevo baada ya darasa watoto wanaweza kuingia mtaani kwa mapinduzi ya pili. Ukiangalia watu aliowafukuza mwl.Nyerere baada ya uhuru kwamba walikuwa wanaandaa mapinduzi pale mkwajuni kindoni,ukisoma jinsi dr.Ahammed Salimu anavohusishwa na zanzibar,worse uyu John Okello,ni majonzi matupu! Mwaka 2006 walitoa habari ya Maisha magumu ya Field Marshall John Okello alivokuwa anaishi Kenya surbubs,hamna mtz hata mmoja alijitokeza kujua mambo yake. Mwaka 2007 nilienda pale Vijana Hostel karibu na mango garden,ndo tulipokuwa tunalaza gari wakati ule,nilikuta ukuta wa hostel umejazwa picha za John Okello akila shida uko Kenya,yani niliona ajabu kubwa! Jaman uyu mtu hajafa,nahisi bado yu hai kenya,unless mtu alete taarifa ya Kifo chake,ikiwezekana wapenda historia tumtafute! Ni hayo wanaJf!