Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Kampuni ni Multi Choice
Jina la Kingambuzi ni DStv
Jina la Channel Mnet

Ndio hivyo au?
 
Afadhali nimeweka internet home nacheki streaming movie and free tv za nje huku nikifanya yangu aka kazi zangu kwa 50k tu from ttcl huo upuuzi niliukimbia muda sn wakiangalia wasiojua bora uangalie watoto wakicheza kimborera utakumbuka enzi zako sio huu upuuzi
 
Bora umenisaidia, mimi nitamjibu kesho kwa details zaidi.
Leo nimeshachoka kuumiza akili siwezi.
 
Bado najiuliza Joti na Mwanatumu yake ina karibu na pengine kuzidi miaka 10 kuna namna gani?

Maana hadi waigizaji wakuu mule bwana Jengua na Mama Abdul (wapumzike kwa amani) walishatutoka hadi tumesahau lakini Mwanatumu bado ipo tu!
Naichukiaaa jamani pamoja na hiyo kitimtim yaani sionagi maudhui yake najiwekeaga zangu Trace music tu hadi iishe
 
Kampuni ni Multi Choice
Jina la Kingambuzi ni DStv
Jina la Channel Mnet

Ndio hivyo au?
Ndio ilivyo Tanzania, kwa upande wa South Africa nilikuwa mteja wa Mnet na Dstv walikuwa kivyao.

Ni kama tuliotumia simu kitambo Sony na Erickson zilikuwa kampuni tofauti, mmoja alipomnunuwa mwenzake wakatowa simu Sony Erickson.
 
Naichukiaaa jamani pamoja na hiyo kitimtim yaani sionagi maudhui yake najiwekeaga zangu Trace music tu hadi iishe
Mimi zaidi ya mpira sina kipindi ninachokipenda, maana drama zangu za Kikorea hazipo humo.

Kuna kipindi waliziwekaga wakazitoa…

Au nitaangalia Kix wa akina Jackie Chan za miaka ya 70 huko 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…