Hivi geography lipo kundi la sanaa au science ?Walimu wa sanaa watakaopata hizi kazi ni wachache sana!
Hivi geography lipo kundi la sanaa au science ?Walimu wa sanaa watakaopata hizi kazi ni wachache sana!
una uhakika na unachoongea?Kwa jinsi ule mfumo ulivyo na mapungufu mtu wa accounting akijaza hesabu kama teaching subject anachaguliwa
Kivipi mkuu??Huu mfumo upo sahihi kabisa katika kujua lengo la serikali ni nini,na wana malengo yapi
Ndio hawezi kufundisha kwa sababu hajasomea taaluma ya ualimu
Ndio, mwaka Jana kuna Dada alichaguliwa kwenda kuleee kanda maalum , kama mwalimu wa Fizikia na Kemia wakati anavyeti vya Buznez Administration, halafu bila Aibu akaenda kuripoti kwa Mkurugenzi, mkurugenzi alivofanya ni kumsweka ndani.Kumbe hata watu waliosoma accounting wanaweza kuchaguliwa?
Ni social studies,kama ilivyo literatule na historyHivi geography lipo kundi la sanaa au science ?
Honestly, kipind nasoma advance nimefundishwa sana physics na pure math na engineers, na nilikuwa naelewa sana, pia walikuwa wanakuja sana kufundisha part time; walikuwa wapo deep.Mbona engineers wanaenda kufundisha na hawajasomea ualimu.
Hamna mfumo paleNdio, mwaka Jana kuna Dada alichaguliwa kwenda kuleee kanda maalum , kama mwalimu wa Fizikia na Kemia wakati anavyeti vya Buznez Administration, halafu bila Aibu akaenda kuripoti kwa Mkurugenzi, mkurugenzi alivofanya ni kumsweka ndani.
Haya makitu makosa huanzia kene Short List(ya uchaguzi wa majina ya walimu wenye sifa za ualimu), maana mfumo unaruhu yoyote hata kama ni 'waiter' kuomba.
Mfano mwaka huu, walioomba ni zaidi ya 100,000+ lakini katika short list hawatafika hata 80,000.
Hivo nifuraha yangu kuuona huu Uzi, ili wakiwa wanapita watajifunza kitu.
Mifumo yao yapasa wairekebishe, huwezi amini, kuna watu wameomba zaidi ya Mara moja
-kafungua a/ckwa namba ya F4, akaomba
-akafungua a/c kwa namba ya F6, akaomba.
Kisha akawapiga chega kwenye NIN, ila particulars zile zile za mtu mmoja.
Ha ha ha ha ha ha hA.
Sasa dada alikosa kazi na police alilala?????.....je kwenye kuomba maombi ya kazi alichagaua masomo ya sayansi????Ndio, mwaka Jana kuna Dada alichaguliwa kwenda kuleee kanda maalum , kama mwalimu wa Fizikia na Kemia wakati anavyeti vya Buznez Administration, halafu bila Aibu akaenda kuripoti kwa Mkurugenzi, mkurugenzi alivofanya ni kumsweka ndani.
Haya makitu makosa huanzia kene Short List(ya uchaguzi wa majina ya walimu wenye sifa za ualimu), maana mfumo unaruhu yoyote hata kama ni 'waiter' kuomba.
Mfano mwaka huu, walioomba ni zaidi ya 100,000+ lakini katika short list hawatafika hata 80,000.
Hivo nifuraha yangu kuuona huu Uzi, ili wakiwa wanapita watajifunza kitu.
Mifumo yao yapasa wairekebishe, huwezi amini, kuna watu wameomba zaidi ya Mara moja
-kafungua a/ckwa namba ya F4, akaomba
-akafungua a/c kwa namba ya F6, akaomba.
Kisha akawapiga chega kwenye NIN, ila particulars zile zile za mtu mmoja.
Ha ha ha ha ha ha hA.
Lengo litakuwa ni kuwapangia shule za ufundi na kabla ya hilo kufanyika lazima watapewa kwanza mafunzo ya ualimu ya muda mfupi, hawawezi kwenda kufundisha hivi hivi pasipo kujua taaluma ya ualimu na misingi yakeMbona engineers wanaenda kufundisha na hawajasomea ualimu.
Engineers waliomba hizi kazi watuambie choice zilizokuja kwao ni shule za ufundi au sekondari kawaida ?Lengo litakuwa ni kuwapangia shule za ufundi na kabla ya hilo kufanyika lazima watapewa kwanza mafunzo ya ualimu ya muda mfupi, hawawezi kwenda kufundisha hivi hivi pasipo kujua taaluma ya ualimu na misingi yake
Kweli kabisa na ndio Maana Tamisemi KWA Kujali hilo wameajiri hadi ma Eng wanajua michango wao.Ki ukweli hata ukienda shule nyingi za Private Kuna Vijana Wengi ma Eng,Madaktari,Wakemia na wengineo ndio wanafaulisha hukoo shule Binafsi.Yote kwa Yote serikalini ukiingia wengi husoma Post graduate diploma ya Education huku wakiendelea kupiga Kazi .Asante Sana Serikali ya Awamu ya Tano chini ya JPM Kura yangu Na familia yangu Tunawapa.Wacha Kazi uendelee.Naombeni Kura zote tukachague CCM.Honestly, kipind nasoma advance nimefundishwa sana physics na pure math na engineers, na nilikuwa naelewa sana, pia walikuwa wanakuja sana kufundisha part time; walikuwa wapo deep.
Najua walimu wataniponda sana ila ni kwamba kwa elimu ya 2015 kurud nyuma waliofaulu kidhaifu ndio walienda ualimu (hasa pcm na pcb) na wale waliofaulu vzur walienda kuwa engineers na madaktari au pharmacist, so walimu wengi wa advance wa physics na math ni chenga sana, hawapo deep, ila hao tunaosema hawajasomea ualimu wapo deep.
Ishu ya kusoma ualimu ni ethics za ualimu tu ambazo walimu weng sidhan hata kama wanazitumia wakipata kaz, labda walimu wa chekechea bila ethics wanafunz hawatajua kusoma wala kuandika
Tukawapigie wakati bado hawajatuajili mkuu??Kweli kabisa na ndio Maana Tamisemi KWA Kujali hilo wameajiri hadi ma Eng wanajua michango wao.Ki ukweli hata ukienda shule nyingi za Private Kuna Vijana Wengi ma Eng,Madaktari,Wakemia na wengineo ndio wanafaulisha hukoo shule Binafsi.Yote kwa Yote serikalini ukiingia wengi husoma Post graduate diploma ya Education huku wakiendelea kupiga Kazi .Asante Sana Serikali ya Awamu ya Tano chini ya JPM Kura yangu Na familia yangu Tunawapa.Wacha Kazi uendelee.Naombeni Kura zote tukachague CCM.