Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

Vipi dereva yuko wapi !!! Kwann yeye risasi hazikumchubua hata. Kipande , chan ngozi


Na alitoka mzima mzima wakati risasi zote zili miminwa kwa upande wake zikamfikia abiria , dah hapa ni changa la macho ,,,paaaaaàh mazuzu.com hayoooooooooooooooooooooooo




Jeshi la polisi likikomalia hapa hakyanaani. Mate yaliyokuwa yanatupiwa kule chato hahhahaha yataokotwa tuuu....
 
Lissu alikuwa Al Jazeera dakika chache zilizopita anadai kuruhusiwa kwa mikutano ya siasa ni pressure yao baada miaka 6 ya ukandamizaji wa Magufuli na Samia.

Kwa mujibu wa Lissu si kwamba Bi Tozo karuhusu tu alikuwa hana namna ya kuzuia nguvu ya umma kutaka mikutano ya hadhara.

Vita yake kuu akirudi ni katiba ya kidemokrasia.

Source: Tundu Lissu kupitia mahojiano yake na Al-Jazeera.
 
Jeshi la polisi lianzie eneo la tukio lilipopaswa kuwa lindoni na kuna ushahidi usiotia shaka wa CCTV cameras, simple and straight.
Servers huwa zinaweka kumbukumbu hata kama cameras zimeng'olewa, sasa kigugumizi kilitokea wapi kuweka hadharani footages za tukio zima?
 
Huyo ndo “propagandist “ wa chadema.
Jamaa ni muongo. Huwa wanashindana na “mmawia “ kwa uongo.
Mkuu kwani unachangia uzi huu huu au umepotea njia , hicho cheo ulichokitaja mbona kwenye katiba ya Chadema hakimo ?
 
Sass kwanini risasi hazikumpata dereva ???? Hata kama cctv hazikuwepo on spot!?? Unajuaaa nyinyi mnafanya mazuzu.com , matahira.com yasiyojielewav,,,,,,, uki reply sema kwanini risasi zili miminwa upande wa dereva na zikafika kwa abiria hata hazikumchubua dereva ngoziii ...the. Dereva akafichwa kipindi kile wakati wa. Siro alisema dereva aletwe. CENTRAL either amechubuliwa na risasi huku anahema au kafa kwa risasi ....


What next is surprising......
 
Mkuu kwani unachangia uzi huu huu au umepotea njia , hicho cheo ulichokitaja mbona kwenye katiba ya Chadema hakimo ?
Dereva yupo wapi , mbona amefichwa miaka nenda rudu au na yeye amemalizwa chini kwa chini!?? Kwa jinsi mlivyo na agenda za chini kwa chini za RED BRIGADE
 
Badilisheni kiwanja kwani Bulysga hapafai pamejaa maji ya mvua na ni padogo sana.
 
Sawa Ccm Amani Wanaikosa Hapo
Alisha lamba ukwaju siku nyingi huyu hana lolote zaidi ya kutoa mapovu tu. Sera nyeti kwake ni ushoga na haki ndoa za jinsia moja ndicho wafadhili wake wanaitaka. Media za Tanzania akifika tu airport ulizeni swali juu ya msimamo wake kuhusu midume kuolewa halafu muone atakavyong'ata Lips
 
Yes , alipata zaidi ya kura mil 7.5 , jiwe alipata kura chini ya mil 4 , chache waligawana Rungwe na wenzake .

Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 12 tu , Chukua hiyo !!
[emoji1787][emoji1787] wahi ukapime akili mwenyewe, ukichelewa utapelekwa na kamba.
 
Sioni cha ajabu hapo. Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…