Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.View attachment 2254641
Mkuu kumbe upo bwanga tuNimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.View attachment 2254641
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Bora aendelee kuuza kangara tu, ccm wanaweza kushinda hata kama hamjapiga kura,Unaota, unatuambia nini Kalemani ndiyo chaguo lako la uraisi?!?
CCM hata wakiweka Ukuni au Jani la mgomba kama mgombea hakunaga wa kuwaangusha, hawategemei mabox ya Kura zinazokaa ofisi ya kata!
Mchunga ng'ombe alikupeleka puta, bila shaka alikusababishia stress zisizo isha!Haitatokea tena mchunga ng'ombe kupewa urais wa nchi hii.... NEVER!
Kwahiyo hawa ni wanafunzi?Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Acha uongo ni lini CCM iliwahi kuwa na ushawishi Kanda ya ziwa zaidi ya enzi za JPM kwa turufu ya ukabila!!Hatuna kisasi naye, in fact tunampenda sana.
Sisi hatuwataki CHADEMA, ni wadini na wakabila sana.
Safi sana, umeamua kukubali matokeo...😂😂Hatuna kisasi naye, in fact tunampenda sana.
Sisi hatuwataki CHADEMA, ni wadini na wakabila sana.