Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

Your Worldview is very bleak! Wewe unaona madhambi tuu, huoni wema wowote. Hayo uliyosema yote hayana msingi. Sio Tanzania ya Mama.
Hizo ni kesi za madai, ni watu wanaomdai, vinginevyo utuambie mama atamlipia madeni aliyokopa, hapo hakuna Cha kamanda siro
 
Mafuso yakubeba watu vijijini!
 
Lissu alipata support ya wanafunzi waliokuwa wakitoka mashuleni.

Hoja hakuna,umebaki ulalamishi mtupu!
 
Lissu alipata support ya wanafunzi waliokuwa wakitoka mashuleni.

Hoja hakuna,umebaki ulalamishi mtupu!

Mngewazuia hao wanafunzi ili Lisu asipate support.
 
Iwe mvua iwe jua pamoja na mapokezi haya...CCM itaongoza tena nchi..nadhani mnawajua vzr
 
Shida kubwa ya chadema ni kuishi kwa kufikiri wanapendwa na watu wengi kupita ccm kumbe uungwaji mkono wao huwezi kabisa kulinganisha na ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…