Wazee kama Wasira hawastahili kubebeshwa majukumu ya kudumu. Watumike kutoa ushauri wa hapa na pale tu!
Ni wanajua vijana wengi hawaikubali CCM.
Na sasa wazee wengi wanamtambua Lisu kama mtu aliyetumwa na Mungu kuja kuirejesha Tanganyika kwenye uelekeo wa wapigania uhuru.
Wazee wetu waliopigania uhuru wa Tanganyika ili kuleta maendeleo ya Watanganyika.
CIA ikishirikiana na Uingereza katika ghiliba zake za kiuchumi na kuleta Ubeberu ndio waiotumia hila kumshawishi Mwalimu ili aungane na Karume kwa lengo la baadae kuitumia Zanzibar kurejesha ukoloni mambo leo .
Rejea azimio la Zanzibar lililowapa Waarabu nchi yao kule Loliondo na sasa Loliondo ni sehemu ya falme za kiarabu .
Na pia turejee kudhoofishwa usalama wa nchi kwa kuuza bandari zote na ardhi yote isiyokimwa na ya hifadhi kwa wajukuu wa Sultani na kuwa mali ya wale wale waliopinduliwa Zanzibar na kukimbilia Uingereza .Sasa nchi iko uchi na majeshi yetu yanatumika kuwakandamiza na kuwaumiza na hata kuwaua Watanganyika kwa faida ya mabeberu toka kwenye familia ile iliyofukizwa Zanzibar kwa njia ya Mapinduzi .Leo ndio wamiliki wa nchi yote ya Tanganyika kwa manufaa ya vizazi vya waarabu huko Oman chini ya ufadhili wa CIA kuhujumu lango la kiuchumi la Tanganyika na Kongo kupitia Rwanda.
Tumitakiwa tumsaidie Kagame ili Kongo ya mashariki ijitenge na Kongo Kinshasa na kujitawala kama Sudani ya Kusini. Kongo Kinshasa haiwezi kamwe kusimamia masuala ya kiusalama na kiuchumi zaidi ya kutumiwa na wafaransa kutawala na kuwanyonya wakongo zaidi ya mil . 100 kwa manufaa ya wanasiasa wachache wasio na uzalendo .
Kagame yupo sahihi kuwalinda ndugu zake wanaowindwa ili watokomezwe kule Kongo kama Wamasai walibyotaka kutokomezwa kule Loliondo ili Loliondo iwe ni mali ya mtu mmoja na familia yake kule Emirate.Bahati nzuri Mkombozi wa Watangayika Mh.Tundu Antipas Lisu akasimama na kupigania haki za Wamasai na wasonjo kuishi kwenye ardhi yao ya asili .
Mungu ibariki Tanganyika Mungu mbarilki Tundu Lisu awe Rais wa kwanza Mpigania haki duniani na Afrika nzima . Atapigania hali za wakongo kujitawala kwa misingi ya sheria na UN ataiambia ukweli wa kihistoria na kuwatoa wavamizi toka Magharibi na sasa China walioivamia Kongo na kumsingizia Kagame wakati.