Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Hii ndiyo CCM tunayoijua sisi siyo ile CCM Mpya ya Bashiru na Polepole!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupoteza muda CCM is there to stay,Alisikika mlevi mmoja kua ccm imejifia, imekufa kifo cha mende.Hii ndio ninayo ijua mm
Majambazi Wana pongezana, hivi hao wanaompokea wanaweza kula milo 2 kwa siku?View attachment 2198928
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.
View attachment 2198930
Akizungumza na wanachama wa CCM ukumbi wa CCM wilaya ya Mkuranga Ndugu Kinana amewataka wana-CCM kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi ndani ya Chama katika uchaguzi unaoendelea pamoja na kuwahimiza viongozi wa ngazi zote kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa huru, haki na wenye kuzingatia katiba ya CCM na kanuni zake ili kuwapata viongozi waadilifu.
View attachment 2198932
"Viongozi simamieni uchaguzi uwe huru na haki, acheni kubeba wagombea, epukeni dhulma na chukueni hatua kwa kuwakata wale wanaotafuta uongozi au umaarufu kwa fedha. Kwa kuwa tunataka uadilifu nje ya CCM basi ni lazima tuanze kwanza sisi kuwa waadilifu." Amesema Kinana
View attachment 2198997
Kinana amesisitiza "Wana-CCM wanayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa lakini haipo haki ya kununua au kununuliwa ili kupata au kutoa uongozi. Kuna watu huwa hawana habari na chama wala wanachama wakati ambao sio wa chaguzi ajabu wakisikia uchaguzi tu wanaanza kujipitisha kuwasalimu, kugawa fedha na kuwachafua wengine tusiruhusu haya yajitokeze."
View attachment 2198994
Aidha Kinana amesema mahusiano mazuri baina ya CCM na serikali ni chachu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM hali inayoimarisha imani ya wananchi kwa Chama na serikali yao. Pia amewataka viongozi wa CCM kuendeleza utamaduni wa kuwasikiliza wananchi na kuwasilisha changamoto zao serikalini kwa utatuzi. Amehimiza wajibu huo ni walazima kwa sababu ni CCM inayoomba kura na inayopigiwa kura.
View attachment 2198993
Mapema wakati wa Mapokezi Ndg Kinana ameshiriki uzinduzi wa ofisi ya tawi la Mwanambaya kata ya Mipeko wilaya ya Mkuranga ambapo alichangia shilingi milioni tatu kuunga mkono juhudi za Wana-CCM na viongozi wa tawi hilo za kupata mazingira mazuri ya kufanyia shughuli za Chama.
View attachment 2198992
Katika ziara hii viongozi walioshiriki ni pamoja na mwenyeji wake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Ndg Ramadhani Maneno, Kamati ya siasa ya mkoa wa Pwani, kamati za siasa za wilaya zote za Mkoa wa Pwani, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Ndg Abubakar Kunenge, wakuu wa wilaya zote, watendaji wote, wabunge na madiwani wote wa Mkoa wa Pwani. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana ameondoka mkoa wa Pwani kuelekea mkoa wa Tanga kuendelea na ziara yake akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka.
View attachment 2198947
'CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu'
#CCMImara
#KaziIendelee
Gag report umeiosoma?Wamekuibia nini? Au ni mkumbo tu unakusumbua,
Nchi ya mkumbo mkumbo tu
Unampendaje mungu alafu unaside na shetaniKwani CCM hakuna watu wanaompenda Mungu?
Ipo siku mtu atafia ofisini.View attachment 2198928

Shule ya kisasa iliyojengwa na pesa za Covid wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara.Mkumbo upi hakuna dawa hospitali, huko shuleni wanafunzi wanakunya porini, unataka mkumbo upi
Kwani upinzani unaruhusiwa kufanya siasaHuyu Mzee ni jembe sana hasa kama wataungana na Shaka hapo Upinzani kaeni mkao wa Maumivu
Nchi ni masikini Sana, kudhibiti nchi masikini kama hii ni Raisi tu hutumii akiliNchi iko chini ya udhibiti wa ccm, CCM bado imara sana
Mnadanganyana na maigizo ya ccm mbona hawataki katiba mpya?Comred Kinana ni mtu wa watu sio wa CCM tu bali anapendwa na watanzania wote.
namna yake ya kuzishughulikia kero na utatuzi zinawkosha watanzania wote.
Sasa asipumbazwe bali apige kazi kisawasawa.
Umesikia ni wezi na wewe ukaamua kuwaita wezi au wamekuibia kweli?
TUNATAKA KATIBA MPYA vipi Report ya CAG ?View attachment 2198928