Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

Halafu ana matege sehemu zote.😜😜😜😜
 
Mh Lissu akiongea watu wanakaa kimya kumsikiliza anatoa darasa hadi walioongoza nchi hii wanabaki midomo wazi. Ukweli Lissu ni Msomi na anajua kushawishi ummaa na kumuelewa.
 
Hahaha.. Kweli una saga sumu na kuinywa mwenyewe..!!
 
Juzi waziri mmoja alikuwa huku wakawalazimisha watumishi kwenda kumsikiliza.
 
Hivi huyu aliyeandika haya ni binadamu!!?

Ana kichwa chenye ubongo kabisa!!??

Inabidi JF ifanyiwe uchunguzi,inawezekana tuna misukule, majini, mashetani, matahira na wanyama humu.

Uandishi huu si wa kibinadamu!
Kawaida ya MaChawa yanaweweseka!
 
Nadhani mapokezi yalikuwa makubwa. Watu wametembea kwa miguu 20km si mchezo. Mara ya mwisho ilikuwa Baba Wa Taifa.

Lisu ni Msomi Bora zaidi wa Sheria hapo nyumbani Tanzania. Ubora wake unachangiwa na kuwa ni Wakili Mahakamani, ni Mtunga Sheria Bungeni, ni mpigania haki za Mazingira (kumbuka miaka hiyo akiwa mwanasheria wa Mazingira), ni mpigania haki za Madini (Kumbuka akihangaika na watu huko Tarime miaka hiyo), na Mwana Historia mzuri, ni Mtafiti nzuri ambaye ameandika vitabu viwili, ni Mwana Siasa na Mwanasheria kwa theory, kwa practice na kwa Research. Amejaaliwa Kipaji. Ni muongeaji nzuri kutolea tangu Nyerere(Oratory Skills).

Kwa hiyo Wala mapokezi yake hayawezi kulinganishwa na ya Lema. Lema ni local huko Arusha, saizi yake ni Gambo
 
Lemma anaogopa kurudi, watu wanaomdai ni wengi sana na wanamvizia airport. Ana mpango apitie namanga au sirari, apite kwa ndugu yake mwanza amkopeshe.

Huko aliko hata nauli hana, aliomba lifti ya Lissu, Lissu hela yake ngumu, akamgomea
Watu hawaombi lift kwenye NdegeπŸ˜‚
 
Mkuu, Wenje aliisharudi. Yupo huku Kanda ya Ziwa anapuyanga tu.
 
 
Lema watakuwa wengi. Kumbuka Lisu siyo mchaga.
 
Aah, hiyo hata Serikali ya Canada italipa. Kama inalipia nyumba, shule, na posho italipia ticket pia
Anavuta muda mkuu, ataishije Arusha aache posho za wakanada? Mahakama za Dsm na Arusha zina attachment order za kutosha pamoja na hukumu za kumfunga kama mfungwa wa madai (civil prisoner)
 
Anavuta muda mkuu, ataishije Arusha aache posho za wakanada? Mahakama za Dsm na Arusha zina attachment order za kutosha pamoja na hukumu za kumfunga kama mfungwa wa madai (civil prisoner)
Your Worldview is very bleak! Wewe unaona madhambi tuu, huoni wema wowote. Hayo uliyosema yote hayana msingi. Sio Tanzania ya Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…