Mapini makali ya muda wote ya Hip Hop ilikuwa ni mwendo wa kutikisa vichwa tu


Brother Rick Ross umemsahau, Mwamba kabisa wa misimu yote ana nyimbo zinazoishi hadi kesho, mfano wa nyimbo hizo ni pamoja ni Devil in a New Dress, I am Boss, Hustling na Stay Scheming
 

Nick Minaj pia umemsahau Mkuu, Kuna nyimbo ya Nick Minaj Ft. Rick Ross inaitwa I am Your Leader

Beat ya hiyo nyimbo ilipigwa lazima utikise kichwa na miguu kwa pamoja
 
Brother Rick Ross umemsahau, Mwamba kabisa wa misimu yote ana nyimbo zinazoishi hadi kesho, mfano wa nyimbo hizo ni pamoja ni Devil in a New Dress, I am Boss, Hustling na Stay Scheming
Mkuu Japo Baadhi Ya NYimbo za Rick Ross Zilifanya Vizuri Ikiwemo Hustlin Ya Rick Ross iliobamba 2006 ila Rick Ross amekua Famous Zaidi 2010'S Na Mimi Nilizingatia Zaidi 1995 Mpaka 2009.
 
Ukisikiliza izo ngoma unaweza pata mzuka wakufanya jambo lolote liwe baya au zuri uwe sehemu ya starehe au mishe ngumu ata ukiwa kwenye mizagamuano SASA JICHANGANYE USIKILIZE SINGELI asee unaona kabisa dalili yakua kichaa maana uchezaji wake nikama mtu anaetetemeka kwa degedege
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
List haina akina Warren G Mc Lyte atakuwa Gen Z huyu 😁
Ni Ngumu Kumtaja Warren G Kwasababu Alikua Ndani Ya Kivuli Cha The Dogg Pound,Ndo Maana Nimeenda Na Snoop Dogg.
Kuhusu MC Lyte Kiukweli Sjawahi Muelewa Ngoma Zake Hua naskia ni makelele tu Na Nikiambiwa Ni pick Kati Ya Mc Lyte na nick Minaj Ntaenda Na Nick Bila kupepesa MachoπŸ˜‚
 
Nick hata uzuri tu hajamzidi Lyte 😁 anyways ni kama mapenzi uzuri upo machoni kwa anaye penda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…