Mapungufu niliyogundua kwenye mfumo wa maombi ya ajira za ualimu

Cha muhimu tupate ajira tu hayo mengine watajua wenyewe
Ajira bila kukidhi vigezo mkuu?
Kwako ni sawa hata aliyesomea kilimo aajiriwe kama mwalimu wakati wahusika wapo?
 
Kwenye kipengele cha teaching subjects walijaza hesabu na fizikia kwahivo na choice za shule waliletewa shule za kawaida
Teaching subject zilikuwepo za kiufundi Kama Building,Plumbing, Pipe fittings, Electrical wiring, Masonry, Surveying etc...hata shule zilikuwa zinakuja za ufundi tu.
 
Well said mkuu, mm nimechanganya electrical installation na physics kwenye electrical installation zilikuja shule za Technical alafu physics zikaja pia za sekondari za kawaida ,
 
Teaching subject zilikuwepo za kiufundi Kama Building,Plumbing, Pipe fittings, Electrical wiring, Masonry, Surveying etc...hata shule zilikuwa zinakuja za ufundi tu.
Basi kuna mchizi kajichanganya yeye kwenye teaching subjects alijaza physics na mathematics akaletewa shule za kawaida
 
Kweli kabisa na ndio Maana Tamisemi KWA Kujali hilo wameajiri hadi ma Eng wanajua michango wao.Ki ukweli hata ukienda shule nyingi za Private Kuna Vijana Wengi ma Eng,Madaktari,Wakemia na wengineo ndio wanafaulisha hukoo shule Binafsi.Yote kwa Yote serikalini ukiingia wengi husoma Post graduate diploma ya Education huku wakiendelea kupiga Kazi .Asante Sana Serikali ya Awamu ya Tano chini ya JPM Kura yangu Na familia yangu Tunawapa.Wacha Kazi uendelee.Naombeni Kura zote tukachague CCM.
Wewe jamaa ni kilaza

Watu waliotakiwa kujenga madaraja, nyumba na barabara wanageuzwa kuwa walimu unasifia tu ujinga

Hivi nyie mmelogwa?????

Aiseee
 
Hapa hata mimi ndio nilibaki na mshangao.
Mtu atapewa vipi ajira bila kukaguliwa vyeti ni kitu hakiwezekani
Kama haiwezekani inakuwaje for example mwalimu wa kiswahili+geography kuajiriwa kama mwalimu wa kemia + biology. Huoni kama kuna uzembe hapo kwenye ukaguzi na uhakiki wa vyeti?
 
Kufanyiwa shortlist na kuajiriwa ni vitu viwili tofauti.
 
Vipi walioajiriwa mwaka jana nje ya vigezo vilivyokuwa vimewekwa. Hao unawazungumziaje?
Manake kuna watu waliajiriwa kama walimu wa fizikia kumbe ni wa history na mmoja mdau kasema huko juu kuwa aliajiriwa kama mwl wa hesabu wakati chuoni kasomea mambo ya usimamizi wa biashara.
 
Duh kwahyo watu wanapangiwa tyy bila kujali alichosomea ?? Iweje history anapangiwa physics? Inabd wawe makin katika hili
 
Sababu ni kama nilivyoziainisha
1. Mfumo kushindwa kudetect masomo na content zilizopo kwenye vyeti vya waombaji. 2. Umakini mdogo wa watendaji wakiwa wanafanya shortlisting. 3. Michongo. Mwenye connection ili kusitiri masomo yake anaandikiwa masomo ya sayansi badala ya sanaa
 
Sababu ni kama nilivyoziainisha
1. Mfumo kushindwa kudetect masomo na content zilizopo kwenye vyeti vya waombaji. 2. Umakini mdogo wa watendaji wakiwa wanafanya shortlisting. 3. Michongo. Mwenye connectiom ili kusitiri masomo yake anaandikiwa masomo ya sayansi badala ya sanaa
Ok.nimekuelewa kiongoz wangu hasa namba 3 imekaa vema
 
Wewe jamaa ni kilaza

Watu waliotakiwa kujenga madaraja, nyumba na barabara wanageuzwa kuwa walimu unasifia tu ujinga

Hivi nyie mmelogwa?????

Aiseee
Wameona wawapoze machungu kwa kuwapa ajira ya ualimu baada ya kuwanyima kandarasi za kujenga mabarabara na madaraja kwa kuwapa tender wachina na wazungu
 
Back
Top Bottom