chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hizo ni kesi za madai, ni watu wanaomdai, vinginevyo utuambie mama atamlipia madeni aliyokopa, hapo hakuna Cha kamanda siroYour Worldview is very bleak! Wewe unaona madhambi tuu, huoni wema wowote. Hayo uliyosema yote hayana msingi. Sio Tanzania ya Mama.