Sawa hakuomba,CHAWA mlalahoi!
Lissu hajawahi kuomba kuchangiwa gari hata siku moja.
Ilitakiwa aonyeshe hapendi kutumia magari ya kifahari kama wafanyavyo CCM.
Nitake radhi kuniita chawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa hakuomba,CHAWA mlalahoi!
Lissu hajawahi kuomba kuchangiwa gari hata siku moja.
Sawa hakuomba,
Ilitakiwa aonyeshe hapendi kutumia magari ya kifahari kama wafanyavyo CCM.
Nitake radhi kuniita chawa.
Ambako siko tulikwishafika.Siku hizi ukisema ukweli wanaoupokea hata wakiona ni ukweli kwa 100% badala ya kutafakari na kufanyia kazi, wanatafuta udhaifu wa mtoa hoja na kujikita huko.
Hii nchi hii, tuendako siko.
Sasa tunaongelea wananchi kuchukua viongozi kununuliwa magari ya kifahari wewe unaongelea risasi,Kiongozi ushawahi kusikia mlio wa risasi ya SMG? Sembuse iingie ndani ya mwili wako na upone, sidhani kama ungekua wewe hata ungetamka tena "siasa". Hebu mambo mengine tuwe tunatumia common sense kabla ya kutype hapa!
Hoja ni kwamba wachangiaji waliamua kutoa pesa zao kumnunulia gari wanaloamini wao litampa protection ya kutosha, na ya usalama wake, watu kumpatia mpendwa wao wanachoona kinamfaa wasiomchangia au kuhusika wanaumiaje?. Lissu hajawahi kuwa madarakani hadi useme eti akiwa huko hatapinga matumizi mabaya ya mapesa. Kwa hiyo kiongozi wewe umeona ufujaji upo kwenye mashangingi tu? Hii ni peanut kijana. Kama ndivyo basi utakua huijui nchi yako!Sasa tunaongelea wananchi kuchukua viongozi kununuliwa magari ya kifahari wewe unaongelea risasi,
Jibu HOJA.
HOJA hapo ni wananchi maskini kuchangishwa Ili kumnunulia Lissu gari la kifahari, ni hakuna tofauti na Serikali inavyotumia Kodi zetu kununua mashangingi Kwa mawaziri, ded na DCs.
Lissu alipasa anunue gari ya kawaida tu ya Toyota land cruiser Mkonga.
Hiyo tungemwelewa.
Lisu ni case ya Milembe
Usiwe kama msukule, jaribu kufikiri
NA MMEMCHANGIA HELA KAENDA KUHONGA KWA BWANA MZUNGU YAANI NYUMBU CHADEMA WAPO WENGI SANA HAWATAISHA
Haya hizo Taarifa mlizifanyia kazi?Ulitaka tutumie taarifa ya tume ya mwaka 1965 au 200's wakati kuna majengo mapya yanajengwa sasa hivi
CDM na CCM wote wanatukamua!!Lissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.
Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.
Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
Alafu kutuangusha sana wana CDM wa Kariakoo tulikua tunamsubiri kwa hamu kubwa sana tulipuke ya moyoni mwetu!!! Lisu huyu siyo kama Lisu wa zamani wa enzi za Mwendazake!!MSHENZI HUYU HATA KWENDA HAKUENDA ANAPATA WAPI UJASILI WA KUZUNGUMZIA HILO TUKIO
Upinzani sawa na mtoto wa kambo hata afanyiwe wema kiasi gani Bado atalalamika.Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu;
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Kila mtu anasema kazi ya Mungu na kuanza kumlaumu Mungu lakini hakuna anayeuliza ghorofa lilijengwaje, kama lilijengwa kwa kiwango, inakuaje nchi inayonunulia waziri kari ya milioni 500,0000,000 haina vifaa vya kuokolekea lakini hakuna vifaa uokozi vya milioni 10, hakuna excavator badala yake watu wanaokolea kwa kufukua na mikono, watu wa serikali wanapesa kuliko wafanyabiashara wakubwa, wametoa wapi pesa hizo kama siyo wizi?
View attachment 3158377
Kwa gharama gani na ni Tume ngapi zilishaundwa kwa jambo kama hili (sababu hili sio geni)...Rais kashaunda Tume ya uchunguzi, hii sio hoja, ni mapumba
Utaisubiri hiyo riport ya tume hadi uingie kaburini, sisi tuliosoma cuba ndo lishapita hilo janga tunasubiri jengine.Rais kashaunda Tume ya uchunguzi, hii sio hoja, ni mapumba
Kwani kazi yake ni kutembelea sehemu za majanga ? Kwanza angeenda pale ni kuongeza jam..., Yeye kama mwananchi ni kazi yake kuongelea pahali ambapo anaona hapako sawa (kama mlipa kodi) ni haki yake kuhoji..., hayo ya kutembelea tukio ni utashi wake (wote tukisema twende pale huenda pakatokea janga jingine la msongamano... Ila ndio hivyo utamaduni wa sasa ushakuwa wa kuuza SuraMSHENZI HUYU HATA KWENDA HAKUENDA ANAPATA WAPI UJASILI WA KUZUNGUMZIA HILO TUKIO
toka tume ziundwe zimeleta tija gani? hili nalo ni la kuunda tume?Rais kashaunda Tume ya uchunguzi, hii sio hoja, ni mapumba
sahihi kabisa. hapo tusubiri tu janga lingine basi. nchi inaenda kishkaji.Utaisubiri hiyo riport ya tume hadi uingie kaburini, sisi tuliosoma cuba ndo lishapita hilo janga tunasubiri jengine.
Poleni ndugu wa wafiwa.
Angeenda angesaidia nini?MSHENZI HUYU HATA KWENDA HAKUENDA ANAPATA WAPI UJASILI WA KUZUNGUMZIA HILO TUKIO
Tume hairipoti kwangu, kwa nini niisubiri wakati sijawatumaUtaisubiri hiyo riport ya tume hadi uingie kaburini, sisi tuliosoma cuba ndo lishapita hilo janga tunasubiri jengine.
Poleni ndugu wa wafiwa.