Mapungufu niliyogundua kwenye mfumo wa maombi ya ajira za ualimu

Wameona wawapoze machungu kwa kuwapa ajira ya ualimu baada ya kuwanyima kandarasi za kujenga mabarabara na madaraja kwa kuwapa tender wachina na wazungu
Hakuna Cha kutupoza tunaenda kuripoti tu halimashauri nyingi hazina Engineers Ni kufika na kuchonga na mkurugenzi tu haiwezekani anipeleke kufundisha wakati hana engineer pale. Kama engineer yupo hapo Nitafundisha mwaka tu wakinithibisha naomba kuhamia halimashauri yenye upungufu wa wahandisi lazima kikaeleweke siwezi sota miaka kibao hafu nikale vumbi tenaa.​
 
Nikwel kabsa aiseeh mwenyew nasubir nimeomba wakinipeleka tuu nitaenda kupambana ila mm niko kwenye umeme
 
Hahahah ukishapangiwa hizo ajira mkurugenzi haruhusiwi kukuhamisha wala kukubadilishia cheo pasipo kibali cha katibu mkuu-Tamisemi. Jiandae kushika chaki Tu
 
Nikwel kabsa aiseeh mwenyew nasubir nimeomba wakinipeleka tuu nitaenda kupambana ila mm niko kwenye umeme
Unaenda kupambana kushika chaki au ubadilishiwe cheo?
Kama ni cheo sahau. Huwezi kubadilishiwa hadi mkurugenzi apate idhini(kibali)kutoka kwa katibu mkuu(tamisemi)
 
Engineers waliomba hizi kazi watuambie choice zilizokuja kwao ni shule za ufundi au sekondari kawaida ?
Kuna baadhi waliomba masomo yanayopatikana shule za ufundi tu. Wengine tulichanganya ( ufundi na kawaida )
 
Unaenda kupambana kushika chaki au ubadilishiwe cheo?
Kama ni cheo sahau. Huwezi kubadilishiwa hadi mkurugenzi apate idhini(kibali)kutoka kwa katibu mkuu(tamisemi)
Duh aiseeh kwahyo chaki mwanzo mwisho dah hatar sana aiseeh
 
Kuna baadhi waliomba masomo yanayopatikana shule za ufundi tu. Wengine tulichanganya ( ufundi na kawaida )
ila kwa upande wa engineering nafasi zinaweza kuwa chache sana tena sio ajabu watakaopata ni wale wenye Connection zao. Mungu azidi kuwafanyia wepesi comrades
 
ila kwa upande wa engineering nafasi zinaweza kuwa chache sana tena sio ajabu watakaopata ni wale wenye Connection zao. Mungu azidi kuwafanyia wepesi comrades
Ivi nini maana ya neno 'comrades' ?!
 
Umakini upo sana tu ila ukiona MTU kapangiwa masomo yasiyo yake Mara nyingi huwa ni connection
 
Umakini upo sana tu ila ukiona MTU kapangiwa masomo yasiyo yake Mara nyingi huwa ni connection
Anhaa kumbe ni connection ili ikitokea dili limebumbuluka wasingizie ni errors kwenye mfumo. Akhsante kwa kuliweka clear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…