Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Watanganyika hamuwezi kuifuta historia,sasa hakuna mzanzibr asiefahamu kwamba yale ya 64 ni mavamizi ya kanisa kuivamia zanzibr,tunaelewa nyuma ya mavamizi yale kulikuwa na kibaraka mmoja aitwae nyerere alietumwa na vatikan kuja kuusambaratisha uislam,pia tunaelewa ya kwamba kanisa linaingia zanzibr kupitia muungano,yote hayo yana mwisho na mwisho wake unakaribia,zanzibar kwanza.
Nani kakwbia katika ulimwengu huu dini ni uislamu tu? acha upumbavu,we unajua ukifa utaenda wapi na hiyo dini yako? hembu soma historia ya mohamed ndo utajua hakuwa nabii bali aliluwa mwalimu wa dini tu,unapopost jambo make sure una reference za kusapot jambo lako.
 
Nchi zote za east africa wakiwemo wamakonde walishiriki uvamizi huo. Sasa wewe tafakari nchi ndoga ya watu laki 2 kuhujumiwa na nchi 3 za watu million 40

hivi kwanini popote ambapo wapo waislamu lazimu kuwe na ujinga na ipuuzi wa kila namna? hata pale penye ukweli?
 
hivi kwanini popote ambapo wapo waislamu lazimu kuwe na ujinga na ipuuzi wa kila namna? hata pale penye ukweli?
Mpuuzi ni ww unae amini binaadamu mwnzako kama mungu.mungu gani anae pigwa mpaka aombe msaada kwa binaadam kama sio upuzi nini mungu anapigwa mungu anakunya mungu anazaliwa kabla mungu hajazaliwa mama yakecmungu aliumbwa na kupewa kila kitu na mungu gani na kabla mung mtt wa maria hajazaliwa ninaadam na mitume waliotangulia walikuwa wana mungu gani? Mpuuzi ww nadhani kweli ww unatoka porini huko kwenu karema hakuna zaidi ya ushirikina na kuabudu sanamu la mzungu mungu anasura nani kakuambia mungu anamaumbile ya binaadam tena mzungu k.h.a.nisi ww
 
Nani kakwbia katika ulimwengu huu dini ni uislamu tu? acha upumbavu,we unajua ukifa utaenda wapi na hiyo dini yako? hembu soma historia ya mohamed ndo utajua hakuwa nabii bali aliluwa mwalimu wa dini tu,unapopost jambo make sure una reference za kusapot jambo lako.

Ww mwerevu tuambia huyo Muhamad unaemjua ww alie kuwa mwalimu wa dini ni Muhamad gani na alikuwa muwalimu wa dini gani? Niukweli uislam ndio dini ya haki na ndio dini pekee yenye sifa za kumpeleka mtu peponi bila ya kuwa muislam moto unakusubiri hata kama ni nani allah hana mfano hakuzaa wala Hakuzaliwa hana mshira na niyeye mwnye kila aina sifa.soma uwelewe usirithi dini rithi mali ndugu yangu. Dini ni elimu lazima usome elimu hairithiwi.huwezi jua dini ya haki na ya kweli kwa kurithi dini ya wazazi wako walio kuzaa na kukulea lazima usome na uchambue ndio utajua ukweli na uthabit wa uislam.
 
Tanzania historia yake imeandikwa Oman..hadi Mkwawa,Kinjekile, akina Fundikira,mirambo, abushiri na wamanyema wote wa dar,wayao waliuza sana watu ila wameandikwa km mashujaa....ndio Okello aliyepiga vita wauza watu?
 
Acheni matusi elewasheneni nyie kila mtu Aamini anacho amini sio matusi na kashfa za dini zenu sio vizuli jengeni hoja za maendeleo sio matusi.ni hayo tu watanganyika
 
Besty,

Tulia kwanza, are you allright?!?, tunazungumzia utaifa, Znz ni taifa sio kabila, dalili za kupenda ukabila ni dalili za ubinafsi na ufinyu wa kufikiri.

FD

kama kuna mahali wakoloni walituweza ni kuharibu na kugiribu akili zetu. Yaani unaona Zanzibar ni taifa lakini Wanyamwezi siyo taifa? Madhara ya kutawaliwa. Unyamwezi, pamoja na yale yaliyopachikwa jina la makabila, lilikuwa taifa huru linalojitawala kabla ya Wageni kututawala. huo ndio ukweli wa kihistoria kwa mtu meusi ambaye akili yake haijaadhiliwa na ukoloni.
 
Tanzania historia yake imeandikwa Oman..hadi Mkwawa,Kinjekile, akina Fundikira,mirambo, abushiri na wamanyema wote wa dar,wayao waliuza sana watu ila wameandikwa km mashujaa....ndio Okello aliyepiga vita wauza watu?

Ewe mlevi wa chang'aa ujiitae jina la Slave Master wako...ati Nicholas! Duh!

Hivi wewe huko sunday school walikufundisha kiundani nini maana ya "Nikolas"!?

Acha kuzidi kupotosha hiyo misukule wenzio wa Chadema! Teeh! Teeh! Teeh!

Punguza hizo Racism na Islamophobia zako...yaani wewe na wale kenge wenzio waliokua vinara wa ile White Supremacist South Afrikan Regime,basi hamna tafauti kabisa!

Yaani tafauti zenu labda ni kiduchu tu kwenye urangi!...wenzio rangi zao ni pink kama ya nguruwe aka kitimoto,na weye rangi yako nyeusi imefanana na roho yako mbaya iloshibishwa chuki dhidi ya Bin-Adam wenzio/Waarabu na khasa Waislam!

Nina maana rangi yako nyeusi kama usiku wa manane!....Teeh! Teeh! Teeh!

Unajifanza kupotosha watu humu kwa kutaja/kuendeleza history zako fake za kibaguzi na chuki,sio!?

Mbona hutaji jinsi kabila lako la Wahalifu/Wachaga...jinsi gani waliwaadhibu pasi kiasi,tena kwa karne kadhaa na kuwauza kama Slaves ndugu zao wa Kipare!?

Au wajifanza hujui yayo!? Au wafikiri hapa wazungumza na vibwengo wenzio kwenye vikao vyenu vya mbege kule milimani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
kama kuna mahali wakoloni walituweza ni kuharibu na kugiribu akili zetu. Yaani unaona Zanzibar ni taifa lakini Wanyamwezi siyo taifa? Madhara ya kutawaliwa. Unyamwezi, pamoja na yale yaliyopachikwa jina la makabila, lilikuwa taifa huru linalojitawala kabla ya Wageni kututawala. huo ndio ukweli wa kihistoria kwa mtu meusi ambaye akili yake haijaadhiliwa na ukoloni.

Mkuu,

Mie nimejaribu kukufahamu kiduchu!

Nafikiri hapo Mkuu FairPlayer...alikua anamaanisha Utaifa kwa maana ya hii convetional way/method,yaani kama vile tulivyokaririshwa na wale maharamia wa kizungu...yaani Slave Masters and/or Colonists!

Kwa mfano kiduchu hapa ni kwamba Zanzibar kama Taifa...limo "on record" kuwa na kiti,kuhutubia na pia kupeperusha bendera yake kwenye United Nations!

Sasa tatizo la hizo Afrikan Medieval Empires,kama hiyo Unyamwezi/Unyanyembe na nyanginezo nyingi mno,hazina recorded history!

Na kama hizo recorded history zipo,basi ni chache mno....na pia labda ni zile zilorekebishwa na kuratibiwa na ati hao hao maharamia wa kizungu...baada ya kutokomeza/kuangamiza Black Civilizations! Dah!

Kwa kifupi sioni haja ya kwenda mbali mno,na labda pia kuanza ku-argue definiton/description ya neno Taifa/Utaifa...na labda pia Slavery and/or Colonial impact on Blacks thinking capacity/mentality!?

Hapa nia yangu tu,ni kujaribu kuainisha kiduchu yakuwa...weye binafsi na Mkuu FairPlayer...I mean you both are equally right/similar but in a different perspectives/scenarios!

Niwia radhi kama pana pahala labda unakhis nimepotokwa kiduchu.

Ahsanta.
 
Mkuu,

Mie nimejaribu kukufahamu kiduchu!

Nafikiri hapo Mkuu FairPlayer...alikua anamaanisha Utaifa kwa maana ya hii convetional way/method,yaani kama vile tulivyokaririshwa na wale maharamia wa kizungu...yaani Slave Masters and/or Colonists!

Kwa mfano kiduchu hapa ni kwamba Zanzibar kama Taifa...limo "on record" kuwa na kiti,kuhutubia na pia kupeperusha bendera yake kwenye United Nations!

Sasa tatizo la hizo Afrikan Medieval Empires,kama hiyo Unyamwezi/Unyanyembe na nyanginezo nyingi mno,hazina recorded history!

Na kama hizo recorded history zipo,basi ni chache mno....na pia labda ni zile zilorekebishwa na kuratibiwa na ati hao hao maharamia wa kizungu...baada ya kutokomeza/kuangamiza Black Civilizations! Dah!

Kwa kifupi sioni haja ya kwenda mbali mno,na labda pia kuanza ku-argue definiton/description ya neno Taifa/Utaifa...na labda pia Slavery and/or Colonial impact on Blacks thinking capacity/mentality!?

Hapa nia yangu tu,ni kujaribu kuainisha kiduchu yakuwa...weye binafsi na Mkuu FairPlayer...I mean you both are equally right/similar but in a different perspectives/scenarios!

Niwia radhi kama pana pahala labda unakhis nimepotokwa kiduchu.

Ahsanta.

Mkuu nakusoma taratibu kuna watu hapa ni makenge wa historia lakini wao hawajui/hawajifajamu.
 
hivi kwanini popote ambapo wapo waislamu lazimu kuwe na ujinga na ipuuzi wa kila namna? hata pale penye ukweli?

mwanaharam mkubwa wewe, badala kujadili hoja unakimbilia kutukana hata wasokuwemo kwenye mijadala yenu. Okello mwenyewe alikiri kuwa mapinduzi yalikuwa ni VITA YA MSALABA. Imethibitishwa na kauli ya PENGO Kuwa serikari tatu zitaifanya zanzbr kuwa ngome ya wavamiz. kumbe Okello alikuwa KIFARANGA na MAMA VIFARANGA alikuwa NYERERE ili kusimika kanisa znz
 
Kaka nikiweka itikadi kando ukweli ni kwamba habari za John Okello zimekuwa finyu sana. Natamani kupata habari zake kwa kina lakini sources ninazotumia hazina undani wa habari za huyu mwanaume.
 
Wakati huo huo tusisahau kuwa wengine ambao tunalazimishwa kuwasahau ni
Abdulwahid na Ally Sykes, Hamza Mwapachu, Tewa Said Tewa,Ali Migeyo , Suedi Kagasheki,Dossa Azizi,Abdulkarim Karimjee,Chifu Abdieli Shangali wa Machame, Kleist Sykes,Ally Sykes na Abdulwahid Sykes

kwa uchache sasa huyo Okello alikwa ni just one in a million na at least eyey leo anazungumzwa

santeee kwa kutukumbusha,pia usisahau kutupa historia za hao uliowataja.
 
John Okello ni nani?? Na kwa nini historia na mchango wake kwa taifa unafichwa fichwa?
Do you know who was the mastermind of the Zanzibar Revolution of January 1964?



MOST Tanzanians especially of the present generation do not know exactly the history of the revolution of Zanzibar which took place over four decades ago. They don't even know how it started and how the Revolutionary Government of Zanzibar was formed. This is because after the revolution, the government has not been speaking the truth of the matter and instead it has been hiding the truth to the eyes of many Tanzanians. Most of them can tell the First President of Zanzibar the late Sheikh Aman Karume who is regularly mentioned to have taken an active part of the liberation of the people of Zanzibar. But the history tells us that, "President Karume was called to assume the position of presidency after the revolution which was organized and planned by a self-styled Field Marshal John Okello, a Ugandan born national who dedicated his life to save Zanzibaris in those days. He worked effectively by other freedom fighters who were members of Afro-Shirazi party. By then Karume was living in Tanganyika mainland for fear of his life after he quarreled with the Sultanate government and the ruling party of the Zanzibar government, the ZNP which was led by Prime Minister, Mohammed Shamte.
Despite of this important historic event which brought freedom to the majority of the African population residing in both Pemba and Unguja islands, heroes who took active part in this revolution seems to have been forgotten in one way or another and are never mentioned at all whenever the nation celebrates the occasion in commemoration to mark this day in the country

On April 7[SUP]th[/SUP] each year, the government of Tanzania marks the anniversary of the death of the first President of Zanzibar and first Vice-President of the United Republic of Tanzania Sheikh Abeid Aman Karume with nostalgic feelings of the man who devoted and sacrificed his life for the liberation of the people of Zanzibar. Just who is this man claimed to have helped change Zanzibar's course of history and contributed to the birth of the Union between Tanganyika and Zanzibar to form the United Republic of Tanzania?The persistent narration of the history of Zanzibar and the revolutionary movement seems to have been driven in a wrong way from its inception, let the government stick to the truth. Zanzibar is an autonomous state which before its union with the then Tanganyika on 26[SUP]th[/SUP] April 1964 three months after the revolution, attained its legal independence from British rule in October 1963. Within few months later, a nine hour revolution took place that led to the expulsion of the Sultanate government. Field Marshal John Okello is taken as an instrumental figure behind the move who by all means should always be remembered during national celebrations for his courageousness and the effort he showed as a leader of the revolution. It's also disturbing to note that, the government seems to have turned a blind eye in support of his movements and campaigns which he made and eventually led to the overthrow of the Omani-Sultanate government on the Island on January 12[SUP]th[/SUP] 1964. This significant occasion ended centuries of the oppressive Arab sultanate oligarchy in Zanzibar. As concerns his background history ‘Okello' was a Ugandan national from Lira district occupied by Lango ethnic group. He first entered the island of Pemba from Kenya on 21[SUP]st[/SUP] June 1959 in search of a job just like other people seeking for life in a foreign country. Soon after his short stay he joined the Afro-Shiraz Party, the only party which by then had its majority members composed of black Africans. Because of his patriotic outlook, he was elected the secretary of the youth wing for Vitongozi area and later came to be a youth wing leader of the whole Pemba island.
In early 1963, Okello began to organize the local troops to fight against the colonialists in a bid to bring human dignity which was lost among the majority of the African group residing in both islands. To make his planned mission work, he organized with mainland African policemen in both Pemba and Unguja islands and persuaded them one by one of the correctness of his views. Like many other African Diasporas in Zanzibar, Okello also navigated with the ASP aspirants that appeared to be under Sheik Abeid Karume. The real history about the revolution itself tells us that Mr. Karume wasn't even aware of the coup despite of the government which keeps on applauding him to have taken active part in overthrowing the Sultanate government. When he became President of Zanzibar, few months after the revolution, he expelled Mr. Okello from the island for unknown reasons. This matter has been remained concealed to the eyes of many Tanzanians and none of them actually knows nothing the basic reasons which led to his deportation from Zanzibar.
Sheikh Karume was born in Mwera village, a short distance from Zanzibar town in 1905. His death occurred mysteriously. On April 7, 1972, when a gang of counter-revolutionaries sneaked into the headquarters of the then Zanzibar ruling Afro-Shirazi Party (ASP) at Kisiwandui in Unguja Urban District. One of them immediately opened fire on a group of top party leaders who were enjoying a game of 'Bao'. Moments later, the body of the ASP President, who was also the President of Zanzibar and Union First Vice-President, laid in a pool of blood, dead. The shooter was immediately shot by President's security men around
Having taken control of both islands which by then had a population of 300,000 people, Okello created a Revolutionary Council and invited Sheik Abeid Karume back to the island to assume the title of Presidency. Other Zanzibaris in foreign territorry were also invited back, most notably the marxist politician the late Abdulrahman Babu to assume the position of a Prime Minister. Both Karume and Babu had not been informed of the coup as they were residing in Tanganyika for fear of their safety following the quarell they had with the Sultanante government, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume nor Babu wanted anything to do with him. John Okello reserved for himself the title of "Field Marshal", a position with undefined power. What followed was a three month long internal struggle for power.

On his arrival in Zanzibar on a Tanganyikan government plane, Karume was taken to the broadcasting station and Okello introduced him as President of the people's Republic of Zanzibar. After a brief introduction to the general public by saying
John Okello reserved for himself the title of "Field Marshal", a position with undefined power. What followed was a three month long internal struggle for power.

On his arrival in Zanzibar on a Tanganyikan government plane, Karume was taken to the broadcasting station and Okello introduced him as President of the people's Republic of Zanzibar. After a brief introduction to the general public, Mr Karume addressed the nation by saying,

"I am pleased and delighted to have this opportunity of speaking to you publicly in our newly freed island. As President of the Republic, I promise to serve you faithfully and to the full extent of your needs. The government we are going to construct will be the opposite of that which we have suffered under before. I am glad to say that under the wise leadership of Field Marshal John Okello we have reached a goal which we alone could not achieve. I appeal to you all to serve the new regime faithfully and honestly. I must express my thanks" Karume went on, "to the freedom fighters through whose efforts I have become President, and to Field Marshal Okello, whose fruitful leadership was accepted by you. My being President now, is due entirely to your strength and energy, you have struggled and suffered and died, but you have achieved a remarkable victory. I want all of us to work in unity and to obey Field Marshal Okello as any other person born on this Island without any form of discrimnation. Without his wisdom and courage, none of us would be where we are at the present. Fiel Marshal Okello's activities clearly shows that he is a man born with African liberation in his heart, and we of this Island are actually to have had him achieve our freedom so quickly". THAT WAS END OF HIS SPEECH.
Within a month of his rule after being announced as President of Zanzibar, Karume used his political skills to align the leaders of neighboring African countries against Okello, and invited Tanganyikan police officers into Zanzibar to maintain order.
As soon as Okello took a trip out of the country, Karume declared him an enemy of the state and did not allow him to return back in Zanzibar, he was also deported from Tanganyika. Given the presence of Tanganyikan police and the absence of their leader, Okello's gangs of followers did not offer any resistance. Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the former Ugandan President, dictator Iddi Amin in 1971 and vanished afterwards. It is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself, Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals") and had arranged his assassination. This remains speculative, however
 
Do you know who was the mastermind of the Zanzibar Revolution of January 1964?



MOST Tanzanians especially of the present generation do not know exactly the history of the revolution of Zanzibar which took place over four decades ago. They don’t even know how it started and how the Revolutionary Government of Zanzibar was formed. This is because after the revolution, the government has not been speaking the truth of the matter and instead it has been hiding the truth to the eyes of many Tanzanians. Most of them can tell the First President of Zanzibar the late Sheikh Aman Karume who is regularly mentioned to have taken an active part of the liberation of the people of Zanzibar. But the history tells us that, “President Karume was called to assume the position of presidency after the revolution which was organized and planned by a self-styled Field Marshal John Okello, a Ugandan born national who dedicated his life to save Zanzibaris in those days. He worked effectively by other freedom fighters who were members of Afro-Shirazi party. By then Karume was living in Tanganyika mainland for fear of his life after he quarreled with the Sultanate government and the ruling party of the Zanzibar government, the ZNP which was led by Prime Minister, Mohammed Shamte.
Despite of this important historic event which brought freedom to the majority of the African population residing in both Pemba and Unguja islands, heroes who took active part in this revolution seems to have been forgotten in one way or another and are never mentioned at all whenever the nation celebrates the occasion in commemoration to mark this day in the country

On April 7[SUP]th[/SUP] each year, the government of Tanzania marks the anniversary of the death of the first President of Zanzibar and first Vice-President of the United Republic of Tanzania Sheikh Abeid Aman Karume with nostalgic feelings of the man who devoted and sacrificed his life for the liberation of the people of Zanzibar. Just who is this man claimed to have helped change Zanzibar’s course of history and contributed to the birth of the Union between Tanganyika and Zanzibar to form the United Republic of Tanzania?The persistent narration of the history of Zanzibar and the revolutionary movement seems to have been driven in a wrong way from its inception, let the government stick to the truth. Zanzibar is an autonomous state which before its union with the then Tanganyika on 26[SUP]th[/SUP] April 1964 three months after the revolution, attained its legal independence from British rule in October 1963. Within few months later, a nine hour revolution took place that led to the expulsion of the Sultanate government. Field Marshal John Okello is taken as an instrumental figure behind the move who by all means should always be remembered during national celebrations for his courageousness and the effort he showed as a leader of the revolution. It’s also disturbing to note that, the government seems to have turned a blind eye in support of his movements and campaigns which he made and eventually led to the overthrow of the Omani-Sultanate government on the Island on January 12[SUP]th[/SUP] 1964. This significant occasion ended centuries of the oppressive Arab sultanate oligarchy in Zanzibar. As concerns his background history ‘Okello’ was a Ugandan national from Lira district occupied by Lango ethnic group. He first entered the island of Pemba from Kenya on 21[SUP]st[/SUP] June 1959 in search of a job just like other people seeking for life in a foreign country. Soon after his short stay he joined the Afro-Shiraz Party, the only party which by then had its majority members composed of black Africans. Because of his patriotic outlook, he was elected the secretary of the youth wing for Vitongozi area and later came to be a youth wing leader of the whole Pemba island.
In early 1963, Okello began to organize the local troops to fight against the colonialists in a bid to bring human dignity which was lost among the majority of the African group residing in both islands. To make his planned mission work, he organized with mainland African policemen in both Pemba and Unguja islands and persuaded them one by one of the correctness of his views. Like many other African Diasporas in Zanzibar, Okello also navigated with the ASP aspirants that appeared to be under Sheik Abeid Karume. The real history about the revolution itself tells us that Mr. Karume wasn’t even aware of the coup despite of the government which keeps on applauding him to have taken active part in overthrowing the Sultanate government. When he became President of Zanzibar, few months after the revolution, he expelled Mr. Okello from the island for unknown reasons. This matter has been remained concealed to the eyes of many Tanzanians and none of them actually knows nothing the basic reasons which led to his deportation from Zanzibar.
Sheikh Karume was born in Mwera village, a short distance from Zanzibar town in 1905. His death occurred mysteriously. On April 7, 1972, when a gang of counter-revolutionaries sneaked into the headquarters of the then Zanzibar ruling Afro-Shirazi Party (ASP) at Kisiwandui in Unguja Urban District. One of them immediately opened fire on a group of top party leaders who were enjoying a game of 'Bao'. Moments later, the body of the ASP President, who was also the President of Zanzibar and Union First Vice-President, laid in a pool of blood, dead. The shooter was immediately shot by President’s security men around
Having taken control of both islands which by then had a population of 300,000 people, Okello created a Revolutionary Council and invited Sheik Abeid Karume back to the island to assume the title of Presidency. Other Zanzibaris in foreign territorry were also invited back, most notably the marxist politician the late Abdulrahman Babu to assume the position of a Prime Minister. Both Karume and Babu had not been informed of the coup as they were residing in Tanganyika for fear of their safety following the quarell they had with the Sultanante government, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume nor Babu wanted anything to do with him. John Okello reserved for himself the title of "Field Marshal", a position with undefined power. What followed was a three month long internal struggle for power.

On his arrival in Zanzibar on a Tanganyikan government plane, Karume was taken to the broadcasting station and Okello introduced him as President of the people’s Republic of Zanzibar. After a brief introduction to the general public by saying
John Okello reserved for himself the title of "Field Marshal", a position with undefined power. What followed was a three month long internal struggle for power.

On his arrival in Zanzibar on a Tanganyikan government plane, Karume was taken to the broadcasting station and Okello introduced him as President of the people’s Republic of Zanzibar. After a brief introduction to the general public, Mr Karume addressed the nation by saying,

“I am pleased and delighted to have this opportunity of speaking to you publicly in our newly freed island. As President of the Republic, I promise to serve you faithfully and to the full extent of your needs. The government we are going to construct will be the opposite of that which we have suffered under before. I am glad to say that under the wise leadership of Field Marshal John Okello we have reached a goal which we alone could not achieve. I appeal to you all to serve the new regime faithfully and honestly. I must express my thanks” Karume went on, “to the freedom fighters through whose efforts I have become President, and to Field Marshal Okello, whose fruitful leadership was accepted by you. My being President now, is due entirely to your strength and energy, you have struggled and suffered and died, but you have achieved a remarkable victory. I want all of us to work in unity and to obey Field Marshal Okello as any other person born on this Island without any form of discrimnation. Without his wisdom and courage, none of us would be where we are at the present. Fiel Marshal Okello’s activities clearly shows that he is a man born with African liberation in his heart, and we of this Island are actually to have had him achieve our freedom so quickly”.THAT WAS END OF HIS SPEECH.
Within a month of his rule after being announced as President of Zanzibar, Karume used his political skills to align the leaders of neighboring African countries against Okello, and invited Tanganyikan police officers into Zanzibar to maintain order.
As soon as Okello took a trip out of the country, Karume declared him an enemy of the state and did not allow him to return back in Zanzibar, he was also deported from Tanganyika. Given the presence of Tanganyikan police and the absence of their leader, Okello's gangs of followers did not offer any resistance. Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the former Ugandan President, dictator Iddi Amin in 1971 and vanished afterwards. It is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself, Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals") and had arranged his assassination.This remains speculative, Howevor.
credits to: Emmanuel Onyango,African Nationalism, History of africa, wikipaedia etc
 
In the book Okello is quoted as saying that, " I understand African thinking and I understand that what I did in Zanzibar, had it been done in any other country for the sake of Africans, I would still have been judged wrong and borne blame. But I acted alone during the revolution and had to remain alone afterwards. If anyone can claim he was with me during the planning and thinking through of the Revolution, let him come forward and explain it" Okello then went on by saying that " Only God almighty knows what went on in Zanzibar. If anyone claims to have trained me or taught me to act as I did, let him come forward and describe it. I had been an ordinary worker in Zanzibar and went originally to work. A man of class and limited education certainly could not have gone abroad easily and why should I have known by or been acceptable to, and nothing proves this more than the wild claims made about me after the revolution and yet no one knew anything about me at all. I was reported to be a Luo man from Kenya and a former member of Zanzibar police, yet a check of records in Zanzibar would not reveal my name on any police employment rolls, other people claimed they had seen me in Cuba and in Cairo and in some socialist countries. But there has been any evidence to refute any claims that I have never been outside East Africa to assert that I was an agent of some power, is foolish. How would anyone known I could manage revolution? And why did no one know me after the revolution?
God alone knows and still knows what is happening with me. He is my teacher and whatever he taught me about revolutionary activities is within me and no one on earth can discern it. My power in regard to the revolution was as a messenger of God, and God alone helped to master and eradicate the imperialists on the Island.
 
On 24[SUP]th[/SUP] January 1964, Okello received an unsigned written letter in Swahili as quoted in his book as follows:- "Field Marshal John Okello, your behaviors is inconsistent with the requirement of the indigenous people. You are the only person boasting of having the power in the revolutionary government. You must realize that, you do not belong to the Muslim religion and you are leading Muslims even though you are a Christian. Also your activities led to the death of many people in the Island most of whom are Muslims. So start counting your days for a time will come when Muslims will unite to expel you from the Island" The letter did not upset him as he suspected to have come from ZNP Arabs. On 8[SUP]th[/SUP] February 1964, he received another letter stating "Field Marshal John Okello we are telling you that, you will not last for ever on this Island. You will soon find yourself outside and unable to return. Remember Karume himself is a Muslim and you may be certain he loved the Arabs killed during the Revolution more than he loves you".

Okello and Karume brought on the table of discussion:

Within two months' time after the revolution, Field Marshal Okello and President Karume flew in a three seater airplane to Dar es Salaam from Zanzibar whereby they were oddly met by President Nyerere. The two held a strong meeting chaired by Nyerere, others who were present was the Prime Minister Rashid Mfaume Kawawa and TANU secretary General and Minister for External Affairs, Mr. Oscar Kambona. According to quotes in Okello's book, the meeting was opened by President Nyerere who began by saying that John Okello "I understand there have been misunderstanding between you and President Karume in the Island and we are here to make some arrangement with you. I would like to know whether the present government belongs to you or Karume? I replied "The government of Zanzibar is neither mine nor Karume's but it is the government of the people of Zanzibar. When we fought we promised the people they would get their own government. We actually fought for freedom and that is what the people now have. We are the provisional leaders but there will be leaders tomorrow. We work for the people and they control us. Even here you are called President and head of the government of Tanganyika, but you know that the government is not yours, but rather it's the government of the people including yourself.

President Nyerere went on to ask me what I thought of Karume and why I used the broadcasting station to make fierce and boastful speeches more than was necessary. "I respect President Karume highly" I said, "First as an elder, second as my President, thirdly as a personal friend, and fourthly as a brother". I went on, "you know very well that our government was snatched by force and not by election as such, the radio is the easiest available means to communicate with the people and indeed to inform the world at large of the decisions of the revolutionary government. The quickest way to inform the people of what their new government is doing is to use radio". President Nyerere then turned to Karume and asked, "Do you understand what Okello has been saying? Karume replied, Yes I understand it clearly, I too, like Okello and I can trust him, but I do not understand why he dislikes my association with Abdrahaman Babu. And yet when Babu was expelled, it's I who introduced him to other East African leaders, and after the revolution it was Mr. Okello himself who called him back and gave him a ministerial portfolio" President Nyerere said he was satisfied with what I had said at the meeting, but he was concerned with some of my radio speeches.

"I realized after this meeting, that a serious fight for power was going on and someone wanted to emerge on top. It looked to me as if President Nyerere felt that as long as I was on the Island, he could not join it with Tanganyika, he feared I would want to join with Kenya. Indeed I was very much in agreement with a Kenyan President Kenyatta's plans and ideas. Kenyatta was straightforward and spoke openly. If I joined Zanzibar with any single East African nation, I would have preferred Kenya to Tanganyika" Okello remarked in his book.
 
Other quotes from Okello's book can be read as follows:- I have had several lessons, then in African psychology and I believe that a good thing done by an African for his brothers in need may in future be turned against him. Yet there are few people on earth who will help others at their own risk. It is wrong that when you have cultivated a farm for your brothers and the fruits are ready, they deny you a share. God himself must have cursed such behaviors It is also unwise to say a pot which helped you to cook should be broken to pieces when you have eaten from it and are satisfied, for you do not know what may happen the next day, and if you are hungry a pot broken in contentment will not serve you in the need. The old fishermen with whom I spoke when crossing from Pemba to Unguja in 1963 and many of my soldiers and officers, will recall my predictions about their behavious towards me. I did as I said I would lead them to freedom and they did as I said they would expel me from their land like tailless dog. As a child, I was dispossessed of everything, yet this did not defeat me, as a leader of the Zanzibar Revolution.
 
mara nyingi historia za kiafrika hazihifadhiwi ipasavyo kwa mfano zanzibar revolution kuna majina kama edington kisasi walifanya mengi ktk mapinduzi hayo lakini hutasikia akitajwa...etc ...etc.....
 
Back
Top Bottom