Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

mara nyingi historia za kiafrika hazihifadhiwi ipasavyo kwa mfano zanzibar revolution kuna majina kama edington kisasi walifanya mengi ktk mapinduzi hayo lakini hutasikia akitajwa...etc ...etc.....
ni kweli kabisa mkuu
 
''...mbona wapenda hitoria Zanzibar na Tanganyika kwa jumla hamumtendei haki JOHN OKELLO [FIELDMASHAL]...''

Naona umechanganya madesa, huyu sisi wala hatuhusu katika uhuru wa Tanganyika..............
 
respect bro,,saluti pia kwa waazilishi wa TAA na TANU,kina sykes waliosahauliwa japhet kirelo[meru] na wengine...saluti

There is a point we miss about narration of "true history", whether during independence struggle or our participation in the armed struggle to liberate some African countries under colonial rule. Did it happen by accident or it was by design? Kwanini isiwekwe wazi ikawa ndio point yetu ya kujipamba kwenye hizi zama mpya tunazozitengeneza step by step?
Unajua Bolsheviks baada ya kumpindua Czar waliifuta historia ya Russia wakatunga ya kwao....sijui iliwasaidia nini maana waliishia kuangua pua kwa kukosa umakini na kufanya exactly alichokuwa anafanya Czar na familia yake
 
Ewe mlevi wa chang'aa ujiitae jina la Slave Master wako...ati Nicholas! Duh!

Hivi wewe huko sunday school walikufundisha kiundani nini maana ya "Nikolas"!?

Acha kuzidi kupotosha hiyo misukule wenzio wa Chadema! Teeh! Teeh! Teeh!

Punguza hizo Racism na Islamophobia zako...yaani wewe na wale kenge wenzio waliokua vinara wa ile White Supremacist South Afrikan Regime,basi hamna tafauti kabisa!

Yaani tafauti zenu labda ni kiduchu tu kwenye urangi!...wenzio rangi zao ni pink kama ya nguruwe aka kitimoto,na weye rangi yako nyeusi imefanana na roho yako mbaya iloshibishwa chuki dhidi ya Bin-Adam wenzio/Waarabu na khasa Waislam!

Nina maana rangi yako nyeusi kama usiku wa manane!....Teeh! Teeh! Teeh!

Unajifanza kupotosha watu humu kwa kutaja/kuendeleza history zako fake za kibaguzi na chuki,sio!?

Mbona hutaji jinsi kabila lako la Wahalifu/Wachaga...jinsi gani waliwaadhibu pasi kiasi,tena kwa karne kadhaa na kuwauza kama Slaves ndugu zao wa Kipare!?

Au wajifanza hujui yayo!? Au wafikiri hapa wazungumza na vibwengo wenzio kwenye vikao vyenu vya mbege kule milimani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.

Unayoshida sana...kwako wewe Abd ul, Abdi wakil, maksud etc si jina la slave masters..nicholas ndio unaona ndilo...kwa taarifa yako majina ya kiaabu ndio yana connection ya kitumwa sana kwa watu wa race nyingine..Ndio maana watakapoingia ktk uislam..basi ..Kuanzia Lugha, majina yote hubadilika as iff hata wazazi na babu wamesilimu, kiarabu kinageuka kuwa lugha ya peponi halafu wanajiita wameumbwa na allah wakati lugha aliyowapa haitaki...uvaaji na upuuzi mwingine ktk sunnah ndio kabisa unawato akili kabisa .

mjina km nicholas yanaweza yaka hata kw awatu wasio na dini, wasio amini uwepowa Mungu,wanaovaa km masai,wanaovaa km red indians, etc...

Kwa ujumla ni neneo Rahisi..ni Victory..Mbali na kuhusishwa na Santa Claus ambaye alikuwa ni Askofu aliyeanzisha kutoa zawadi km santa Claus...
 
maana kuna watu kibao walikuwa mashujaa wa Tanzania waliachwa ka kusudi wakati wanaandika historia sasa hizi kelele za Okello naona haziishi

Iweje watu kama akina Suedi Kagasheki na Dosa Aziz wasipewe kipaumbele wakati Okello mnataka kumfanya Mungu Mtu?

charity begins at home na tunao our sons and daughters ambao walipigania na kumwaga damu zao pale lakini husikii kitu

mchango wa Okello unaonekana ni mkubwa sana kwenye historia ya nchi zetu hizi na kwa sababu mapinduzi kiuhalisia ni reactionary in nature inakua inavutia na kuleta hamasa kujua haswa wahusika na kilichotokea tofauti na evolutionary process ya kudai Uhuru ya hao unaowatetea watendewe haki na historia..Okello ni myth ambayo inabidi ifahamike
 
Nicholas...Mchaga/msukule wa Chadema,Mwakilishi kutoka Jimbo la Kishimundu,Ukanda wa Kaskazini!

Mie nimekuuliza mangine na weye waniletea uharo mwangine!? Duh!? Lakini ndo dasturi yenu walevi wa Chang'aa! Teeh! Teeh! Teeh!

Hiyo Topic ya huyo "Santa" wenu fake na nini maana ya kenge Nikolas... nitakufunda wakti mwangine japo kiduchu,ili labda na Wanajamvi wangine wafaidike kiduchu!

Vipi mbona umekwepa kuzungumzia ile Slavery ilokubuhu na ya kinyama walofanza kabila lako Wahalifu/Wachaga kwa karne nyingi mno dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Wapare!?

Kudadeki zako wewe!...yaani wee msukule unaiona na kukukera ile Slavery kiduchu walofanza baadhi ya Waarabu tu sio!?

Sisi tunafahamu saana,yakuwa nyinyi nyoote na hicho kikundu chenu cha Chadema inayowasumbua ni Islamophobia tu!...zilobaki zoote ni cheap excuses na propagandas tu zisizo maana!

Get over it!...Muslims are here to stay!!

Well...

Blacks/Aborigines(including nowdays the so called "Arabs") were already in existence million of years before the Bible claimed earth was made!

Most of the words to Psalm-104 was stolen from the "Hymn to the Sun" composed by Pharaoh Akhenaton of Egypt in dedication to the sun God "Arton".

In order to encourage Slave Trade,Pope Nicholas V lied that God told him in a dream it was alright for Christians to Buy and Sell heathens! Dah!

The Divine Trinity of Ra,Osiris and Isis existed in Ancient Egypt over 3000BC!...Thus,the "Trinity" fable isn't unique to Christianity!

Of all 66 texts in the so called "holy" Bible,there doesn't exist a single hand-written original!? Duh! Teeh! Teeh! Teeh!

Rather there are copies of copies written by unknown men! Dah!

In 415AD Hieronimus made a major "editing" of the Bible which became mother of all Translations!

He changed to less than 3500 texts!

During the reign of Pope Damascus(366-384) women and children were bought and sold as sex-slaves to increase funding for the Church! Looh!

Satanists consider DEC 25th. "The most important day of the Year",when the sun is one degree into Capricon.

Same day the so called "Christmas" is celebrated widely!?

According to the Bible the sun was created on the 4th. "Day"!?...so how could there have been "Days" even before the sun was created!?

Pope Alexander VI impregnated his own daughter Lucretia Borgia!...yet he was reffered to as "God Representation of Earth for years"!? Duh!

The Bible;A book so unintelligible that not only do non-Christians reject it...but ,but even Christians cannot agree upon its interpretation!

Ahsanta.

CC;Kahtaan
 
Unayoshida sana...kwako wewe Abd ul, Abdi wakil, maksud etc si jina la slave masters..nicholas ndio unaona ndilo...kwa taarifa yako majina ya kiaabu ndio yana connection ya kitumwa sana kwa watu wa race nyingine..Ndio maana watakapoingia ktk uislam..basi ..Kuanzia Lugha, majina yote hubadilika as iff hata wazazi na babu wamesilimu, kiarabu kinageuka kuwa lugha ya peponi halafu wanajiita wameumbwa na allah wakati lugha aliyowapa haitaki...uvaaji na upuuzi mwingine ktk sunnah ndio kabisa unawato akili kabisa .

mjina km nicholas yanaweza yaka hata kw awatu wasio na dini, wasio amini uwepowa Mungu,wanaovaa km masai,wanaovaa km red indians, etc...

Kwa ujumla ni neneo Rahisi..ni Victory..Mbali na kuhusishwa na Santa Claus ambaye alikuwa ni Askofu aliyeanzisha kutoa zawadi km santa Claus...

WEWE SANTA CLAUS WA KICHAGA...MJUKUU WA Nicholas MTEI! TEEH! TEEH! TEEH!

CHUKUA MAJIBU YAKO KWENYE HIYO POST HAPO JUU! NAKUSUBIRIA...SAFARI HII USIKAWILIE,KHALAF KUNIJIA NA UHARO WAKO WA KILEVI! DAH!TEEH! TEEH! TEEH!

naona hiyo dozi ya talibani inawazidi sana.Sasa unakuja na ushaihdi kuwa watu waliishi millions of yrs befor Bible halafu ..sijui km hii inasaidia haa uislam ambao umeokoteza mafundisho potofu ya Biblia,tofrati,Induism,paganism, etc.
 
Nicholas...Mchaga/msukule wa Chadema,Mwakilishi kutoka Jimbo la Kishimundu,Ukanda wa Kaskazini!

Mie nimekuuliza mangine na weye waniletea uharo mwangine!? Duh!? Lakini ndo dasturi yenu walevi wa Chang'aa! Teeh! Teeh! Teeh!

Hiyo Topic ya huyo "Santa" wenu fake na nini maana ya kenge Nikolas... nitakufunda wakti mwangine japo kiduchu,ili labda na Wanajamvi wangine wafaidike kiduchu!

Vipi mbona umekwepa kuzungumzia ile Slavery ilokubuhu na ya kinyama walofanza kabila lako Wahalifu/Wachaga kwa karne nyingi mno dhidi ya ndugu zetu wasio na hatia Wapare!?

Kudadeki zako wewe!...yaani wee msukule unaiona na kukukera ile Slavery kiduchu walofanza baadhi ya Waarabu tu sio!?

Sisi tunafahamu saana,yakuwa nyinyi nyoote na hicho kikundu chenu cha Chadema inayowasumbua ni Islamophobia tu!...zilobaki zoote ni cheap excuses na propagandas tu zisizo maana!

Get over it!...Muslims are here to stay!!

Well...

Blacks/Aborigines(including nowdays the so called "Arabs") were already in existence million of years before the Bible claimed earth was made!

Most of the words to Psalm-104 was stolen from the "Hymn to the Sun" composed by Pharaoh Akhenaton of Egypt in dedication to the sun God "Arton".

In order to encourage Slave Trade,Pope Nicholas V lied that God told him in a dream it was alright for Christians to Buy and Sell heathens! Dah!

The Divine Trinity of Ra,Osiris and Isis existed in Ancient Egypt over 3000BC!...Thus,the "Trinity" fable isn't unique to Christianity!

Of all 66 texts in the so called "holy" Bible,there doesn't exist a single hand-written original!? Duh! Teeh! Teeh! Teeh!

Rather there are copies of copies written by unknown men! Dah!

In 415AD Hieronimus made a major "editing" of the Bible which became mother of all Translations!

He changed to less than 3500 texts!

During the reign of Pope Damascus(366-384) women and children were bought and sold as sex-slaves to increase funding for the Church! Looh!

Satanists consider DEC 25th. "The most important day of the Year",when the sun is one degree into Capricon.

Same day the so called "Christmas" is celebrated widely!?

According to the Bible the sun was created on the 4th. "Day"!?...so how could there have been "Days" even before the sun was created!?

Pope Alexander VI impregnated his own daughter Lucretia Borgia!...yet he was reffered to as "God Representation of Earth for years"!? Duh!

The Bible;A book so unintelligible that not only do non-Christians reject it...but ,but even Christians cannot agree upon its interpretation!

Ahsanta.

CC;Kahtaan

ktk red umeandika kitu ambacho automatically unaukata uislam miguu..Ndio Muhamad aliwaambia hamuwezi kuwa waislama kamili km hamuendi kamilisha elimu kwa kusoma vitabu vilivyotangulia..yeye alichukua tuu vipande vya kuhadithiwa ,kwania hanuwa mzuri ktk kusoma wala kuelewa Biblia.

Hayo mengine ni madhaifu ya watu na mengine ni uelew awenu mdogo..Yesu aligeuza vingi kuwa na maana mpya..km passover, aibu ya msalaba etc..sasa kumbe hata hauelewi Ukristu ndio maana unapata shida.

Mwisho kwa taarifa yako waliyoandika hao jamaa yakigeuzwa ktk Uislam hautoweza jitetea zaidi ya kuwafanya muanze ugaidi ili kusitiri dini..Hao mapapa si wawakilishi wa Ukristu kihivyo..kw ahiyo wanachokisema km hakipo ktk Biblia hakina maana.NA hata wakifanyacho kinyume na Biblia ni uovu wao...

Sasa hembu kajiulize Muhamadia lifanya dhambi ngapi kuliko Pope aliyewahi kuw amuovu kabisa.
 
tofautisha waliopigania bila impact na waliopigania kwa seen impact inayofanya watu kukumbuka kila mwaka.
 
Tumwamini nani sasa? Nilikuwa sijazaliwa kipindi hicho na nimepata kusikia mengi sana juu ya John Okello....mengi yamesemwa...still confusing me!!! Sijui hii ndio sahihi au ile nyingine ambayo ni opposite na hii?

" when a lie is repeated several times people will come to accept it"
 
Mkuu, nimefurahia sehemu unapokubali hali yetu ya kukaririshwa na kuendelea kukubali, bila kuhoji, yale tuliyokaririshwa. kwa ufupi, Waafrika hatuna budi kukuna bongo zetu na kutafuta, kudai na kuishi upekee wetu katika to record one's story, which is the base of his-story, hakuna njia moja tu ya kuandika. Mjadala ni mpana na wa kitaaluma kwa hapa inatosha kuchemsha bongo zetu. NAWAKIRISHA.
 
ktk red umeandika kitu ambacho automatically unaukata uislam miguu..Ndio Muhamad aliwaambia hamuwezi kuwa waislama kamili km hamuendi kamilisha elimu kwa kusoma vitabu vilivyotangulia..yeye alichukua tuu vipande vya kuhadithiwa ,kwania hanuwa mzuri ktk kusoma wala kuelewa Biblia.

Hayo mengine ni madhaifu ya watu na mengine ni uelew awenu mdogo..Yesu aligeuza vingi kuwa na maana mpya..km passover, aibu ya msalaba etc..sasa kumbe hata hauelewi Ukristu ndio maana unapata shida.

Mwisho kwa taarifa yako waliyoandika hao jamaa yakigeuzwa ktk Uislam hautoweza jitetea zaidi ya kuwafanya muanze ugaidi ili kusitiri dini..Hao mapapa si wawakilishi wa Ukristu kihivyo..kw ahiyo wanachokisema km hakipo ktk Biblia hakina maana.NA hata wakifanyacho kinyume na Biblia ni uovu wao...

Sasa hembu kajiulize Muhamadia lifanya dhambi ngapi kuliko Pope aliyewahi kuw amuovu kabisa.
Tujiepushe mijadala ya kidini. katika mambo ya imani kama imani fikra tundizi haifanyi kazi. mijadala ya kidini, kama ilivyo ya kikbila uifilisi akili inayohoji.
 
Okello ,km nyerere wanapingwa snaa kwa dini yao..sas ahuo ukweli si wa kukimbia..km unauma ndipo wanaojificha ktk hilo waanze badilika.
 
Nilipata kuijua historia ya Zanzibar mwaka 2006,nilisikitika sana. Kuna matukio makubwa yanayoweza kukutoa chozi ukifuatilia upande wa pili wa Tanzania! Pia sihafiki historia ya kweli ya Tanzania kufundisha shuleni,vingnevo baada ya darasa watoto wanaweza kuingia mtaani kwa mapinduzi ya pili. Ukiangalia watu aliowafukuza mwl.Nyerere baada ya uhuru kwamba walikuwa wanaandaa mapinduzi pale mkwajuni kindoni,ukisoma jinsi dr.Ahammed Salimu anavohusishwa na zanzibar,worse uyu John Okello,ni majonzi matupu! Mwaka 2006 walitoa habari ya Maisha magumu ya Field Marshall John Okello alivokuwa anaishi Kenya surbubs,hamna mtz hata mmoja alijitokeza kujua mambo yake. Mwaka 2007 nilienda pale Vijana Hostel karibu na mango garden,ndo tulipokuwa tunalaza gari wakati ule,nilikuta ukuta wa hostel umejazwa picha za John Okello akila shida uko Kenya,yani niliona ajabu kubwa! Jaman uyu mtu hajafa,nahisi bado yu hai kenya,unless mtu alete taarifa ya Kifo chake,ikiwezekana wapenda historia tumtafute! Ni hayo wanaJf!

mkuu, nimependa comment yako. bahati mbaya sijui kama mwanamapinduzi huyu bado yu hai or ametangulia mbele za haki. labda nikuombe just a favour, habari zake za kuishi kwa dhiki kenya zilitoka kwenye gazzette, or radio or television au chombo kipi, binafsi nataka kufanya investigation nijue kama huyu field marshal kama bado yupo. kwa kunipatia source, nitapata pa kuanzia....God bless
 
Back
Top Bottom