Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ninamjua Abdul waheed Sykes kama mwanamapinduzi na mwasisi wa TANU yeye na wenzie akina Dossa Aziz kabla ya Mwalimu J.K Nyerere.Unamjua Abdul waheed Sykes ?
Unataka kusemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninamjua Abdul waheed Sykes kama mwanamapinduzi na mwasisi wa TANU yeye na wenzie akina Dossa Aziz kabla ya Mwalimu J.K Nyerere.Unamjua Abdul waheed Sykes ?
Tuna ubinafsiDreka HAHAHA VITABU VINGNE HAPA BONGO HASA VYA ZENJI HAWAMWANDIKI KABISA
Ninamjua Abdul waheed Sykes kama mwanamapinduzi na mwasisi wa TANU yeye na wenzie akina Dossa Aziz kabla ya Mwalimu J.K Nyerere.
Unataka kusemaje?
Anataka kijua namna mchango wke unavyotambulikaNinamjua Abdul waheed Sykes kama mwanamapinduzi na mwasisi wa TANU yeye na wenzie akina Dossa Aziz kabla ya Mwalimu J.K Nyerere.
Unataka kusemaje?
Anataka kijua namna mchango wke unavyotambulikaNinamjua Abdul waheed Sykes kama mwanamapinduzi na mwasisi wa TANU yeye na wenzie akina Dossa Aziz kabla ya Mwalimu J.K Nyerere.
Unataka kusemaje?
Mbona Mwakanjuki na Sepetu ni wagalatia na wanatajwa?Kwasababu ni Mgalatia.
Hakuna sababu nyingine.
Labda Okello alikuwa Mgalatia kindakindaki.Mbona Mwakanjuki na Sepetu ni wagalatia na wanatajwa?
Okelo hakua na ugalatia kindakindaki historia yake amefungwa na kufukuzwa nchi zote EA alikua mkatili ndio maana aliongoza mapinduzi unless uniambie Wagalatia kindakindaki ni wauajiLabda Okello alikuwa Mgalatia kindakindaki.
Hakuwa anapambwa bali huo ndio ulikuwa ukweli, kwenye nyaraka za waliofanya mapinduzi anaitwa Field Marshal John Okello.Nakumbuka Nilimfaham John Okello kupitia mwalm wetu wa History aliyekuwa ni mganda. Bas utapenda jinsi anavompamba mganda mwenzake.
Mapinduzi yakifanyika Karume alikuwa dar anakunywa valuuHayo ya kuwa Muasisi wa Tanu tunayapata kwenye maandiko ya Mohamed said kwa kuwa kiserikal kila kitu kafanya Nyerere na 'wenzie'
Kwa hiyo na kwa Zanzibar Mapinduzi alifanya Karume na 'wenzie' na Okelo yumo humo kwenye na 'wenzie'
Hata Africa kusini, Nyerere yupo kwenye Kundi la 'nakadhalika'
[emoji106] yaani alikuwa kama karai la kukodishwa, kazi ikiisha linatupwa kule mwenye nalo ndio aliokoteNasikia alikuwa mbeba mizigo bandarini ila alikuwa na kikundi chake cha mapambano ambacho kilikuwa tayari kupambana kwa yeyote atakaewalipa pesa ya maana
So huyu alikodishwa na kina karume kama mpiganaji tu
Siku zote historia huwakumbuka wapanga mikakati ya mapinduzi
John Okello alikodishwa Kama Mpiganaji Mamluki.
Kwenye Sherehe za Uhuru wa Kidemokrasia wa Africa Kusini ushawahi kusikia Nyerere anatajwa kule?
Wewe si umtaje, kwani umekatazwaKwahiyo kama Nyerere hatajwi basi nasi hatupaswi kumtaja Okelo! nilidhani mnyonge mnyongeni lakini haki yake aipate
Mapinduzi yakifanyika Karume alikuwa dar anakunywa valuu
Ukimtaja Okello utaharibu ladha nzima ya Mapinduzi kwa kuwa itaonekana ni uvamizi toka nje ya nchi badala ya Mapinduzi ya Wazanzibari!Heri ya mapinduzi!
Sote tunajua kuwa kamanda John okello ndiye aliorganize vijana zaidi ya 600 na kuwaongoza katika mapambano ya kuipindua serikali ya wachache ya kisultani ya sultan jamshid bin abdulah.
Usiku ule wa 12 January 1964, bw. Okelo alifanya kazi nzito iliyogharimu maisha ya watu (ingawa wapo wanaosema kuwa hakukuwa na umwagaji damu lakini kiuhalisia syo kweli).
Kupitia mapinduzi yaliyotekelezwa kikamilifu na bw. Okelo, kwa mara ya kwanza, watu weusi wakafanikiwa kushka madaraka ya juu huku marehemu abeid aman karume akiwa rais wa kwanza wa SMZ.
Sasa wakuu tuelezane, hv kwanini John okelo hatajwi ktk haya maadhimisho ya mapinduzi badala yake anaenziwa karume pekee?
Inasemekana jamaa alikimbilia Uganda, kwanini?
Karibuni.