pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Kigoma vijiji...na singida vijijiniHalimashauri Kama ipi mkuu ???
Kigoma vijiji...na singida vijijiniHalimashauri Kama ipi mkuu ???
Ngoja tusubiri yakitoka, yote heriUle mfumo unawarahisishia kupanga vituo lakini siyo kwamba ni lazima kuchaguliwa shule ulizojaza
We jamaa hizi ajira unazizungukia sana, Mungu akujalie upate.Ngoja tusubiri yakitoka, yote heri
Amen nikipata nitaleta mrejeshoWe jamaa hizi ajira unazizungukia sana, Mungu akujalie upate.
Kwahyo inawezekana mtu akaajiliwa akafundishe hesabu japo amechagua physics hasa kwa wale wenye engineering??Mleta mada sio kweli kwamba kwa hayo uliyoyataja ndio mtu anaweza kuajiliwa hata kwa masomo asiyofundisha kwani kuna usaili kwa mkurugenzi na taarifa kupelekwa TAMISEMI. ukiona mtu kapata ajira na somo walilohitaji halipo ujue kuna God father kamfanyia wepesi huko juu.
Anhaa kwahyo hyo ndio mikoa ambayo watu hawapend kwendaHasa halmashauri za mikoa ya ruvuma, rukwa, mara, simiyu na singida
Nadhani lengo kubwa n kufundisha hesabu na physEngineers waliomba hizi kazi watuambie choice zilizokuja kwao ni shule za ufundi au sekondari kawaida ?
Kulikuwa na masomo pia ya ufundi kwa ajil ya Technical schoolNadhani lengo kubwa n kufundisha hesabu na phys
Tatizo chama kinaharibiwa na wapumbavu wachache wasoweza kureasonWewe jamaa ni kilaza
Watu waliotakiwa kujenga madaraja, nyumba na barabara wanageuzwa kuwa walimu unasifia tu ujinga
Hivi nyie mmelogwa?????
Aiseee
Inawezekana sana kwa sababu mikoa kama ya rukwa inakuwa na nawasi afu watu hawaichagui,na wengine wameomba sehmu ila hawana vigezo ko lazima interchange zitatokeaSidhani kwa ule mfumo nilivyouona
Ko unamanisha Godfather wameishaMleta mada sio kweli kwamba kwa hayo uliyoyataja ndio mtu anaweza kuajiliwa hata kwa masomo asiyofundisha kwani kuna usaili kwa mkurugenzi na taarifa kupelekwa TAMISEMI. ukiona mtu kapata ajira na somo walilohitaji halipo ujue kuna God father kamfanyia wepesi huko juu.
[emoji23][emoji23]Ila watu wanajitoa kisw to fizikia or Hisabat
Je unadhani wakurugenzi wote wanaweza fanya hvo and if n mbanga wako utarudisha hzo taarifa??Mleta mada sio kweli kwamba kwa hayo uliyoyataja ndio mtu anaweza kuajiliwa hata kwa masomo asiyofundisha kwani kuna usaili kwa mkurugenzi na taarifa kupelekwa TAMISEMI. ukiona mtu kapata ajira na somo walilohitaji halipo ujue kuna God father kamfanyia wepesi huko juu.
Mchombeza mada waswahili wana usemi usemao 'hakuna mkate mgumu mbele ya chai'.kwa mkurugenzi hakuna usaili wowote kule ni uhakiki wa vyeti na ukamilishaji wa taratibu za mikataba ya ajira hakuna kingine zaidi ya hivyo. Ikitokea mtu tuchukulie wa kiswahili ameajiriwa kama mwalimu wa fizikia akifika kwa mkurugenzi ana lainisha mkate kwa chai na mambo mengine yanaendelea kama kawaidaMleta mada sio kweli kwamba kwa hayo uliyoyataja ndio mtu anaweza kuajiliwa hata kwa masomo asiyofundisha kwani kuna usaili kwa mkurugenzi na taarifa kupelekwa TAMISEMI. ukiona mtu kapata ajira na somo walilohitaji halipo ujue kuna God father kamfanyia wepesi huko juu.
Mkuu upo deep, ninafurahi kuona Tanzania inakuwa na watu wenye akili kama wewe.Wameona wawapoze machungu kwa kuwapa ajira ya ualimu baada ya kuwanyima kandarasi za kujenga mabarabara na madaraja kwa kuwapa tender wachina na wazungu