LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
HOJA hapo ni wananchi maskini kuchangishwa Ili kumnunulia Lissu gari la kifahari, ni hakuna tofauti na Serikali inavyotumia Kodi zetu kununua mashangingi Kwa mawaziri, ded na DCs.

Lissu alipasa anunue gari ya kawaida tu ya Toyota land cruiser Mkonga.

Hiyo tungemwelewa.

Uzuri hajawaomba na wala hawabanwi na sheria yoyote, anayempa anatoa kwa hiyari yake na anaweza kuacha tu so why wanaomchangia wasipange wanampa gari gani? Kwa nn wasiochanga ndio wanaumwa na roho na kupanga gari gani inamfaa? Ukiona haimfai usichange tu maisha yanaendelea
 
Serikali inakusanya kodi na kuwa vifaa vya uokoaji ni jukumu lake, halina uhusiano na michango binafsi kwa mtu yoyote sio Lissu tu
Serikali inakusanya Kodi Toka Kwa wananchi hao hao ambao Lissu pia awaomba wamnunulie gari la kifahari.

Angetaka Toyota Mkonga, pesa ingeshatosha, lakini V8 ndomana Hadi sasa Bado haijatosha.

Lissu ajue wananchi hatutaki pesa za maskini kununua magari ya kifahari ilhali mashule hayana walimu Bora wanaokosa nauli tu na overtime wasahigishapo mitihani.

Tofauti ya Lissu ( Mpinzani) na Makamba( tawala )inatakiwa ionekane.

Kama hakuna tofauti, haipo sababu kuchagua upinzani wasio na uchungu na pesa za umma kama CCM.

Naona nijibiwe Kwa HOJA🙏
 
Uzuri hajawaomba na wala hawabanwi na sheria yoyote, anayempa anatoa kwa hiyari yake na anaweza kuacha tu so why wanaomchangia wasipange wanampa gari gani? Kwa nn wasiochanga ndio wanaumwa na roho na kupanga gari gani inamfaa? Ukiona haimfai usichange tu maisha yanaendelea
Nataka kujua ikiwa atapewa Urais atafuta mashangingi Kwa haya tunayoona Kwa Yeye kuomba anunuliwe gari la kifahari?

UKWELI ni muhimu usemwe bila kuingiza siasa.
 
Serikali inakusanya Kodi Toka Kwa wananchi hao hao ambao Lissu pia awaomba wamnunulie gari la kifahari.

Angetaka Toyota Mkonga, pesa ingeshatosha, lakini V8 ndomana Hadi sasa Bado haijatosha.

Lissu ajue wananchi hatutaki pesa za maskini kununua magari ya kifahari ilhali mashule hayana walimu Bora wanaokosa nauli tu na overtime wasahigishapo mitihani.

Tofauti ya Lissu ( Mpinzani) na Makamba( tawala )inatakiwa ionekane.

Kama hakuna tofauti, haipo sababu kuchagua upinzani wasio na uchungu na pesa za umma kama CCM

Lissu hajaomba achangiwe wala kununuliwa gari period, wachangiaji wamejiorganize wenyewe wakaamua kuchanga na wakapanga wao wenyewe wanataka wampe gari gani! Nani anachagua zawadi? Wangesema wanampa IST angekataa?

Na kimsingi alitaka wenye kurepair gari yake ya kifo, wachangiaji wakaamua wenyewe kusema asilitumie tena libaki kama makumbusho na wanachanga wamnunulie jipya wao kwa viwango wanavyotaka wao sio yeye!
 
Serikali inakusanya Kodi Toka Kwa wananchi hao hao ambao Lissu pia awaomba wamnunulie gari la kifahari.

Angetaka Toyota Mkonga, pesa ingeshatosha, lakini V8 ndomana Hadi sasa Bado haijatosha.

Lissu ajue wananchi hatutaki pesa za maskini kununua magari ya kifahari ilhali mashule hayana walimu Bora wanaokosa nauli tu na overtime wasahigishapo mitihani.

Tofauti ya Lissu ( Mpinzani) na Makamba( tawala )inatakiwa ionekane.

Kama hakuna tofauti, haipo sababu kuchagua upinzani wasio na uchungu na pesa za umma kama CCM.

Naona nijibiwe Kwa HOJA🙏
Maswala ya kuomba risu achangiwe ni personal hapa tunazungumzia viongoz wananunua v8 mil600 wanashindwa kununua vifaa vya uokoaj huu ni upuuz shida watu wa ccm hamtak kuambiwa ukwel
 
Lissu hajaomba achangiwe wala kununuliwa gari period, wachangiaji wamejirganize wenyewe wakaamua kuchanga na wakapanga wao wenyewe wanataka wampe gari gani! Nani anachagua zawadi? Wangesema wanampa IST angekataa?
Budget ya gari aliloomba Lissu ilikuwa Bei Gani?

Na malengo ilikuwa kununua gari Gani?
 
Budget ya gari aliloomba Lissu ilikuwa Bei Gani?

Na malengo ilikuwa kununua gari Gani?

Hajamuomba mtu,

Kimsingi alitaka mwenyewe kurepair gari yake ya kifo, wachangiaji wakaamua wenyewe kusema asilitumie tena libaki kama makumbusho na wanachanga wamnunulie jipya wao kwa viwango wanavyotaka wao sio yeye!
 
Maswala ya kuomba risu achangiwe ni personal hapa tunazungumzia viongoz wananunua v8 mil600 wanashindwa kununua vifaa vya uokoaj huu ni upuuz shida watu wa ccm hamtak kuambiwa ukwel
Jiulize swali dogo,

Ikiwa Lissu amekuwa Urais kesho, atafuta ununuzi wa mashangingi ikiwa Yeye amenunuliwa V8 Kwa kuchangiwa na wananchi?

Pia ujue, Lissu ni kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani, hivyo kuchangiwa gari na wananchi Si jambo personal!

Pia nitake radhi, Mimi siwezi kuwa chama kimoja na wezi wa kura.
 
Lissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.

Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.

Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
Kumbuka watu walimchangia kwa hiara yao SIYO kwa njia ya Wizi!
Mkuu hata kama wewe ni pro-CCM jaribu kuwa na utu.
 
NA MMEMCHANGIA HELA KAENDA KUHONGA KWA BWANA MZUNGU YAANI NYUMBU CHADEMA WAPO WENGI SANA HAWATAISHA

Vijana wa kisasa najua walishakosa ufahamu lakini sio kwa level hii jamani, hiki kizazi kinaelekea wapi? Huyu unaweza kukuta ana degree ya pale jalalani eti. Hapa katoa hoja anaona. Aisee!
 
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu;

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

"Kila mtu anasema kazi ya Mungu na kuanza kumlaumu Mungu lakini hakuna anayeuliza ghorofa lilijengwaje, kama lilijengwa kwa kiwango, inakuaje nchi inayonunulia waziri kari ya milioni 500,0000,000 haina vifaa vya kuokolekea lakini hakuna vifaa uokozi vya milioni 10, hakuna excavator badala yake watu wanaokolea kwa kufukua na mikono, watu wa serikali wanapesa kuliko wafanyabiashara wakubwa, wametoa wapi pesa hizo kama siyo wizi?

View attachment 3158377
Nilishaandika haya humu humu
 
Kumbuka watu walimchangia kwa hiara yao SIYO kwa njia ya Wizi!
Mkuu hata kama wewe ni pro-CCM jaribu kuwa na utu.
Ikiwa wananchi wanamchangia Lissu gari ya kifahari na anaikubali,

Akiwa Rais atafuta matumizi ya mav8 kwenye misafara yake?

Nijibu Kwa HOJA ukiweka uchama pembeni.

Pia usiniunganishe na chama chenye kuiba kura.
 
kLissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.

Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.

Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
CHAWA mlalahoi!
Lissu hajawahi kuomba kuchangiwa gari hata siku moja.
 
Back
Top Bottom