Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Attachments

  • 1419521663121.jpg
    1419521663121.jpg
    56.6 KB · Views: 316
  • 1419521678896.jpg
    1419521678896.jpg
    47.3 KB · Views: 267
Jukwaa la historia lina maelezo mengi sana, kule unapata vitu vingi.
 
Nimefuatilia kwa makini mwendelezo wa maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika yote lakini wajuvi na wazamivu wa siasa za Tanzania bara na Visiwani pamoja na waandishi wa habari wamekuwa wagumu kueleza ukweli wa nini kilifanyika ktatika siku ile ya Mapinduzi, na je ni kweli kuwa 14 members tu ndio waliohusika na Mapinduzi hayo? Je nini nafasi ya John Okelo, raia huyo wa Uganda, Je tatizo ni jina lake ?
 
Nimefuatilia kwa makin mwendelezo wa maadhimisho ya miaka 51 ya mapinduzi ya zanzibar katika yote lakin wajuvi na wazamivu wa siasa za Tanzania bara na visiwan pamoja na waandishi wa habar wamekuwa wagumu kueleza ukweli wa nini kilifanyika ktk siku ile ya mapinduzi na je ni kweli kuwa 14 members tu ndio waliohusika na mapinduz hayo?je nini nafas ya jonh okelo raia huyo wa uganda je tatizo ni jina lake ?

Binafsi nimejaribu kumfutilia kwa muda na hasa mchango wake katika mapinduzi ya Zanzibar. Kuna nyaraka ambayo inaonyesha hao wajumbe wakiwa 31. Wametajwa kwa majina ambapo okello ni wa mwisho kwenye hiyo list lakini akiwa na cheo cha field Marshall. Mapinduzi yakifanyika Karume hakuwepo, na hata alitangaza kwenye vyombo vya habari alikuwa okello. Okello ndio aliyeunda baraza la mapinduzi na kumfanya karume aliyekuwa akiishi dar kuwa raisi.Okello baadae alifungwa na kurudishwa Uganda. Inasemekana alipotea katika mazingira tatanishi baada ya kumkebehi idd amini.Idd Amini alitangaza field Marshall na kwa utani okello ikawa alisema anaona Uganda ina mafield Marshall wawili
 
Kama tu ilivyo kwa kina Mshume Kiyate, Abdulwaheed Sykes n.k
 
Okelo ni mpiganaji wa kukodi..so kwa kawaida mchezaji wa kukodi match inapoisha unarudi kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimejaribu kumfutilia kwa muda na hasa mchango wake katika mapinduzi ya Zanzibar. Kuna nyaraka ambayo inaonyesha hao wajumbe wakiwa 31. Wametajwa kwa majina ambapo okello ni wa mwisho kwenye hiyo list lakini akiwa na cheo cha field Marshall. Mapinduzi yakifanyika Karume hakuwepo, na hata alitangaza kwenye vyombo vya habari alikuwa okello. Okello ndio aliyeunda baraza la mapinduzi na kumfanya karume aliyekuwa akiishi dar kuwa raisi.Okello baadae alifungwa na kurudishwa Uganda. Inasemekana alipotea katika mazingira tatanishi baada ya kumkebehi idd amini.Idd Amini alitangaza field Marshall na kwa utani okello ikawa alisema anaona Uganda ina mafield Marshall wawili
Okelo ni mpiganaji wa kukodi kwa hiyo mpiganaji wm kukodi unapomaliza shughuli unarudi kwenu..nini tatizo hapo?
 
mkuu hebu leta info za kutosha nataka jua zaid. alifungwa kwa kosa gani huyu mtu??
 
Okelo ni mpiganaji wa kukodi kwa hiyo mpiganaji wm kukodi unapomaliza shughuli unarudi kwenu..nini tatizo hapo?

Tatizo ni watu kupewa sifa za uongo kuwa waliongoza mapigano na kuitwa mashujaa wa mapinduzi kumbe hali halisi ni kuwa wakati john okello anamng'oa sultan huko Zanzibar, hao mnaowaita mashujaa walikuwa wanafanya shopping DSM. Zaidi huo ufalme wa kiarabu ulikuwa hauna nguvu basi ni ulegelege wa wazenji tu. Okello aliandaa kikundi kidogo tu tena chenye zana duni.Walisonga mbele wakipiga madebe tu, sultan I kusikia vile sultan alifikiri mizinga nusura akimbilie baharini. Baada ya mission hiyo ndio karume akarejea zenji kutokea dar.
 
mkuu hebu leta info za kutosha nataka jua zaid. alifungwa kwa kosa gani huyu mtu??

Huyu kufungwa kwake ni sababu za kiusalama tu. Yaan alikuwa akiwa katika nchi yako basi raisi anapoteza amani kwani at any time chochote chaweza tokea. Yaan alikuwa specialist wa mapinduzi. Labda tusema alikuwa Guevara wa Africa
 
Sure kuna ukweli ktk hilo
 
Sure kuna ukweli ktk hilo

Ukweli upo hata msukosuko Wa Tanganyika mwaka 1963..inasemekana alikuwepo ikulu siku moja kabla....mpaka nyerere akaenda kufichwa kigamboni....
Okello alikuwa hatari sana jaluo yule...na sehemu zote wanapokaa majaluo lazima walete fujo...US,Kenya,Uganda na S.Sudan
 
Ni kweli John Okello ndio aliyekuwa revolutionist na ndiye aliye revolutionize Zanzibar revolution sababu history inamtaja kama key player na field marshal na sio hawa tunaowasikia.
 
Kuna so many Untold story Kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar ambazo zinafichwa Na kuchakachuliwa ili kuficha ukweli. Mapinduzi hayo yaliyomng'oa Sultan Jamshid bin Abdullah yalibuniwa, kuasisiwa Na kutekelezwa Na John Gideon Okello Kama Kijana aliyejinatisha Kwenye vuguvugu la Afro Shirazi akiwa Na Umri wa Miaka 27 tu wakati huo. Okelo ambaye alizaliwa 1937 mwaka ule wa Mapinduzi 1964 alipata miaka 27tu imargine.

Okelo ambaye Alikuwa Polisi huko Pemba aliingia Unguja 1963 akaunda kikosi Chake Kwa kutumia Silaha Za jadi wakaisambaratisha ngome ya Sultani kimchezomcheZo huku zaidi ya waarabu 18,000 wakichinjwa Kama kuku.

Okelo ambaye hakujali Dini Yake au Imani Yake aliwaunganisha wazanzibar wote na wakati huo Waasisi wa Afro Shirazi Sheick Karume na Abrahaman Babu wako Darisalama wanakula mishikaki hawajui kinachoendelea Zanzibar.

Okelo Baada ya Mapinduzi akaunda Baraza la uongozi wa Nchi likiongozwa na Karume Kama Mwenyekiti na Abrahaman Babu kama Waziri mkuu. Wakatafutwa Mabwana Hawa tokea Darisalama Kama Ndoto wakaitiwa urais. Okelo ambaye Kwa kukubalika angejiweka Kuwa Raisi nani angemtoa? Zanzibar ya Leo Ingekuwaje.?!,.

Lakini mambo haya yanasahaulika faster, mwarabu aliyeleta Dini, akaidhoofisha sana Zanzibar Leo kuna watu wanajitokeza kutaka kuturudisha tulikotoka Kwa kuenzi DINI NA UDINI. Mtu Mwenye Akili timamu anatoa pofu Mbele ya jamii akidai Sheria Za Dini yake yeye zitumike Kwenye Jamhuri ya Muungano, Mtu mzima kabisa anadai kuwe na Mahakama Za UDINI zinazotambulika na kufadhiliwa na Nchi.

Kama John Gideon Okelo angekuwa Mdini au angeendekeza UDINI angeunda Baraza lake la Ukristo na Hakuna ambaye angepinga. Lakini mwanamapinduzi huyu Ni mwafrica, anapigania Haki Za wengi Kwenye Nchi Yao na sio UDINI.

Tukiendekeza Ukristu Wetu, Uislam Wetu au Uhindi Wetu, tukaanza kutoa pofu kulazimisha Sheria Za Dini Zetu zitambuliwe na kuenziwa na Nchi, Ni UHAINI, Ni kuliuza na kulihamisha Taifa liwe Mali ya Taifa Jingine.

Taifa ni letu Sote, kila Mtu ana uhuru wa kuabudu atakacho na ajuacho pasipo kuvunja misingi ya Nchi. Wanaojaribu kulipasua Taifa Kwa kuendeleza uzezeta Wao wa UDINI hawapaswi kuchekewa. Lazima wakaripiwe na kuonywa na kuchukuliwa hatua kali Za kisheria Kama wahaini.

Taifa hili ambalo kila kukicha waislam wanaoa wakristu, wakristu wanaoa waislam, maelfu Kwa maelfu, haitoshi utasikia Kule wakristu mamia wanasilimu Kuwa waislam na waislam maelfu wanaokoka ha Kuwa wakristo. Bado haitoshi kuna maelfu ya familia ambazo Wazazi wawili kila mmoja ana Dini Yake na wanaishi Kwa Amani kabisa. Na tumeishi hivi vizazi Kwa vizazi Nani Leo Hii anataka kutibua mustakabali wa ustaarabu wa Nchi hii.

Waacheni waislam wafanye mihadhara Yao HATA wakiconvice Taifa zima likawa waislam lakini Bado Hii Ni Nchi ya kijamhuri. HATA Kama wakristo wakihubiri Na ku convince waislam wote tukawa wakristo lakini Bado Hii Ni Jamhuri.

Tufanye mistaarafu Za Dini zetu pasipo kuchokonoa misingi ya utawala wa Kijamhuri.
 
Back
Top Bottom