Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,645
- 2,657
Huyu kijana nimetokea kumkubali sana.We jamaa hizi ajira unazizungukia sana, Mungu akujalie upate.
Hakika atabarikiwa.
Huyu kijana nimetokea kumkubali sana.We jamaa hizi ajira unazizungukia sana, Mungu akujalie upate.
Wameona wawapoze machungu kwa kuwapa ajira ya ualimu baada ya kuwanyima kandarasi za kujenga mabarabara na madaraja kwa kuwapa tender wachina na wazungu
Nikwel kabsa aiseeh mwenyew nasubir nimeomba wakinipeleka tuu nitaenda kupambana ila mm niko kwenye umemeHakuna Cha kutupoza tunaenda kuripoti tu halimashauri nyingi hazina Engineers Ni kufika na kuchonga na mkurugenzi tu haiwezekani anipeleke kufundisha wakati hana engineer pale. Kama engineer yupo hapo Nitafundisha mwaka tu wakinithibisha naomba kuhamia halimashauri yenye upungufu wa wahandisi lazima kikaeleweke siwezi sota miaka kibao hafu nikale vumbi tenaa.
Hahahah ukishapangiwa hizo ajira mkurugenzi haruhusiwi kukuhamisha wala kukubadilishia cheo pasipo kibali cha katibu mkuu-Tamisemi. Jiandae kushika chaki TuHakuna Cha kutupoza tunaenda kuripoti tu halimashauri nyingi hazina Engineers Ni kufika na kuchonga na mkurugenzi tu haiwezekani anipeleke kufundisha wakati hana engineer pale. Kama engineer yupo hapo Nitafundisha mwaka tu wakinithibisha naomba kuhamia halimashauri yenye upungufu wa wahandisi lazima kikaeleweke siwezi sota miaka kibao hafu nikale vumbi tenaa.
Unaenda kupambana kushika chaki au ubadilishiwe cheo?Nikwel kabsa aiseeh mwenyew nasubir nimeomba wakinipeleka tuu nitaenda kupambana ila mm niko kwenye umeme
Kuna baadhi waliomba masomo yanayopatikana shule za ufundi tu. Wengine tulichanganya ( ufundi na kawaida )Engineers waliomba hizi kazi watuambie choice zilizokuja kwao ni shule za ufundi au sekondari kawaida ?
Duh aiseeh kwahyo chaki mwanzo mwisho dah hatar sana aiseehUnaenda kupambana kushika chaki au ubadilishiwe cheo?
Kama ni cheo sahau. Huwezi kubadilishiwa hadi mkurugenzi apate idhini(kibali)kutoka kwa katibu mkuu(tamisemi)
Lengo kubadilisha cheo aiseeh chak mwanzo mwisho sio njema sanaDuh aiseeh kwahyo chaki mwanzo mwisho dah hatar sana aiseeh
ila kwa upande wa engineering nafasi zinaweza kuwa chache sana tena sio ajabu watakaopata ni wale wenye Connection zao. Mungu azidi kuwafanyia wepesi comradesKuna baadhi waliomba masomo yanayopatikana shule za ufundi tu. Wengine tulichanganya ( ufundi na kawaida )
Mbona watukatisha tamaa wahandisiila kwa upande wa engineering nafasi zinaweza kuwa chache sana tena sio ajabu watakaopata ni wale wenye Connection zao. Mungu azidi kuwafanyia wepesi comrades
Ivi nini maana ya neno 'comrades' ?!ila kwa upande wa engineering nafasi zinaweza kuwa chache sana tena sio ajabu watakaopata ni wale wenye Connection zao. Mungu azidi kuwafanyia wepesi comrades
Umakini upo sana tu ila ukiona MTU kapangiwa masomo yasiyo yake Mara nyingi huwa ni connectionMwaka jana kuna taarifa zilisambaa kua kuna walimu wa kiswahili wamepangwa kufundisha hesabu,vivyo hivyo hata mwaka huu tutarajie hali hiyo kujirudia. Sababu zinazochangia makosa kama haya ni pamoja na:
MAONI YANGU
- Mfumo ulioandaliwa na TAMISEMI kutokuwa na uwezo wa kutambua masomo (Teaching subjects) ya mwalimu husika; vyeti vyote havina sehemu yoyote iliyoandikwa huyu ni mwalimu wa Fizikia au Kiswahili zaidi ya 'degree program' na kozi alizosoma kwa mihula yote. Hapa TAMISEMI ndo wanapodanganywa, kuna msemo unasema ili upate ajira andika Fizikia na Hesabu, hapa ndo unakuta hata watu waliosoma kiswahili wanajaza kufundisha Fizikia, na masomo mengine ya sayansi. Hapo serikali inakuwa imeamini imeajiri mwalimu wa sayansi kumbe kiuhalisia ni mwalimu wa sanaa. Wengine wanachagua masomo zaidi ya kumi wanaita 'betting'.
- Umakini mdogo wa watendaji wa TAMISEMI; kuna uwezekano mkubwa wa watendaji wa tamisemi kupangia watu ajira pasipo kuangalia vyeti vyao ndio maana hata mtu mwenye cheti kilichoandikwa Bachelor of art with/in education ni rahisi kuajiriwa kama mwalimu wa kwenda kufundiasha Fizikia au Kemia au Biolojia.
Kama serikali ina dhamira ya kweli ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo ya Sayansi mashuleni, basi ifanyie kazi mapungufu niliyotaja vinginevyo tatizo la uhaba walimu wa sayansi halitaaisha.
N:B kama kuna mapungufu mengine uliyoyaona share hapa yafanyiwe kazi.