Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu;
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Kila mtu anasema kazi ya Mungu na kuanza kumlaumu Mungu lakini hakuna anayeuliza ghorofa lilijengwaje, kama lilijengwa kwa kiwango, inakuaje nchi inayonunulia waziri kari ya milioni 500,0000,000 haina vifaa vya kuokolekea lakini hakuna vifaa uokozi vya milioni 10, hakuna excavator badala yake watu wanaokolea kwa kufukua na mikono, watu wa serikali wanapesa kuliko wafanyabiashara wakubwa, wametoa wapi pesa hizo kama siyo wizi?