spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Alaa kumbe!!!
Google hilo jina na ona picha zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaa kumbe!!!
Nimefuatilia kwa makin mwendelezo wa maadhimisho ya miaka 51 ya mapinduzi ya zanzibar katika yote lakin wajuvi na wazamivu wa siasa za Tanzania bara na visiwan pamoja na waandishi wa habar wamekuwa wagumu kueleza ukweli wa nini kilifanyika ktk siku ile ya mapinduzi na je ni kweli kuwa 14 members tu ndio waliohusika na mapinduz hayo?je nini nafas ya jonh okelo raia huyo wa uganda je tatizo ni jina lake ?
Kama tu ilivyo kwa kina Mshume Kiyate, Abdulwaheed Sykes n.k
Kama tu ilivyo kwa kina Mshume Kiyate, Abdulwaheed Sykes n.k
Tundu Lissu alipowasilisha hoja yake, iliyosemekana imemtukana Nyerere, wakati wa Bunge Maalum la Katiba, alikuwa ameshika kitabu mkononi anakinukuu. Jee, unakijuwa hicho kitabu? Jee, umeshakisoma hicho kitabu?
Okelo ni mpiganaji wa kukodi kwa hiyo mpiganaji wm kukodi unapomaliza shughuli unarudi kwenu..nini tatizo hapo?Binafsi nimejaribu kumfutilia kwa muda na hasa mchango wake katika mapinduzi ya Zanzibar. Kuna nyaraka ambayo inaonyesha hao wajumbe wakiwa 31. Wametajwa kwa majina ambapo okello ni wa mwisho kwenye hiyo list lakini akiwa na cheo cha field Marshall. Mapinduzi yakifanyika Karume hakuwepo, na hata alitangaza kwenye vyombo vya habari alikuwa okello. Okello ndio aliyeunda baraza la mapinduzi na kumfanya karume aliyekuwa akiishi dar kuwa raisi.Okello baadae alifungwa na kurudishwa Uganda. Inasemekana alipotea katika mazingira tatanishi baada ya kumkebehi idd amini.Idd Amini alitangaza field Marshall na kwa utani okello ikawa alisema anaona Uganda ina mafield Marshall wawili
Binafsi nimejaribu kumfutilia kwa muda na hasa mchango wake katika mapinduzi ya Zanzibar. Kuna nyaraka ambayo inaonyesha hao wajumbe wakiwa 31. Wametajwa kwa majina ambapo okello ni wa mwisho kwenye hiyo list lakini akiwa na cheo cha field Marshall. Mapinduzi yakifanyika Karume hakuwepo, na hata alitangaza kwenye vyombo vya habari alikuwa okello. Okello ndio aliyeunda baraza la mapinduzi na kumfanya karume aliyekuwa akiishi dar kuwa raisi.Okello baadae alifungwa na kurudishwa Uganda. Inasemekana alipotea katika mazingira tatanishi baada ya kumkebehi idd amini.Idd Amini alitangaza field Marshall na kwa utani okello ikawa alisema anaona Uganda ina mafield Marshall wawili
Okelo ni mpiganaji wa kukodi kwa hiyo mpiganaji wm kukodi unapomaliza shughuli unarudi kwenu..nini tatizo hapo?
mkuu hebu leta info za kutosha nataka jua zaid. alifungwa kwa kosa gani huyu mtu??
Huyu kufungwa kwake ni sababu za kiusalama tu. Yaan alikuwa akiwa katika nchi yako basi raisi anapoteza amani kwani at any time chochote chaweza tokea. Yaan alikuwa specialist wa mapinduzi. Labda tusema alikuwa Guevara wa Africa
Sure kuna ukweli ktk hilo