Spana ziendelee tafadhali, ni Hadi pale walio nyuma ya uozo huu watubu na kutupa jalalani contract fake.Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.
Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
View attachment 2669104