Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje?

Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi BAVICHA iliyoko mbele yetu. Msigwa na Mbowe umizeni vichwa kufanikisha hili hata kama ikiwezekana tukipata watu wa kukodi itakuwa njema.

Nawasilisha.
 
Kama kuna vitu vinamuumiza kila mwanaccm ni hawa watu wanaojitokeza kwenye hafla za CDM. Kila mwanaccm anajitahidi kuonyesha watu ni wachache ili kupunguza hofu.

Sasa wanafunzi na watumishi wa umma wajiandae kushurutishwa kuhudhuria mikutano ya CCM ili kuhadaa umma kua hata CCM inapata watu wengi.
 
Lissu hata kwenye uchaguzi alianza hivoivo, lkn baadae watu wakamuelewa na akaanza kujaza nyomi

Lissu ni Mwanasiasa ambaye ni mbishiii na ananguvu kubwa ya kushawishi kuliko hata Mbowe

Siwapendi wapinzan, na siipend hii CCM ya Msoga, lkn Kwa hili, Lissu atawapelekea Moto sana CCM Msoga.

Jamaa ana hoja nzito ambazo zinapita mulemule !!.
 
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, makamu mwenyekiti, amewahi kugombea urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje...
Umuhimu wa Lissu ni katiba sio nani kaenda kumpokea. Yaani hawa ndiyo vijana wetu wa kizazi hiki halafu tunashangaa kwanini hawana kazi! Ni pumba tu.
 
Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.

Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Hivi huyu aliyeandika haya ni binadamu!!?

Ana kichwa chenye ubongo kabisa!!??

Inabidi JF ifanyiwe uchunguzi,inawezekana tuna misukule, majini, mashetani, matahira na wanyama humu.

Uandishi huu si wa kibinadamu!
 
Umezoea kudanganywa? Spade-spade
 
Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.

Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Halafu ukisimama mbele ya kioo na kutazama sura uionayo hapo unadhani ana akili timamu huyo?
Huyo hana ndio maana huku JF anaandika ujinga kila siku, mwambie "koma mjinga wewe!"
 
Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.

Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Haya maneno kama ya former speaker 90%
 
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, makamu mwenyekiti, amewahi kugombea urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje.
Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi Bavicha iliyoko mbele yetu.
Msigwa na Mbowe umizeni vichwa kufanikisha hili hata Kama ikiwezekana tukipata watu wa kukodi itakuwa njema.
Nawasilisha
Umeandika kama mimba uliyoshika ipo nje ya kizazi.Haisadifu ukweli.
 
Back
Top Bottom