Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
20220608_205249.jpg
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.View attachment 2254641
Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...

Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
 
Nyie wanasiasa wachumia matumbo acheni kutugawa kikanda kwa mitazamo hafifu Kama hii, Kanda ya ziwa lipi hiyo ambayo watu Wana kisasi juu ya mama, kwa lipi?

Kiufupi sioni hofu juu ya urais wa mama kwa 2025,samia ni rais Bora kabisa na atashinda kwa kishindo kutokana na wingi wa kura toka Kanda ya ziwa!!!
 
Unaota, unatuambia nini Kalemani ndiyo chaguo lako la uraisi?!?
CCM hata wakiweka Ukuni au Jani la mgomba kama mgombea hakunaga wa kuwaangusha, hawategemei mabox ya Kura zinazokaa ofisi ya kata!
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641

Ccm hawategemei kura na dhalimu ndio muasisi wa tabia hiyo. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi.
 
Unaota, unatuambia nini Kalemani ndiyo chaguo lako la uraisi?!?
CCM hata wakiweka Ukuni au Jani la mgomba kama mgombea hakunaga wa kuwaangusha, hawategemei mabox ya Kura zinazokaa ofisi ya kata!
Bora aendelee kuuza kangara tu, ccm wanaweza kushinda hata kama hamjapiga kura,
Ilimradi utangazwe uchaguzi, tume na polisi wawepo, pia uvccm wanaojibadilisha kuwa wasimamizi wa uchaguzi, bila aibu watakwambia wameshinda kwa kishindo
 
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.

Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Kwahiyo hawa ni wanafunzi?

Si bora Rais Samia hasombi watu kwenye malori kutoka maeneo mbalimbali ili ionekane yule bwana anakubalika na wananchi kumbe maigizo.
 
Hatuna kisasi naye, in fact tunampenda sana.

Sisi hatuwataki CHADEMA, ni wadini na wakabila sana.
Acha uongo ni lini CCM iliwahi kuwa na ushawishi Kanda ya ziwa zaidi ya enzi za JPM kwa turufu ya ukabila!!

In fact Mara, Simiyu, na Kagera mpaka ukerewe, Nyamagana na Shinyanga Chadema iliperform better 2015. Hapo Geita mjini 2020 licha ya wizi CHADEMA ikipata 17,000 huku CCM ikishinda kwa 30,000 hivi Hilo gap ndio kusema upinzani haupo Kanda ya ziwa!!

Get serious
 
Hatuna kisasi naye, in fact tunampenda sana.

Sisi hatuwataki CHADEMA, ni wadini na wakabila sana.
Safi sana, umeamua kukubali matokeo...😂😂
Hakuna wa kuiangusha CCM. Samia anairudisha nchi kwenye mstari
 
Back
Top Bottom