LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
MSHENZI HUYU HATA KWENDA HAKUENDA ANAPATA WAPI UJASILI WA KUZUNGUMZIA HILO KIO
Hakika u kilaza wa kupindukia.
Uandishi wa herufi kubwa ni upigaji kelele kimaandishi.

Hakuna neno "ujasili", baki kuna " ujasiri".
 
Lissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.

Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.

Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
Kwa hio kuchangishana ni kuiba pesa za umma, mkiambiwa kichwani mmejaa matope ya upumbavu wa mama anaupiga mwingi mnapiga kelele.
 
Ikiwa wananchi wanamchangia Lissu gari ya kifahari na anaikubali,

Akiwa Rais atafuta matumizi ya mav8 kwenye misafara yake?

Nijibu Kwa HOJA ukiweka uchama pembeni.

Pia usiniunganishe na chama chenye kuiba kura.
Kwa nini asifute ma V8 ambayo yamepatikana kwa njia ya ufujaji wa fedha za umma?
Lissu amechangiwa kwa hiari.
 
Alikuwa anajipigia mke wa mtu, naona wakaamua kulipiziana
Kama kawaida akili zetu zipo kwenye mambo mepesi na hasa yanayohusu pembetatu ya usawa wa kati, ndo maana muarabu wakati analeta dini yake ya kutunyonya akajua miafrika inafikria uchi tu, we yaambie yakifa yatakuta nyuchi 72 tena bikra yatakufuata na kukuachia kila kitu. Hadi leo tupo computer age miafrika ipo tayari kufa ikakutane na nyuchi 72 za bure akhera!
 
Lissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.

Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.

Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
Wananchi wakitaka kumnunulia hata ndege ni juu yao. Huo ni mfano kwamba wakiungana wanaweza lolote.

Ikija kwenye matumizi ya serikali kutoka kwenye kodi, tozo nk, siyo vitu vinavyofanana hata kidogo na charity.

Akisema hatanunua v8 kwa mawazir hadi mambo muhimu na ya msingi kwa maisha ya wananchi yawepo kwanza, ninaweza kukubaliana naye kwamba atafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom