Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kwamba alijua atatangulia mumewe ila mipango ya Mungu mengi katangulia yeye.Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua jama si waleo au wa kesho maisha haya.
Huyu dada alieleta hi stori haijafahamika ni kweli au lah
Kwani walioko magerezani wote wanandugu,je wasio na ndugu huhudumiwa na nani?Kansa ya utumbo halafu anaua mke? Huko mahabusu nani atamsaidia?
Kwani akiwa na Kansa na hati ikabaki na majina ya mme, mke na watoto panakua na shida?Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua jama si waleo au wa kesho maisha haya.
Huyu dada alieleta hi stori haijafahamika ni kweli au lah
Oa uone shughuliKansa ya utumbo halafu anaua mke? Huko mahabusu nani atamsaidia?
Mtu ana ua alafu anaenda mwenyewe polisi hapo lazima ujiulize, Ina mana jamaa mwenyewe alikua kesha kata tamaa ya maishaKwamba alijua atatangulia mumewe ila mipango ya Mungu mengi katangulia yeye.
Labda alitaka kubadilisha kwa lengo la kujikinga na ndugu wa mume akiamini mume atafariki kwa saratani.
Ni kweli kaka lakin Amina nakwambia Kuna mengi tutayajua Kuna picha nimeona wamepiga familia wakiwa na watoto wao, wadau mtandaoni wakadai katika wale watoto wengine hawafanani na mwana pale kapigwa hii inshu tutasikia mengi usaliti nk ukiona mwanamke ana taka taka sa zingine jua mbadala wako kesha patkanaHizi story ukisikia kwa pupa unaweza amini kweli. Kumbe wakati mwingine watu wanajitungia kupata engagement kwenye social account zao
Sasa ndo mke akazingua mkuuKwani akiwa na Kansa na hati ikabaki na majina ya mme, mke na watoto panakua na shida?
We jamaa wewe yule wa mwanza alie muua mkewe ulisikia sababu?Kwamba saratani ya utumbo ilimfanya awe kichaa hadi akampiga mke wake risasi?
Hawa wengi hawajakua ndio mana wanadhhani kuua ni ngumu Kuna muda mtu anakuviruga unaona kabisa huyu hafai kuishi sipaswi ukimuona acha tukose woteJamaa kafanya jambo la maana sana kuliondoa pepo duniani