Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu;
"Kila mtu anasema kazi ya Mungu na kuanza kumlaumu Mungu lakini hakuna anayeuliza ghorofa lilijengwaje, kama lilijengwa kwa kiwango, inakuaje nchi inayonunulia waziri kari ya milioni 500,0000,000 haina vifaa vya kuokolekea lakini hakuna vifaa uokozi vya milioni 10, hakuna excavator badala yake watu wanaokolea kwa kufukua na mikono, watu wa serikali wanapesa kuliko wafanyabiashara wakubwa, wametoa wapi pesa hizo kama siyo wizi?
Acha utovu wa uelewa kwani Lisu ni serikali au ndiye aliye wanunulia viongozi magari ya 500m @
Sisi ndiyo tulisema tumnunulie gari lingine hilo gari lake lililochakazwa risasi liwekwe makumbusho
Lissu hebu njoo taratibu, ungeenda kwanza kuona kazi inavyofanyika na kuongea na waokoaji, ni hivi ukitumia hiyo skaveta jengo lingetitia na hakuna hata mmoja angepona, pia ningeangukia na nyumba jirani na huo mbanano wa kariakoo tungejikuta zaidi ya gorofa 20 zinaanguka, cha kwanza ilikuwa ni kujua manusura wako wapi, rock mechanics yake imekaaje na unamfikiaje mhanga.
Siku hizi ukisema ukweli wanaoupokea hata wakiona ni ukweli kwa 100% badala ya kutafakari na kufanyia kazi, wanatafuta udhaifu wa mtoa hoja na kujikita huko.
Acha utovu wa uelewa kwani Lisu ni serikali au ndiye aliye wanunulia viongozi magari ya 500m @
Sisi ndiyo tulisema tumnunulie gari lingine hilo gari lake lililochakazwa risasi liwekwe makumbusho
HOJA hapo ni wananchi maskini kuchangishwa Ili kumnunulia Lissu gari la kifahari, ni hakuna tofauti na Serikali inavyotumia Kodi zetu kununua mashangingi Kwa mawaziri, ded na DCs.
Lissu alipasa anunue gari ya kawaida tu ya Toyota land cruiser Mkonga.
Kweli kabisa.huyu rais mwanamama huyu anatutia hasara tu Nchi yetu.kila kitu chini ya huyu mama kimekuwa legelege na chini ya kiwango kama Hilo ghorofa lililoanguka .Anachoweza huyu mama ni kujinunulia gari la milioni miasita Kwa pesa za umma na kushindwa kununua vitu vya msingi kama Hivyo vya uokozi.