MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.
Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Mwambie jamaa yako alipe madeniHaichekeshi.
Ndio wana jaribu kujibu kwa hoja kama wskivyo aguzwa na mwenyekiti wao. Shida kweli kweli.Chawa mnapata shida sana
Unataka kucheka kwenye msiba? Hujachezea Bomba muda mrefu umepata ugonjwa wa chekelea?Haichekeshi.
Umuhimu wa Lissu ni katiba sio nani kaenda kumpokea. Yaani hawa ndiyo vijana wetu wa kizazi hiki halafu tunashangaa kwanini hawana kazi! Ni pumba tu.Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, makamu mwenyekiti, amewahi kugombea urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje...
Hivi huyu aliyeandika haya ni binadamu!!?Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.
Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Lisu aendelee tu kuwapelekea pumzi ya moto. Chawa mnaweweseka sana na balaa la LisuKama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, makamu mwenyekiti, amewahi kugombea urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje...
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, makamu mwenyekiti, amewahi kugombea urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje...
Umezoea kudanganywa? Spade-spadeHivi huyu aliyeandika haya ni binadamu!!?
Ana kichwa chenye ubongo kabisa!!??
Inabidi JF ifanyiwe uchunguzi,inawezekana tuna misukule, majini, mashetani, matahira na wanyama humu.
Uandishi huu si wa kibinadamu!
Halafu ukisimama mbele ya kioo na kutazama sura uionayo hapo unadhani ana akili timamu huyo?Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.
Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Haya maneno kama ya former speaker 90%Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.
Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Umeandika kama mimba uliyoshika ipo nje ya kizazi.Haisadifu ukweli.Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, makamu mwenyekiti, amewahi kugombea urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje.
Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi Bavicha iliyoko mbele yetu.
Msigwa na Mbowe umizeni vichwa kufanikisha hili hata Kama ikiwezekana tukipata watu wa kukodi itakuwa njema.
Nawasilisha