Uchaguzi 2020 Mapingamizi halali kisheria dhidi ya mgombea nafasi ya Urais

Hii Tume inatunia mafumbo
Mf kipengele No 13
Masharti na Maadili ya Tume ni yapi?
 
Mapingamizi namba 4 na 5 yanavunja misingi ya haki ya Watanzania kuchaguliwa uongozi.

Nafikiri hata Ripoti ya Jaji Nyalali ilishauri tuondoe sharti la wagombea kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
Hii itamuhusu Mr Spunda
 
Amemuiga magufuli kuanza kampeni mapema
 
Katiba ikijikanganya si kwamba katiba inakuwa kinyume na katiba.

La hasha.

Katiba inakuwa haipo, kwa muktadha wa hilo jambo.

Ni ka crisis ka cohesion.

Kama vile negative na positive zina cancel out.

Huku unaambiwa raia wana haki ya kugombea uongozi.

Kule unaambiwa ili kugombea uongozi inabidi raia awe na chama cha siasa.

Katiba inajichanganya. Na mpaka mkingamo huu utakaposawazishwa, jambo hili lina kizungumkuti cha kikatiba.
 

Kampeni ni kampeni mpaka pale kipyenga kitakapo pigwa.
 
So na ujanja wako wote huo unasubiri hayo yatokee kisha ukakojoe ukalale badala ya kuja na mechanism ya kukabiliana na huo uhuni.
 
Leo na jana nimesoma ujinga mwingi humu. Lissu, Membe, Magufuli,Shariff et. al ni presumptive nominees, huwezi kuwabana na hivyo vifungu vya ajabu ajabu! Huhitaji kuwa constitutional lawyer kuelewa hivi vitu! Common sense jamani!
 

Yes, huyu jamaa (Jiwe) kweli ni dictator, no doubt about that...

Yes, huyu jamaa ni mwoga kusimama jukwaani na wanaojua kuliko yeye...

Worse enough, huyu dictator asingependa kuona anashindania Urais na Tundu Lissu mwaka huu. Kwake hili likitokea, it will be a nightmare to him....!!

Lakini it's now, TOO LATE TO HIM DO ANYTHING ABOUT THIS....Tundu Lissu kwa 150% atakuwa kwenye BALLOT PAPERS...!!
 
tumia akili mkuu na usome upya, tundu lissu anaafuta wadhamini wafike 200 au kuendelea mikoa 10 ni mojawapo ya sifa zilizo ainishwa Apo juu.
 
Hahahaha [emoji23], hii sasa ndoto.
 
Jana na leo shughuri hazijafanyika huku niliko, kisa kitambulisho cha WAMACHINGA! Waendesha baiskeli kwa kubeba abilia, Shinyanga mjini hawana hamu! Bila kitambulisho hicho, unanyang'anywa baiskeli yako!
Hata Mungu kuna nyakati inabidi "atumie nguvu" ili akili zikukae vizuri
 
Mbona mnatia huruma hivyo! Lissu tunamkatafunua kwenye sanduku mapema sana ili azidi kuchanganyikiwa! TL hawezi kuwa Raisi wa Tanzania, labda awe raisi wa Twitter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…