Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

😁😁😁 Wasira atoe ushauri gani? Kama wanaitaji ushauri yupo jaji warioba na butiku wawafuate hao
Sijawahi sikia huyo mzee akishauri jambo lolote kwa jamii.
Akiwa Waziri wa Kilimo kulitokea ukame maeneo mengi ya nchi akajibu "kwani mimi ni waziri wa mvua"?
Nikamwona mzee wa hovyo alipolilia ubunge dhidi ya Ester Bulaya
 
Sojawahi sikia huyo mzee akishauri jambo lolote kwa jamii.
Akiwa Waziri wa Kilimo kukitokea ukame maeneo mengi ya nchi akajibu "kwani mimi ni waziri wa mvua"?
Tyson bure kabisa😁😁
 
Sijawahi sikia huyo mzee akishauri jambo lolote kwa jamii.
Akiwa Waziri wa Kilimo kulitokea ukame maeneo mengi ya nchi akajibu "kwani mimi ni waziri wa mvua"?
Nikamwona mzee wa hovyo alipolilia ubunge dhidi ya Ester Bulaya
Kitu pekee nakumbuka juu ya huyu mzee ni utabiri wake wa kifo cha CHADEMA kabla ya uchaguzi wa 2015
 
Pamoja na mkoa wa mara kutoa viongozi mashuhuri ila kimaendeleo upo duni.viongozi wengi waliozaliwa mkoa wa mara hamna la maana walichoisaidia jamii zao.
Wanachojua ni kuneemesha matumbo na familia zao.
 
Wazee kama Wasira hawastahili kubebeshwa majukumu ya kudumu. Watumike kutoa ushauri wa hapa na pale tu!
IMG-20250125-WA0002.jpg
 
Kama kakaa kwenye uongozi kwa miaka mingi ina maana ana uzoefu katika uongozi na huo uzoefu ndio tunaouhitaji kwa kumpa nafasi zaidi ya kutuongoza .
Anyway! Trump aligombea mara ya kwanza akashinda na kukaa madarakani kwa miaka minne, Kisha akagombea tena muhula wa pili akashindwa, kisha kagombea tena na amaeshinda. Kwa mtazamo wako naona kwa kuwa alishakaa kwenye uongozi ilitakiwa asigombee tena ili kuwapa nafasi watu wengine kuiongoza marekani.
 

Attachments

  • IMG-20250125-WA0002 (1).jpg
    IMG-20250125-WA0002 (1).jpg
    64.1 KB · Views: 2
Wazee kama Wasira hawastahili kubebeshwa majukumu ya kudumu. Watumike kutoa ushauri wa hapa na pale tu!


Ni wanajua vijana wengi hawaikubali CCM.
Na sasa wazee wengi wanamtambua Lisu kama mtu aliyetumwa na Mungu kuja kuirejesha Tanganyika kwenye uelekeo wa wapigania uhuru.

Wazee wetu waliopigania uhuru wa Tanganyika ili kuleta maendeleo ya Watanganyika.

CIA ikishirikiana na Uingereza katika ghiliba zake za kiuchumi na kuleta Ubeberu ndio waiotumia hila kumshawishi Mwalimu ili aungane na Karume kwa lengo la baadae kuitumia Zanzibar kurejesha ukoloni mambo leo .
Rejea azimio la Zanzibar lililowapa Waarabu nchi yao kule Loliondo na sasa Loliondo ni sehemu ya falme za kiarabu .
Na pia turejee kudhoofishwa usalama wa nchi kwa kuuza bandari zote na ardhi yote isiyokimwa na ya hifadhi kwa wajukuu wa Sultani na kuwa mali ya wale wale waliopinduliwa Zanzibar na kukimbilia Uingereza .Sasa nchi iko uchi na majeshi yetu yanatumika kuwakandamiza na kuwaumiza na hata kuwaua Watanganyika kwa faida ya mabeberu toka kwenye familia ile iliyofukizwa Zanzibar kwa njia ya Mapinduzi .Leo ndio wamiliki wa nchi yote ya Tanganyika kwa manufaa ya vizazi vya waarabu huko Oman chini ya ufadhili wa CIA kuhujumu lango la kiuchumi la Tanganyika na Kongo kupitia Rwanda.


Tumitakiwa tumsaidie Kagame ili Kongo ya mashariki ijitenge na Kongo Kinshasa na kujitawala kama Sudani ya Kusini. Kongo Kinshasa haiwezi kamwe kusimamia masuala ya kiusalama na kiuchumi zaidi ya kutumiwa na wafaransa kutawala na kuwanyonya wakongo zaidi ya mil . 100 kwa manufaa ya wanasiasa wachache wasio na uzalendo .

Kagame yupo sahihi kuwalinda ndugu zake wanaowindwa ili watokomezwe kule Kongo kama Wamasai walibyotaka kutokomezwa kule Loliondo ili Loliondo iwe ni mali ya mtu mmoja na familia yake kule Emirate.Bahati nzuri Mkombozi wa Watangayika Mh.Tundu Antipas Lisu akasimama na kupigania haki za Wamasai na wasonjo kuishi kwenye ardhi yao ya asili .

Mungu ibariki Tanganyika Mungu mbarilki Tundu Lisu awe Rais wa kwanza Mpigania haki duniani na Afrika nzima . Atapigania hali za wakongo kujitawala kwa misingi ya sheria na UN ataiambia ukweli wa kihistoria na kuwatoa wavamizi toka Magharibi na sasa China walioivamia Kongo na kumsingizia Kagame wakati.
 
Pamoja na mkoa wa mara kutoa viongozi mashuhuri ila kimaendeleo upo duni.viongozi wengi waliozaliwa mkoa wa mara hamna la maana walichoisaidia jamii zao.
Wanachojua ni kuneemesha matumbo na familia zao.
CCM ni tatizo kubwa kwa ustawi wa watz.
Kulikuwa na kiwanda bora sana cha nguo hapo Musoma lakini ccm ikakiua
 
Back
Top Bottom