Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

Ninachoogopaga kwa huyu mwamba ni kupigwa risasi zaidi ya 15 na kuendelea kuishi, ni kama visa vya watu wa kale kwenye Bible na Quran ambao walipona kwa miujiza

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 
Yes, alipata zaidi ya kura mil 7.5, jiwe alipata kura chini ya mil 4, chache waligawana Rungwe na wenzake.

Waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil 12 tu, Chukua hiyo!
Nakubaliana na wewe,ndugu zetu watumishi waliosimamia wadai waliagizwa na kupora mabox yote ya Kura halali wakaweka feki yanapofikishwa ofisi ya mkurugenzi wilaya ucku wa manane.
 
Unataka kusema lisu alipanga njama na wenzie kujipiga risasi ili wasingizie wengne???
 
Nakubaliana na wewe,ndugu zetu watumishi waliosimamia wadai waliagizwa na kupora mabox yote ya Kura halali wakaweka feki yanapofikishwa ofisi ya mkurugenzi wilaya ucku wa manane.
Yes
 
THE GREATEST
 
Kwa akili zako za kipopoma serikali imeshindwa kumpata dereva?,?,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Dereva yupo wapi , mbona amefichwa miaka nenda rudu au na yeye amemalizwa chini kwa chini!?? Kwa jinsi mlivyo na agenda za chini kwa chini za RED BRIGADE
 
Dereva hakuwa mlengwa.
 
Leo ni siku ya huzuni mno msaliti wa taifa Lisu mzee wa MIGA anarudi.

Mwambieni asipande ndege zetu maana alishangilia zilipokamatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…