Ila ukienda kulipoti kwa mkurugenzi utadakwa maana unaenda na vyeti originalMwaka jana kuna taarifa zilisambaa kua kuna walimu wa kiswahili wamepangwa kufundisha hesabu,vivyo hivyo hata mwaka huu tutarajie hali hiyo kujirudia. Sababu zinazochangia makosa kama haya ni pamoja na:..
Kwahyo wataangalia somo moja au??Mwaka huu nmeona ukiandika somo mfano english linakupeleka moja kwa moja kwenye shule zenye uhitaji wa somo hilo.
Itakuwa Jambo jema sana ukipata ukumbuke na waliokosaKwa mkurugenzi hamna shida kabisa maana kule wanamalizana kikubwa
Mosomo yote ulojaza, pia kuna vyeti vingi vimejipambanua masomo mawili ulosomaKwahyo wataangalia somo moja au??
sawa mkuu lakini majina kutoka ndo haieleweki duuuuuhMosomo yote ulojaza, pia kuna vyeti vingi vimejipambanua masomo mawili ulosoma
Nafikiri bado hujaelewa kinachozungumziwa. Hapa tunazungumzia mfumo kuajiri mtu ambaye hajakidhi vigezo vinavyotakiwa. Tuchukulie mfano mtu aliyesomea petroleum chemistry chuoni kwenye upande wa teaching subjects akijaza fizikia/kemia, mfumo una mdahili kama mwalimu wa masomo hayo wakati si kweliMwaka huu nmeona ukiandika somo mfano english linakupeleka moja kwa moja kwenye shule zenye uhitaji wa somo hilo.
Ndomana kuna shortlist wasiokuwa na sifa zilizotajwa wanawekwa kando, wanaachwa wenye sifa wacompete kulingana na uhitaji wanaoujua wao wenyeweNafikiri bado hujaelewa kinachozungumziwa. Hapa tunazungumzia mfumo kuajiri mtu ambaye hajakidhi vigezo vinavyotakiwa. Tuchukulie mfano mtu aliyesomea petroleum chemistry chuoni kwenye upande wa teaching subjects akijaza fizikia/kemia, mfumo una mdahili kama mwalimu wa masomo hayo wakati si kweli