Ipo makala katika Raia Mwema leo ambayo inasema Mapinduzi ya Unguja yalikuwa probably inevitable kwa vile ulipofanyika Uchaguzi ASP,ikiongozwa na Karume,ilishinda,lakini kwa vile Ushindi ulidaiwa siyo conclusive,Uchaguzi ukafanyika tena,na ASP ikiongozwa na Karume ikashinda tena,lakini mshindi wa pili,na mshindi wa tatu,wakaunda coalition Government na kuiweka kando ASP.
Kwa hiyo baadaye yakatokea Mapinduzi,ambayo Okello alisiriki, kwamba Okello alikuwa kiongozi wa tawi dogo la ASP Pemba,ambaye aliwafundisha militia waliofanya Mapinduzi.
Nilikuwa ninayo tape,niliyoipata katika ofisi ya Mwalimu,ambapo Thabit Kombo alikuwa anasimlia kuhusu haya mambo. Alikuwa shooting ilipoanza,kulikuwa na vizuizi vingi barabarani,na Karume alikuwa anataftwa sana na Waaarabu ili auawe. Na Thabit sugested to him,kwa nini wasiende Dar kujadiliano na Nyerere kuona atawashauri nini. Mzee Thabit anasema Karume aliuwa in state of frayed emotions, kwa ajili ya confusion wakati ule wa Revolutioni, it was difficult to suggest anything to him,yaani,he was risking death by making this suggestion. Lakini Karume aliafiki,kwa hiyo wakaenda Dar na jahazi,wakaongea na Nyerere,ambaye akawaambia warudi Zanzibar,akawaambia kwamba he will arm them to the teeth.