Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

FB_IMG_1687731643300.jpg
😄😄
 
Kumhusisha Mbarawa bila huyo mama sio sahihi, mimi naamini kabisa, huyo mama ndie aliyemuingiza Mbarawa mkenge, ameenda Dubai kuhongwa, picha yake ikawekwa kwenye lile jengo refu duniani, ni yeye pekee ndie anayejua siri ya ile offer, ndio maana hajamgusa Mbarawa mpaka leo.
Kwakweli wasimsingizie Mbarawa pekee.
 
Kumhusisha Mbarawa bila huyo mama sio sahihi, mimi naamini kabisa, huyo mama ndie aliyemuingiza Mbarawa mkenge, ameenda Dubai kuhongwa, picha yake ikawekwa kwenye lile jengo refu duniani, ni yeye pekee ndie anayejua siri ya ile offer, ndio maana hajamgusa Mbarawa mpaka leo.

Hili haya maneno ni muhimu yawekwe kwenye kumbukumbu kuelekea 2025 ili wananchi wakumbushwe .
 
Kuna picha za Saa100 kila kona ya nchi hadi kule Dubai kwenye lile jengo refu duniani.

Ukitaka kumweza maza mpige picha na ibandike kila kona huwa anafurahi sana sana na baada ya picha mpe MOU faster atazisani hata kama ni 36.
 
Kumhusisha Mbarawa bila huyo mama sio sahihi, mimi naamini kabisa, huyo mama ndie aliyemuingiza Mbarawa mkenge, ameenda Dubai kuhongwa, picha yake ikawekwa kwenye lile jengo refu duniani, ni yeye pekee ndie anayejua siri ya ile offer, ndio maana hajamgusa Mbarawa mpaka leo.
Ni lipu-mbavu
 
Ndani ya miaka mitatu kakopa zaidi ya 17 tilion ukilinganisha na miaka 5 nyuma 16 tilion sio dalili nzuri hata kidogo
Uko sawa mkuu.17 trilion zimefanya kazi gani na zinasimamiwa na nani ukizingatia hata bandari wameshindwa kuisimamia?
2. Huu mwendo mkubwa wa kukopa na kuuza rasilimali za nchi tunaelekea wapi?
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo hatya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
Sawa.

Vipi kipengere au ibara ambayo DP WORLD anakabidhiwa bandari zote za Tanganyika (za bahari kuu na maziwa na mito)?

Hii iondolewe au Kwa majaribio na tukiona masharti ya mkataba yako balanced pande zote (DP World na Serikali/wananchi wa Tanzania), basi huyu kwanza aanze kupewa bandari moja aidha ya DSM, Tanga au Zanzibar...

Tukiona ana tija na anajibu matarajio ya wananchi wa Tanzania, tunaweza sasa ku - negotiate naye juu ya bandari zingine tutakazoona inafaa asisimamie na kuziendesha Kwa manufaa ya wote..

Lakini kumpa bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa kwa wakati mmoja, basi kwa namna yoyote huku ndiko ambako kila Mtanzania anaona "nchi ya Tanganyika imeuzwa" na Rais Samia Suluhu Hassan raia wa Zanzibar...!!!

Ukichanganya na masharti ya ibara zingine za mkataba huu, ndo inaleta ukakasi unaochefua kabisa..

Kwa ujumla, mkataba hauwezi ukabaki iwapo ibara zote hizo zitaondolewa maana itaathiri title na ibara zingine zote...

Tunahitaji foreign investments & investors. Lakini makabuliano tunayoingia kama nchi na wawekezaji hawa wa mataifa mengine lazima maslahi ya taifa letu yawe priority namba moja bila kujali huyo investor anakuja na mapesa na ahadi za aina gani..

Kwa hiyo, Kwa mkataba huu, kwa maoni yangu, hizi states zote mbili [Dubai Emirate & Tanzania] hakuna fedheha wala ubaya wowote kurudi kwenye "drawing board" na kuuandaa makabuliano mengine mapya kabisa yasiyo na dharau na upuuzi kama huu dhidi ya wananchi wa Tanzania...
 
Kwa hiyo, Kwa mkataba huu, kwa maoni yangu, hizi states zote mbili (Dubai Emirate & Tanzania zirudi kwenye "drawing board" na kuuandaa makabuliano mengine mapya kabisa yasiyo na dharau na upuuzi kama huu dhidi ya wananchi wa Tanzania...
UDSM inajuta kutoa ile Phd
 
Uko sawa mkuu.17 trilion zimefanya kazi gani na zinasimamiwa na nani ukizingatia hata bandari wameshindwa kuisimamia?
2. Huu mwendo mkubwa wa kukopa na kuuza rasilimali za nchi tunaelekea wapi?
Hii ni hatari kubwa sana
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo hatya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
Naomba mwenye "version" ya Kiingereza ya Ibara 4(2) atutumie (ikiwezekana na hizo ibara zingine). Nimemsikiliza Prof. Anna Tibaijuka na alinukuu kipengele cha 4 kama ifuatavyo "Tanzania will inform Dubai of any other opportunity...". Kama hicho kipengele cha 4 alichosema Prof. Tibaijuka ndiyo Ibara 4(2) je neno "kulazimika" linatoka wapi?
 
Mkataba wa hovyo sana, kama vile alieweka saini yake hapo alikuwa amelewa.

Ajabu msaliti anasema ameziba masikio anaendelea kuchapa kazi, yupo kama mwanasesere, hajielewi kabisa.
Kwa kauli yake hii hata Mashekhe na Maaskofu na wazee kawadharau means kawaonyesha dole la kati. Huyu bibi na Wazanzibar wenzake wadhibitiwe huu muungano wa kijinga sana.
 
Sawa.

Vipi kipengere au ibara ambayo DP WORLD anakabidhiwa bandari zote za Tanganyika (za bahari kuu na maziwa na mito)?

Hii iondolewe au Kwa majaribio na tukiona masharti ya mkataba yako balanced pande zote (DP World na Serikali/wananchi wa Tanzania), basi huyu kwanza aanze kupewa bandari moja aidha ya DSM, Tanga au Zanzibar...

Tukiona ana tija na anajibu matarajio ya wananchi wa Tanzania, tunaweza sasa ku - negotiate naye juu ya bandari zingine tutakazoona inafaa asisimamie na kuziendesha Kwa manufaa ya wote..

Lakini kumpa bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa kwa wakati mmoja, basi kwa namna yoyote huku ndiko ambako kila Mtanzania anaona "nchi ya Tanganyika imeuzwa" na Rais Samia Suluhu Hassan raia wa Zanzibar...!!!

Ukichanganya na masharti ya ibara zingine za mkataba huu, ndo inaleta ukakasi unaochefua kabisa..

Kwa ujumla, mkataba hauwezi ukabaki iwapo ibara zote hizo zitaondolewa maana itaathiri title na ibara zingine zote...

Tunahitaji foreign investments & investors. Lakini makabuliano tunayoingia kama nchi na wawekezaji hawa wa mataifa mengine lazima maslahi ya taifa letu yawe priority namba moja bila kujali huyo investor anakuja na mapesa na ahadi za aina gani..

Kwa hiyo, Kwa mkataba huu, kwa maoni yangu, hizi states zote mbili [Dubai Emirate & Tanzania] hakuna fedheha wala ubaya wowote kurudi kwenye "drawing board" na kuuandaa makabuliano mengine mapya kabisa yasiyo na dharau na upuuzi kama huu dhidi ya wananchi wa Tanzania...
Tegemea kwa ujinga wa mkataba huu DP World akataka kupanua utendaji wake wa kazi akaitaka Buguruni yote!! Tundu kasema Samia katukosea pakubwa sana Watanganyika.
 
Back
Top Bottom